Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpe mme wako simunyske amuonyeHuyu mzazi mwenzangu sielewi anatatizo gani.
Ni miaka 8 tangu tumeachana tena sio kuachana aliniaacha kisa kapata mchumba mwalimu mi kwa wakati huo nilikua jobless na mimba ya miez 6 nikarudi home. Baada ya miaka 3 nikaolewa sasa alivyogundua nimeolewa akaanza usumbufu mara nataka mtoto wangu, mara anapigaa usiku.
Nikaona isiwe tabu nikamwambia mtoto wako akimaliza la saba atakua kajitambua nitakupa nikamblock. Tumekaa miaka 3 bila mawasiliano yoyote kuhusu mtoto juzi kati kanitafuta namba mpya anaitaarifu babu yake mtoto kafariki nikampa pole.
Anadai naomba niwe naongea na mtoto kwenye cm yan nimruhusu apray part kama baba nikasema Sawa ila uwe na heshima mimi ni mke wa mtu.
Sasa ana choniuz akikusalimia kidogo mara mr wako ajambo. Mara nikiweza profile ya mr anaichukua yan maongez sio ya mtoto tena ni mimi na mr wangu. Anashida gani huyu mbuzi? Simpendi namchukia sababu kwanza aliniaacha kwa madharau.
Mbona mimi simfatilii japo aliniambia bado hajaoa? Yaani nikiweza picha profile anauliza hapo ni kwako?
Umeonaee,kuna uzi wake humu alishasema ana lala chumba tofauti na mume wake,inaonekana hata hiyo ndoa aliyomo inawaka moto,mara alisema amepata mirathi mume wake kaanza kumsogelea,dah ila kwa tabia hizi na hizo story kama ni za kweli atakuwa anashida ,yaani kila tukio la mahusiano yake na mume wake analianika humu...Au baba mtoto karudisha majeshi? Maana ulisema ndoa ya miaka 2 unatamani utoke hutamani hata kumuona akisafiri unatamani asirudi. Kumbe kuna baba mtoto huku nae anasumbua. Huku mr nae kaacha kutoa huduma ya tendo maana umempa ukweli mchungu kua hawezi. Ssa si ndo atajua mnakulana na baby dady wako wa zamani
Kuna shida mahali si bureUmeonaee,kuna uzi wake humu alishasema ana lala chumba tofauti na mume wake,inaonekana hata hiyo ndoa aliyomo inawaka moto,mara alisema amepata mirathi mume wake kaanza kumsogelea,dah ila kwa tabia hizi na hizo story kama ni za kweli atakuwa anashida ,yaani kila tukio la mahusiano yake na mume wake analianika humu...
Mtarudiana muda so mrefuHuyu mzazi mwenzangu sielewi anatatizo gani.
Ni miaka 8 tangu tumeachana tena sio kuachana aliniaacha kisa kapata mchumba mwalimu mi kwa wakati huo nilikua jobless na mimba ya miez 6 nikarudi home. Baada ya miaka 3 nikaolewa sasa alivyogundua nimeolewa akaanza usumbufu mara nataka mtoto wangu, mara anapigaa usiku.
Nikaona isiwe tabu nikamwambia mtoto wako akimaliza la saba atakua kajitambua nitakupa nikamblock. Tumekaa miaka 3 bila mawasiliano yoyote kuhusu mtoto juzi kati kanitafuta namba mpya anaitaarifu babu yake mtoto kafariki nikampa pole.
Anadai naomba niwe naongea na mtoto kwenye cm yan nimruhusu apray part kama baba nikasema Sawa ila uwe na heshima mimi ni mke wa mtu.
Sasa ana choniuz akikusalimia kidogo mara mr wako ajambo. Mara nikiweza profile ya mr anaichukua yan maongez sio ya mtoto tena ni mimi na mr wangu. Anashida gani huyu mbuzi? Simpendi namchukia sababu kwanza aliniaacha kwa madharau.
Mbona mimi simfatilii japo aliniambia bado hajaoa? Yaani nikiweza picha profile anauliza hapo ni kwako?
Umezaa na mbuzi..!??Huyu mzazi mwenzangu sielewi anatatizo gani.

Hii ndo huwa tunasema, Ngumu kutenda ila tukichoka harudi nyuma.Huyu mzazi mwenzangu sielewi anatatizo gani.
Ni miaka 8 tangu tumeachana tena sio kuachana aliniaacha kisa kapata mchumba mwalimu mi kwa wakati huo nilikua jobless na mimba ya miez 6 nikarudi home. Baada ya miaka 3 nikaolewa sasa alivyogundua nimeolewa akaanza usumbufu mara nataka mtoto wangu, mara anapigaa usiku.
Nikaona isiwe tabu nikamwambia mtoto wako akimaliza la saba atakua kajitambua nitakupa nikamblock. Tumekaa miaka 3 bila mawasiliano yoyote kuhusu mtoto juzi kati kanitafuta namba mpya anaitaarifu babu yake mtoto kafariki nikampa pole.
Anadai naomba niwe naongea na mtoto kwenye cm yan nimruhusu apray part kama baba nikasema Sawa ila uwe na heshima mimi ni mke wa mtu.
Sasa ana choniuz akikusalimia kidogo mara mr wako ajambo. Mara nikiweza profile ya mr anaichukua yan maongez sio ya mtoto tena ni mimi na mr wangu. Anashida gani huyu mbuzi? Simpendi namchukia sababu kwanza aliniaacha kwa madharau.
Mbona mimi simfatilii japo aliniambia bado hajaoa? Yaani nikiweza picha profile anauliza hapo ni kwako?
Hakuna ajuaye kesho!! Ni vyema HEKIMA itumike.Huyo jamaa ni fala....na usimuendekeze hata kidogo atakuvunjia ndoa. Mfanye ajute maisha yake yote kwa kumpiga block kila kona...au jifunze matusi ya nguoni akikugusa aambulie matusi mapya mapya afe kwa stress
Well said, Viporo huwa ni vitamu sana...Just imagine kiporo cha wali maharage.Hawezi kufa fala huyo jamaa kwanza kakupeleka labor kingine nakuonea huruma na huyo jamaa aliyekuoa
Kama unampenda huyo Baba, Anayelea mtoto si wake. Mwambie ex wako hayo...na asirudie...Katika kosa ambalo nikilifanya Mungu aniadhibu ni hili,, kaka anilifukuza kwa dharau sana nilipauka nyumban pia baba akanifukuza nikaenda kuuza baa ninamimba ya miez 7, huyu baba kanioa wala hakuna anaejuaa kama sio mtoto wake pamoja na mitihan ya ndoa lkn kwa mtoto anamtreate kama wake ...siwezi kumlipa hilo kwakweli
Hyo picha ni yako ??Au baba mtoto karudisha majeshi? Maana ulisema ndoa ya miaka 2 unatamani utoke hutamani hata kumuona akisafiri unatamani asirudi. Kumbe kuna baba mtoto huku nae anasumbua. Huku mr nae kaacha kutoa huduma ya tendo maana umempa ukweli mchungu kua hawezi. Ssa si ndo atajua mnakulana na baby dady wako wa zamani
Unaitaka?Hyo picha ni yako ??
DuuhHuyu mzazi mwenzangu sielewi anatatizo gani.
Ni miaka 8 tangu tumeachana tena sio kuachana aliniaacha kisa kapata mchumba mwalimu mi kwa wakati huo nilikua jobless na mimba ya miez 6 nikarudi home. Baada ya miaka 3 nikaolewa sasa alivyogundua nimeolewa akaanza usumbufu mara nataka mtoto wangu, mara anapigaa usiku.
Nikaona isiwe tabu nikamwambia mtoto wako akimaliza la saba atakua kajitambua nitakupa nikamblock. Tumekaa miaka 3 bila mawasiliano yoyote kuhusu mtoto juzi kati kanitafuta namba mpya anaitaarifu babu yake mtoto kafariki nikampa pole.
Anadai naomba niwe naongea na mtoto kwenye cm yan nimruhusu apray part kama baba nikasema Sawa ila uwe na heshima mimi ni mke wa mtu.
Sasa ana choniuz akikusalimia kidogo mara mr wako ajambo. Mara nikiweza profile ya mr anaichukua yan maongez sio ya mtoto tena ni mimi na mr wangu. Anashida gani huyu mbuzi? Simpendi namchukia sababu kwanza aliniaacha kwa madharau.
Mbona mimi simfatilii japo aliniambia bado hajaoa? Yaani nikiweza picha profile anauliza hapo ni kwako?
Yaleyale! Huyo jamaa atapewa mzigo siku siyo nyingi, ndoa ya Mr ipo mashakani!Huyu mzazi mwenzangu sielewi anatatizo gani.
Ni miaka 8 tangu tumeachana tena sio kuachana aliniaacha kisa kapata mchumba mwalimu mi kwa wakati huo nilikua jobless na mimba ya miez 6 nikarudi home. Baada ya miaka 3 nikaolewa sasa alivyogundua nimeolewa akaanza usumbufu mara nataka mtoto wangu, mara anapigaa usiku.
Nikaona isiwe tabu nikamwambia mtoto wako akimaliza la saba atakua kajitambua nitakupa nikamblock. Tumekaa miaka 3 bila mawasiliano yoyote kuhusu mtoto juzi kati kanitafuta namba mpya anaitaarifu babu yake mtoto kafariki nikampa pole.
Anadai naomba niwe naongea na mtoto kwenye cm yan nimruhusu apray part kama baba nikasema Sawa ila uwe na heshima mimi ni mke wa mtu.
Sasa ana choniuz akikusalimia kidogo mara mr wako ajambo. Mara nikiweza profile ya mr anaichukua yan maongez sio ya mtoto tena ni mimi na mr wangu. Anashida gani huyu mbuzi? Simpendi namchukia sababu kwanza aliniaacha kwa madharau.
Mbona mimi simfatilii japo aliniambia bado hajaoa? Yaani nikiweza picha profile anauliza hapo ni kwako?
Weweee huyo siku chache zijazo analiwa.Haya wale mlio sema singo maza haoleki oneni shuhuda alietulia na kakaza msimamo wake hamna cha kiporo kupashika wala nini.
Saaasa game tunaligeuza kwenu wanaume
Mkikataa kulea mkaikimbia mimba,mkome kuwasumbua
NB: huyo mbuzi 😄anaumia anajua alipokuacha ungetetereka zaidi ya alivokuacha, so anatafta option ya kuku weka chini zaidi ya ulikokuwa.