Abou Shaymaa
JF-Expert Member
- Oct 19, 2022
- 1,479
- 3,229
- Thread starter
- #221
Kuna ambae hajalala kasoma zote nimuongezee nyingne?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumesha Saini in and out mkuu🤓.Kuna ambae hajalala kasoma zote nimuongezee nyingne?
unamakusudi weweHakuna,
Haya Jaman Usikun Mwema Allah Awalinde,
Mukiamka Mutakuta Mzigo Huo Tayar Nishaubandika Ila Tu Musikose Simulizi Ya KIAPO CHA DAMU KWA DAMU Captain Chui Mchafu utakaokujia hapa hapa Jamii Forums
pancho fanya kaziMpemba tushushie vitu asubuhi hii kazi maofisini hata haziendi tupia nimuoneshe bosi wangu
Hii story hata bosi wangu mwenyewe anaiulizia acha tu tuitwe wazembe kazini🤣pancho fanya kazi
Leta vitu mpemba tumeshatoka kazini na nimenunua popcorn za kama laki nneTunaendeleaaa
Shusha kama tano hivi halafu tulia tuachie sisiTunaendeleaaa
Shushaaaaaa vitu mzeeeee babaASALI HAITIWI KIDOLE
SEHEMU YA THEMANINI NA NNE
MTUNZI: edgar MBOGO
WHATSAPP: 0717924403 au 0743632247.
ILIPOISHIA SEHEMU YA THEMANINI NA TATU: “lakini Ashura awezi kunisaliti, maana ni mjamzito na atamimi mwenyewe siluhusiwi kulala nae, itawezekanaje kwa mwanaume mwingine” anawaza Idd, ambae anajisahaulisha kuwa Ashura anapenda sana Shaban. . ......... ENDELEA….
Idd anaingia chumbani kwa mke mdogo, na kujilaza kitandani, ungesema anawaza jambo flani muhimu, lakini kiukweli alikuwa anawaza namna ya kumkomesha Radhia, ambae kila akitaka kumwarinbia anajikuta anakwama na pengine yaya ndie mwenye kuumia.
“sijawai kushindwa, kama niliweza kumchukuwa Ashura kwa Shaban, nashindwaje kumrudhsia mwanamke ambae alisha wai kuwa mke wangu” anajisemea Idd, akiwa anagala gala kitandani.
Dakika chache baadae mke wake mdogo anaingia chumbani, akiwa amevalia upande wakanga ulio lowa maji, na kushikilia mwili wake, nakufanya umbo la mwili wake lionekane vyema kabisa.
Idd anamtazama mke wake ambae anaondoa upande wa kanga alio jifunga, na kubakia mtupu kama alivyo zaliwa, anajifuta maji na kujipaka maafuta, kila kona ya mwili wake.
Hakika mwonekano mke mdogo wa Idd ulipendeza wakati ule, na ulitia ashki, kwa mwanaume yoyote ambae ana afya njema, japo ilikuwa tofauti kwa Idd, “yani anajiona amepata mwanaume bora, kwaajili ya magari” Idd anawaza hivyo huku anatazama juu ya paa la nzyumba hii ya uwazazi wake.
Mke mdogo anamaliza kujipaka mafuta, kisha bila kuvaa chupi, anapanda kitandani, kama alivyo zaliwa, nakujilaza pembeni ya mume wake, kisha anaulaza mkono wake kifuani kwa Idd, huku anamwekea paja juu yake, usawa wa maeneo ya uzazi ya mume wake huyu, ambae ndio kwanza anautoa mguu wa mume wake, anageukia upande mwingine, huku anauondoa mkono wa mke wake.
Mke mdogo anashindwa kumwelewa mume wake, maana sasa ni miezi minne, toka alipo uolewa nae, lakini walikutana mala sita tu, mala tatu ikiwa katika mwezi wa kwanza, wa ndoa yao, na kila tendo lilipewa nafasi ya week moja ili jingine lifanyike.
Baada ya hapo mwezi uliofwata, walikutana mala mbili, ikiwa zimepishana week mbili, na mwezi uliofwata walinyanduana mala moja tu, na mala zote bwana Idd akutumia ata dakika tano kubla ajashuka toka kwa mke wake, lakini mwezi huu wa nne, awakuwa wamenyandua ata mala moja.
Hii ilimpa shida kidogo mke mdogo, akujuwa anakasoro gani, kiasi cha mume wake kuto kupata hamu ya kumwingiria kimwili, licha ya kulala pamoja kila siku, tena akijaribu kumshawishi kwa vitendo, bila mafanikio.
Mke mdogo, anaingiwa na unyonge, anahisi pengne mume wake ataki kuzaa na yeye, ndiyo maana ataki kufanya nae chochote, kwa hiyo alimleta ili mfulie na kumpikia tu, na siyo mke wa kulala nae na kumzalia watoto, lakini kwanini anifanyie hivi, maana amemwaribia mausiano yake na mpenzi wake Yasin, ambae kwa sasa yupo bara mkoani mtwara, anafanya kazi bandarini, yeye ni fundi wa mitambo mikubwa, ya kushusha na kubebea makontena.
Yeye Yasin walipanga mwishoni mwa waka huu, wafunge ndoa na kwenda kuishi Mtwara, lakini katika hali ambayo ilimpatia wakati mgumu yeye na mpenzi wake Yasin, wakilazimika kuachana na yeye kuolewa na Idd kiparago.
Ngoja kwa nza tuone kwa undani ilivyo kuwa ili tuweze kuona Idd alifanya nini kwa wapenda nao awa wawili mpaka kufanikiwa kumchomoa mke mdogo kwa huyo engineer ma kumchukuwa mazima.********
Anaitwa Shani Abdallah, yeye ni mkazi wa mwana kwelekwe, alikuwa kwenye kwenye mpenzi na Yasin, kwa muda wa miaka minne, kabla ya kuolewa na Idd, miezi minne iliyopita.
Shani aliekuwa anaishi na wazazi wake, mwanakwelekwe, na Yasin aliekuwa anaishi gombani na wazazi wake, walifahamiana muda mrefu uliopita, ni baada ya Yasin kuwa anaenda mala kwa mala mwanakwelekwe, kumtembelea mama yake mdogo, aliekuwa anaishi jilani na wakina Shani.
Aikuwa mala moja, ila ilichukuwa miaka mingi sana, kwa vijana awa wawili waliopishana miaka minne ya kuzaliwa, kukubariana kuwa wapenzi, nikipindi ambacho Yasin alikuwa ameenda jijini dar es salaam kwa kaka yake Zuberi, ambako aliweza kujiunga na chuo cha ufundi cha mitambo.
Wawili awa walitumia Nyati za likizo, kukutana na kupeana moyo, kuhusu mwenendo wapenzi lao na maisha yao ya baadae, huku wakipeana uhakika wa kuishi pamoja, katika kipindi iki Yasin akuacha kumhudumia mpenzi wake.
Mwanzo penzi lao lilikuwa kuwa siri, huku wakisimamia makubaliano yao ya kwamba, wasi peane kitumbua wala kuonjeshana dudu, mpaka watakapo owana, kama ilivyo utaratibu.
Lakini siku zilivyosonga, penzi lao likaanza kuwa wazi, ni kutokana na zawadi na vitu mbali mbali vilivyo kuwa vina mfikia Shani, ata wazazi wake kuuliza kama kuna lolote watarajie katika urafiki huo, Shani nae akuwaficha akjawaeleza kuwa mala tu Yasin akimaliza masomo yake, basi ata kuja kuleta barua ya posa.
Aikuishia hapo, ata Yasin alipokuja kutoa habari njema za kuwa, amemaliza mafunzo yake ya ufundi, na kupata kazi bandari ya Mtwara, ndio wakati ambao alikaribishwa nyumbani kwa mzee Abdallah na kupewa luksa ya kuwa na uwezo wa kuongea na kusimama popote na Shani, kwamba alitambuliwa kama mchumba mtarajiwa wa binti yao.
Na huo ndio wakati ambao wawili awa walipiga hatua zaidi, na kuvunja makubaliao yao, wakianza kupeana dudu, na ndio kipindi ambacho Shani, alipoteza uschana wake.
Mambo yaliaribika miezi mitano iliyopita, wakati Yasin akiwa amekuja katika mapumziko mafupi, ambapo alikuwa ameagiziwa redo na TV used na vijana wenzake, ambao waliamini kuwa, bei za vitu hivyo huku unguja ni lahisi zaidi kuliko Dar es salaam, kitu ambacho Yasin alisha wai kukifanya mala nyingi sana.
Wakati huo kunajambo inabidi ulifahamu, ni kwamba, Idd alikuwa anawafahami wote wawili, yani Yasin ambae alisomanae shule ya msingi jang’ombe, wakimwacha Radhia madarasa manne.
Pia Shani ambae alikuwa anamtaamtaa mmoja na shemeji yake, yani dada wa Ashura, japo siku za nyuma alikuwa anamtamani, lakini hakuwa na mpango wala wazo la kumchumbia Shani.
Akiwa na nia njema kabisa, kijana Yasin, akaenda dukani kwa Idd, kwenda kununua TV sita na speeker zake, kwaajili ya kuwapelekea watu walio mwagiza, ikiwa ni mala nyingi alisha fanya hivyo, yani lengo likiwa ni kumfaidisha rafiki yake wa utotoni.
Lakini tofauti na siku nyingine zote, alizowai kuja hapa, leo Yasin alikuja na mpenzi wake Shani, ambae alimtambulisha kwa Idd, kuwa Shani ni mpenzi wake na anatarajia kufunga nae ndoa, mwisho mwa mwaka huu. . ......... ENDELEA…. KUFWATILIA HADITHI HII YA #ASALI_AITIWI_KIDOLE, HAPA HAPA jamii forums