Simuelewi Mzazi mwenzangu, tumeachana lakini bado anasumbua

Au baba mtoto karudisha majeshi? Maana ulisema ndoa ya miaka 2 unatamani utoke hutamani hata kumuona akisafiri unatamani asirudi. Kumbe kuna baba mtoto huku nae anasumbua. Huku mr nae kaacha kutoa huduma ya tendo maana umempa ukweli mchungu kua hawezi. Ssa si ndo atajua mnakulana na baby dady wako wa zamani
 
Mpe mme wako simunyske amuonye
 
Umeonaee,kuna uzi wake humu alishasema ana lala chumba tofauti na mume wake,inaonekana hata hiyo ndoa aliyomo inawaka moto,mara alisema amepata mirathi mume wake kaanza kumsogelea,dah ila kwa tabia hizi na hizo story kama ni za kweli atakuwa anashida ,yaani kila tukio la mahusiano yake na mume wake analianika humu...
 
Kuna shida mahali si bure
 
Mtarudiana muda so mrefu
 
Da anayekusumbua ndo yule kaka mliyekuwa mnafanya kazi akawa hakulidhishi au
 
Umezaa na mbuzi..!??
 
Hii ndo huwa tunasema, Ngumu kutenda ila tukichoka harudi nyuma.
 
Huyo jamaa ni fala....na usimuendekeze hata kidogo atakuvunjia ndoa. Mfanye ajute maisha yake yote kwa kumpiga block kila kona...au jifunze matusi ya nguoni akikugusa aambulie matusi mapya mapya afe kwa stress
Hakuna ajuaye kesho!! Ni vyema HEKIMA itumike.
 
Hawezi kufa fala huyo jamaa kwanza kakupeleka labor kingine nakuonea huruma na huyo jamaa aliyekuoa
Well said, Viporo huwa ni vitamu sana...Just imagine kiporo cha wali maharage.
 
Kama unampenda huyo Baba, Anayelea mtoto si wake. Mwambie ex wako hayo...na asirudie...

Naifananisha sana hii story na ya Suggu na FFaiza
 
We nae ni sitaki nataka tu, hiyo ishu ndoogo saana kwa mtu asiyetaka, una mwambia mazungumzo ya mtoto, akileta ujinga unapiga block, mchezo kwisha..

Tunaowajua wanawake hapo tunasema muda wowote ule kiporo kinapashwa.

Kuwa na msimamo, wanaume sie waduwanzi, atakukula akuharibie kwa mumeo kisha akuache kwenye mataa
 
Hyo picha ni yako ??
 
Huyo mbuzi hapo kwako anataarifa kama una mawasiliano na mbuzi nyenzie. Mbaya sana kila namba ikijiinua block kabla hakikisha una mawasiliano na ndugu zake kwa ajir ya mtoto aje awajue ndugu zake upande huo ili siku moja wasije kuoana.
 
Duuh
 
Yaleyale! Huyo jamaa atapewa mzigo siku siyo nyingi, ndoa ya Mr ipo mashakani!

Ngoja niende kwenye ule Uzi wa kujadili mabikra🏃
 
Weweee huyo siku chache zijazo analiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…