Simuelewi Mzazi mwenzangu, tumeachana lakini bado anasumbua

Nina msaidizi wa kumfulia kumpkia na vitu vingine. Ila masuala yake ya homework, kumpeleka shule sijui hospital ni mimi mwenyewe labda ikitokea kalazwa hapo lazima niombe msaada
Wewe ni me?
 
Ongea na mume wako kuhusu usumbufu unaopata kutoka kwa huyo mbuzi wako,
Ikiwezekana muombe mumeo ndio awe kiunganishi kati ya huyo mbuzi wako na mtoto wako, yaani baba watoto akitaka kuongea au kujua lolote kuhusu mwanae ampigie mumeo sio wewe.
Chukua hii mtoa mada
 
Hakuna kitu kinamhuzunisha mwanaume kama akuache kwenye mataa then baadae anakukuta umemove upo kwenye mahusiano mengine na unapendeza hatari anaweza kujiona mchawi
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sasa unapokea cm za huyo fala za nn? Acha upumbavu!
Km umepata mtu amekulea tangu mimba huyo aliyeweka mbegu wa nn?
Wanawake jmn!
Kwani kupiga kimya tu usiwasilianw nae unaona shida gani?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo jamaa anamjaza ili ammto..be?[emoji1732][emoji1732][emoji38][emoji38]
 
Mwanzo nilidhani we ni ke...badaye ndo nikaona uchambuzi wako...hongera mkuu huyo dada kwanini mliachana?
Ujana mkuu hatukuwa na mpango wa kuoana akajaa so ikabidi tulee mimba akajifungua nikampangia baadae tulipishana kidogo nikakuta kabeba vitu kaondoka funguo kaacha kwa majirani.
By the way ukweli ni kwamba sikuwa kuwaza hata kumuoa ndio maana hata baada ya kujifungua sikuwahi kutaka ishinnaye ilibidi tu nimpangie kwasababu ya masimango ya shemeji yake alikuwa akiishi kwa dada yake.
Ila sasa ashaolewa pia.
 
Oh hapo sawa mkuu

Hutaki mtoto wako alelewe na baba mwingine?
 
Oh hapo sawa mkuu

Hutaki mtoto wako alelewe na baba mwingine?
Hapana yeye alipotaka kuolewa ndipo alisema nikamchukue. Nilitaka kumchukua akiwa just 3 years akakataa na mimi sikutaka kumlazimisha nikaacha nikaendelea tu kuwa natuma matumizi. Alipotaka olewa mtoto ndipo alikuwa amefikisha miaka minne, akasema kama nataka nimchukue na akafunga safari toka mkoa akamleta dar.
Lakini pia ni vzuri navyomlea mwenyewe kuliko baba mwingine maana we are so close na anaona navyowajibika juu yake so anakuwa akijua I got her back
 
Sis Rey nime furahi kuona Comment yako hapa huyo dada akiweza kufata huu ushauri bila shaka atakuvuka hilo jaribu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…