Simuelewi Mzazi mwenzangu, tumeachana lakini bado anasumbua

Simuelewi Mzazi mwenzangu, tumeachana lakini bado anasumbua

Nina msaidizi wa kumfulia kumpkia na vitu vingine. Ila masuala yake ya homework, kumpeleka shule sijui hospital ni mimi mwenyewe labda ikitokea kalazwa hapo lazima niombe msaada
Wewe ni me?
 
Ongea na mume wako kuhusu usumbufu unaopata kutoka kwa huyo mbuzi wako,
Ikiwezekana muombe mumeo ndio awe kiunganishi kati ya huyo mbuzi wako na mtoto wako, yaani baba watoto akitaka kuongea au kujua lolote kuhusu mwanae ampigie mumeo sio wewe.
Chukua hii mtoa mada
 
Hakuna kitu kinamhuzunisha mwanaume kama akuache kwenye mataa then baadae anakukuta umemove upo kwenye mahusiano mengine na unapendeza hatari anaweza kujiona mchawi
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Katika kosa ambalo nikilifanya Mungu aniadhibu ni hili,, kaka anilifukuza kwa dharau sana nilipauka nyumban pia baba akanifukuza nikaenda kuuza baa ninamimba ya miez 7, huyu baba kanioa wala hakuna anaejuaa kama sio mtoto wake pamoja na mitihan ya ndoa lkn kwa mtoto anamtreate kama wake ...siwezi kumlipa hilo kwakweli
Sasa unapokea cm za huyo fala za nn? Acha upumbavu!
Km umepata mtu amekulea tangu mimba huyo aliyeweka mbegu wa nn?
Wanawake jmn!
Kwani kupiga kimya tu usiwasilianw nae unaona shida gani?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unaipenda Ndoa yako achana nae Mara Moja laa sivyo ataishia kukukaza au Mumeo atakuacha kwa Kudhani labda Unatembea na Mzazi mwenzio, na Hii ndo Sababu baadhi yetu hatupendi kuoa wanawake ambao washazaa maana Hamjielewagi, Jitu limekuacha katika mazingira mabuvu leo hii anakupigia sim asee! Mlango ambao umeufungua Matokeo yake sio Mazuri, Trust me labda Mumeo awe hana sauti kwako ila Kama kichwa kinafanya kazi sawasawa basi Subiri Kuharibiwa ndoa yako

Najua Unajisemea Hatufanyi kitu, Ila msimamo wako wa Mwanzo Ulikuwa mzuri sana "Mtoto akimaliza shule utamchukua" very logical ila Sasa Umelegeza moyo Unajiona Ume win [emoji1787][emoji1787][emoji1787] My friend hujui akili zetu vizuri sasa shauri yako, Huyo mwenzako anataka akuharibie ndo maana Maongezi yenu sio ya Mtoto tena, Anaumia kukuona una maisha, Anaumia huyo, anateseka sana huyo achana nae japo najua ni ngumu kuelewa maana Viumbe nyie wengi wengi hamuelewagi kitu

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo jamaa anamjaza ili ammto..be?[emoji1732][emoji1732][emoji38][emoji38]
 
Mwanzo nilidhani we ni ke...badaye ndo nikaona uchambuzi wako...hongera mkuu huyo dada kwanini mliachana?
Ujana mkuu hatukuwa na mpango wa kuoana akajaa so ikabidi tulee mimba akajifungua nikampangia baadae tulipishana kidogo nikakuta kabeba vitu kaondoka funguo kaacha kwa majirani.
By the way ukweli ni kwamba sikuwa kuwaza hata kumuoa ndio maana hata baada ya kujifungua sikuwahi kutaka ishinnaye ilibidi tu nimpangie kwasababu ya masimango ya shemeji yake alikuwa akiishi kwa dada yake.
Ila sasa ashaolewa pia.
 
Ujana mkuu hatukuwa na mpango wa kuoana akajaa so ikabidi tulee mimba akajifungua nikampangia baadae tulipishana kidogo nikakuta kabeba vitu kaondoka funguo kaacha kwa majirani.
By the way ukweli ni kwamba sikuwa kuwaza hata kumuoa ndio maana hata baada ya kujifungua sikuwahi kutaka ishinnaye ilibidi tu nimpangie kwasababu ya masimango ya shemeji yake alikuwa akiishi kwa dada yake.
Ila sasa ashaolewa pia.
Oh hapo sawa mkuu

Hutaki mtoto wako alelewe na baba mwingine?
 
Oh hapo sawa mkuu

Hutaki mtoto wako alelewe na baba mwingine?
Hapana yeye alipotaka kuolewa ndipo alisema nikamchukue. Nilitaka kumchukua akiwa just 3 years akakataa na mimi sikutaka kumlazimisha nikaacha nikaendelea tu kuwa natuma matumizi. Alipotaka olewa mtoto ndipo alikuwa amefikisha miaka minne, akasema kama nataka nimchukue na akafunga safari toka mkoa akamleta dar.
Lakini pia ni vzuri navyomlea mwenyewe kuliko baba mwingine maana we are so close na anaona navyowajibika juu yake so anakuwa akijua I got her back
 
Aseehh!!what a story MUNGU akupiganie sana ktk ndoa yako na mheshimu sana huyo mtu na usijethubutu mlipa upuuzi Mungu atakupa pigo moja takatifu.
Huyo mtu block kabisaa ,delete na futa kabisaa mawasiliano nae!
Yaonekana hukoo aliko kuna moto unawaka anataka akuharibie jus be extra careful with him!!
Mpotezee mazima yaani mfute ktk kila kitu chako!
Wanaume ni viumbe selfish sana anataka akuharibie kwenye ndoa yako huyoo maana anaona hutetereki na anaumia kuona mtoto wake analelewa vizuri na humuombi hata senti.
Be careful shogaaa!!!usijekosa mwana na maji ya moto

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Sis Rey nime furahi kuona Comment yako hapa huyo dada akiweza kufata huu ushauri bila shaka atakuvuka hilo jaribu.
 
Back
Top Bottom