Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Kuna watu either hawazijui simu au wanajitoa akili tu!!Kwahiyo tecno ipo juu kuliko iphone?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu either hawazijui simu au wanajitoa akili tu!!Kwahiyo tecno ipo juu kuliko iphone?
Awap hapo umeongopa mkuu. camera za iphone ni mbovu sana yaani bora hata ungesema samsungCamera ya tecno MP24 ni sawa na MP12 ya iphone
Ipo juu kwenye vitu gani?Kwahiyo tecno ipo juu kuliko iphone?
Virus unawatoa wapi kwenye simu.. Au unaweka app za vichochoroni?Hakuna cha matumizi mkuu toka ni nunue Huawei Sijawahi kupata tatizo hilo na matumizi yake naona nimezidisha zaidi
Umeniuliza swali kabla sijakujibu cha ajabu umejipa solution mwenyewe unashangaaVirus unawatoa wapi kwenye simu.. Au unaweka app za vichochoroni?
Haya masimu makubwa makubwa siyapendi kama nini
Mkuu ingekuwa vizuri2 ungeweka na bei zake maana nimechoka Izi Samsung naitamani Huawei ila nataka nijichange kwanza nikijua beiMatatizo ya Samsung yalianzia na ile Galaxy Note 7 ilikuwa ikishika moto kutokana na matatizo ya battery yake..
Na hili tatizo jingine la Galaxy Fold ambayo ni ya kufunguka kwa ndani au In-folding inasababisha kioo kupasuka ndo linaleta matatizo zaidi.
Huawei wao wameiga hii simu ya Galaxy Fold kwa kuja na hiyo ya Mate X ambayo inafunguka kwa nje au Out-folding.
Kufunguka kwa ndani au In-folding kunaleta nguvu ya mgandamizo au pressure kwenye kioo na hapo Samsung inabidi warudi maabara kurekebisha mambo.
Mpaka sasa Samsung wamesitisha pre-orders za wateja kujaribu kutatua hilo tatizo.
Hapo ndipo Huawei wanapoziba nafasi kiulaini.
Wachina wapo vizuri kwenye kuwapa changamoto watu wa Samsung, LG na Sony na sasa wamewapita Apple kwenye mauzo.
Simu zake zinazotamba kwa sasa ni hizi za P na Mate huku P ikiwa yapendwa kwa masuala kama kupakua miziki na kusikiliza, hii ya Mate iko nzuri kwenye masuala ya kuchukua picha.
Kitu kingine pia ni kwamba model za P 10 na P20 ingawa ni za zamani lakini bado zauzika sana sokoni. Hata P30 na P30 pro ndo zashika kasi kwa umaarufu huku Mate 20 nazo zikiwa bado zauzika.
Pia tusisahau kwamba Huawei ni mtengenezaji wa mitambo ya mawasiliano ambae baadae atakuja kuwa mtengenezaji mkubwa wa mitambo ya mawasiliano pamoja na simu za mkononi.
Simu bora kabisa za Huawei kwa mwaka 2019:
1. Huawei P30 Pro
2. Huawei Mate 20 Pro
3. Huawei P20 Pro
4. Huawei P20- hii ndo bei inaanza kushuka kidogo.
5. Huawei Mate 20
6. Huawei Mate X
7. Huawei Mate 10 pro
8. Huawei Mate 20 Lite
9. Huawei P10 Plus
na namba 10 Huawei P Smart (imetoka mwezi January)
NB: 1. Mimi natumia P20 ambayo ni decent kidogo kwa bei na kadhalika.
2. P Smart na Honor 10 Lite zina bei sawa na zimekuwa cloned lakini ni bora kuchukua Honor 10 Lite kwa ubora wa picha.
Hivyo mkuu, John Stephano umeona jambo zuri sana hapo.
iPhone 5 ni toleo la miaka mitano iliyopita.Awap hapo umeongopa mkuu. camera za iphone ni mbovu sana yaani bora hata ungesema samsung
Iphone 5 camera yake imezidiwa na tecno h6 mimi huaga naifananisha na M3
Mkuu ingekuwa vizuri2 ungeweka na bei zake maana nimechoka Izi Samsung naitamani Huawei ila nataka nijichange kwanza nikijua bei
Mkuu hakuna iphone 7s [emoji23][emoji23]Sasa mkuu tecno camon11 pro utaifananisha na iphone 7s??
Tecno camon 11 pro VS Iphone7s
Ram 6GB = > Ram 3GB
Internal 64GB = > Internal 128,256GB
Camera 16 dual = > Camera 12 dual
Tecno h6 nalo ni toleo la miaka mitano iliopitaiPhone 5 ni toleo la miaka mitano iliyopita.
Dah babu umetumia iphone gani?Awap hapo umeongopa mkuu. camera za iphone ni mbovu sana yaani bora hata ungesema samsung
Iphone 5 camera yake imezidiwa na tecno h6 mimi huaga naifananisha na M3
Kweli kabisa sahihi ni 7+Mkuu hakuna iphone 7s [emoji23][emoji23]
Iphone 5s camera yake huwezi kulinganisha na tecno h6 wala huawei lua U22Dah babu umetumia iphone gani?
H6 tecno nmewahi tumia but iphone 5 cjawai tumia... Ila picha zake nmeziona kiuhalisia huwezi fananisha camera ya iphone 5 na tecno h6 mkuu....pia kingine kinachombeba iphone ni kwenye uharaka wa operations zake(smooth operability) ram 1 ya iphone iko chap sana ukifananisha na ram 3 ya tecno tecno hata iwe na ram kubwa kiasi gani lazima kuna errors itakuletea mara (application error) ...hio issue huezi ikuta kwa iphone yoyotee pia speed ya ram ya android na ios ni vitu viwili tofautiIphone 5s camera yake huwezi kulinganisha na tecno h6 wala huawei lua U22
Mkuu ingekuwa vizuri2 ungeweka na bei zake maana nimechoka Izi Samsung naitamani Huawei ila nataka nijichange kwanza nikijua bei
Dah poa aisee hadi wa 7 nitachukua you kituNamba 1 inaanzia na dola 1668 hivi.
Namba 2 dola 961
Namba 3 dola 700 hivi.
Namba 4. Dola kama 400 hivi.
Za bei rahisi ni kuanzia namba 5 hadi 10 ukiondoa namba 5 na 6 ambazo unatakiwa pia kuwa na dola kama 900 hivi.
Haya mkuu zichange kidogokidogo.
Angalia hapo,uhawei mate 20 pro inaenda euro 800 while samsung s10 toleo jipya la samsung ipo euro 500Huyu pimbi hajui chochote kuhusiana na sammy and iphy phones!hata tekno zinauza balaa vitz zinauza balaa !balimi na serengeti light inauza balaa!