SIMULIZI: Asali haitiwi kidole

SIMULIZI: Asali haitiwi kidole

ASALI HAITIWI KIDOLE
SEHEMU YA MIA MOJA NA SABA
MTUNZI: edgar MBOGO
WHATSAPP: 0717924403 au 0743632247.
ILIPOISHIA SEHEMU YA MIA MOJA NA SITA: “Eddy mbona unachelewa sana, umenizowesha vibaya, mwenzio nataka uje tufanye” ndivyo ulivyosema ujumbe alio uandika Radhia, “pole mpenzi, lakini unimesha rudi sasa nipo kwaajili yako” alisema Edgar, huku anapiga magoti karibu na Radhia, “nilikuambia usisome wewe umesoma, mwenzio naona aibu” anasema Radhia ambae bado ameziba macho yake kwa viganja vya mikono yake. ........ ENDELEA….


Radhia ajasikia sijibu lolote toka kwa Edgar, baada yake akashtuka midomo ya Edgar, ikiwa inakutana na midomo yake, kisha bila kuuliza, tayari wakaanza kunyonyana mate taratibu, huku Radhia akiondoa mikono usoni, na kuizungusha shingoni mwa Edgar, ambae mikono yake tayari ilikuwa imeshaanza kupapa kifua cha Radhia, ambae alikuwa anatarajia kukoipata anacho kiitaji.********


Mnazi mmoja hospital, ndani ya jengo watu walikuwa wengi sana, wapo waliokuwa wanaingia, na wapo waliokuwa wanatoka, mwana mama Aziza, ambae ambae ni dada wa Ashura mke wa Idd, ni miongoni mwa watu waliojaa ndani ya jengo ilo, akionekana akiwa amebeba begi kubwa mkono wa kushoto, na kapu lenye vyombo kadhaa mkono wa kulia.


Aziza anatembea huku anawaza hatima ya maisha ya mdogo wake, ambae anaishi na wanaume wawili, huku mchepuko akiwa ameuzalia watoto watatu, pasipo mmume wa ndoa kufahamu.

Lakini Aziza akiwa anaendelea kuwaza ili na lile, huku anaukaribia mlango, mkubwa wakutokea nje, mala akatupa macho yake nje ya jengo, upande wa maegesho, ambako alikuwa anaenda kufanya mapatano na dereva wa taxi, lisogee mlangoni kumchukuwa Ashura ambae tayari alikuwa amesha maliza tataratibu za kutoka hospital.


Ndipo Aziza alipo mwona shemeji yake Idd, anakuja kwa mwendo wa haraka kuja upande wake, akionekana mwenye kukunja uso kwa hasira na jadhba, ni wazi alikuwa amesikia au kuona kitu, kuhusu mdogo wake Ashura na Shaban, ambao yeye Aziza alikuwa amewaacha hatua chache nyuma, wakija taratibu Shaban akiwa amembeba mtoto.


Aziza anageuka kushoto kwake na kubadiri uelekeo, na alipopiga hatua kadhaa, akaweka mizigo yake chini na kutoa simu yake, na kuipiga kwa Ashura, simu ikaanza kuita, nae akagauka kutazama upande wa dirisha la karibu na mlangoni, akamwona Idd anakaribia mlango.


“hallow dada umesha pata gari?” inasikika sauti ya Ashura kwenye speeker za simu ya Aziza, “ebu jificheni haraka, huyu chizi anakuja mbio mbio, isije kuwa tafrani” alisema Aziza huku anatazama kule ambako wangetokea wakina Ashura, ni kweli aliwaona wawili wale, wakiwa wanaibukia toka kwenye mlango wa upande wa kolido la vyumba vya grad A.


Aziza anamwona Ashura anamweleza Shaban jambo flani, kisha kwa haraka wanabadiri uelekeo, huku Shaban akiwa bado ameshika mtoto, wanatokomea kwenye moja ya mlango uliopo karibu.


Aziza anatazama mlangoni, anamwona Idd anaingia ndani ya jengo kwa mwendo wa haraka sana, na kuelekea upande ule ule ambao yeye alikuwa ametokea.


Aziza akusubiri tena, alichukuwa mizigo yake haraka na kuelekea nje, kufanya taratibu za kupata usafiri, ili aweze kuwaondoa Shaban na Ashura hapa hospital, ambao wangejuwa wenyewe mbele ya safari wangefanya nini, kama ni kutoroka kwenda mbali na watoto wao, au Ashura kuomba taraka, ili wakaishi pamoja, wakiwa huru.********


Naaaaaam! Halima ambae ndie mkuu wa wauguzi, sasa anaonekana akiwa ameongozana na watu watano, na kufanya jumla yao kuwa sita, pamoja nae walikuwa wanawake wanne, na mwanaume mmoja mtu mzima, wote wanaonekana wakiwa katika nyuso za taharuki.


“atakuwa amepatwa na nini huyu mtoto, isije kuwa ni hizo pombe zake” anaongea mwanaume mtu mzima, alie valia koti la kidoctor, “ata mimi nashindwa kuelewa, yani Doctor inabidi uishie nje, maana huko ndani anafanya vitu vya aibu” alisisitiza Halima, ambae kati ya wanawake ali kuwa nao, alikuwepo Mwaija, ambae muda mfupi uliopita aliingia hapa hospitalini, akiwa na Siwema, na ndie alie tuma ujumbe kwa Halima akimjulisha mashaka yake juu ya Siwema.


“tumeona wagonjwa wakila aina na vituko chungu nzima sembuse huyu ambae tuna mfahamu” alisema yule mwanaume mtu mzima, akionyesha kudharau tahadhari ya Halima.


Lakini walipofika karibu na mlango, ndipo walipo anza kusikia minguno ya kimahaba, toka ndani ya ofisi, “asss….. assss nahamu ya kutombw……” sauti ya Siwema ilisikika wazi wazi toka ndani ya ofisi, hapo Doctor akusubiri aambiwe mala ya pili.


“Halima, mimi naenda kumwandaa dereva wagari la wagonjwa, hakikisha Siwema anawaishwa mnazi mmoja haraka, na usiondoke bila kukutana na ndugu zake, waeleze kuwa ilo siyo tatizo la kawaida, ni ushirikina umefanyika hapo” alisema Doctor, huku anaelekea upande wanje ya jengo.


Halima na wale wanawake wa tatu, wanaingia ndani ya ofisi kwa haraka, na walicho kikuta kiliwaacha midomo wazi, licha ya kuwa alikuwa mwanamke mwanzao, lakini aibu waliiona wao.


Wote kwa pamoja walimwona Siwema Makame, akiwa amelala chini, gauni amelipandisha mpaka tumboni, chupi hipo pembeni kabisa, kwamaana ameivua, alicho kuwa anakifanya sasa, ndio hatari yenyewe.


Kwamaana Siwema alie lala chini alikuwa ameinua miguu yake juu, huku ameitanua, anajitia vidole kama mtu mwenye haraka, anae tafuta kitu kwenye pochi au mkoba, “mnashangaa nini ebu mshikeni haraka” alisema Halima, na hapo wanawake wale wanne wakamvamia Halima na kumshika kwanguvu, huku Halima akifungua kabati moja na kutoa shuka nyeupe za hospital ambazo waligeuza kuwa kamba, za kumfungia Siwema.


Baada ya kuhakikisha wamesha mfunga vyema, na kumvalisha nguo zake vizuri, wanamtoa nje ya hospital huku anapiga kelele, “niacheni nyie wachawi, au mmetumwa na Radhia, aje kuniuwa, kauri zile ziliwashangaza watu walio sikia, kuanzia wagonjwa adi wauguzi, “sijuwi ananini huyu binti na huyo ndugu yake, yani toka aingie hapa anamtaja yeye” alisema Halima, aliekuwa anafwata nyuma na mkoba wa Siwema.


Dakika chache mbele tayari Siwema alikuwa amesha pakizwa kwenye gari la wagonjwa, na safari ya kuelekea mjini hospital ya mnazi mmoja ikaanza, huku njia nzima Siwema akipiga kelele, kama siyo kumtaja Radhia, basi ange sema anahamu ya kunyanduliwa, muda wote akijaribu kujipapatua.*********


Twende nyumbani kwa barozi Edgar, ambae sasa tuna mwona anamwachia Radhia, aliekuwa anapeana nae busu la mdomo, kwa maana ya kubadirishana mate, Radhia anaonekana amelegea vibaya sana, macho ayawezi kuona vizuri, hakika anatamani waendelee, kubusiana na kupapasana.


“mpenzi aiwezi kuwa sasa, kuna wegeni wanakusubiri chini, wanataka wakusalimie, baada ya hapo tutakuwa wote kuanzia sasa, ata baada ya dada yako kuondoka” alisema Edgar kwa sauti nzuto, huku ananyanyua Radhia toka kwenye kochi, na kumbeba juu juu, tayari kutoka nae chumbani.


“hapana Eddy ngoja nichukuwe mtandio, siwezi kwenda nywele zikiwa wazi” alisema Radhia, huku akijaribu kuleta ugumu wa kubebwa, “ok! wacha nikuchukulie” alisema Edgar, huku anamshusha Radhia na kuchukuwa mtandio juu ya kochi, kisha akampatia mpenzi wake, ambae alijipanda kichwani.


Lakini ile Edgar anataka kumnyakuwa tena, Radhia akakimbilia kwenye kioo, “hapana Edgar, uwezi kufanya hivyo, mwenzio sijazowea kubebana mbele za watu” alisema Radhia, ambae alipofika mbele ya kioo akajitazama usoni, “jamani Edgar, ulijuwa kuna watu na bado ukani fanyia hivi, ona macho yangu yamekuwa mekundu” alisema Radhia kwa kulalamika.


“wala usikonde, mpaka unafika sebuleni, tayari yatakuwa meupe, kwanza ata wakiona watajuwa ulikuwa umelala” alisema Edgar, na Radhia akacheka kidogo, huku wanaongozana kutoka nje ya chumba.**********


Wakati huo huo Hospital ya mnazi mmoja, Idd tembea haraka na kuelekea moja kwa moja, upande wa ward za grad A, huku akienda kusimama kwenye chumba alicho kuwa amelazwa mke wake na mtoto wao mchanga.


Lakini anapoingia ndani ya chumba kile, anaona kitanda kipo wazi, ila kuna yule muhuguzi wa alie mkuta jana asubuhi, akiwa anaondoa mashuka kitandani, hapa kuwa na dalili yoyote ya uwepo wa mgonjwa au mzazi mle ndani ya chumba.


“huyu mwanamke ameluhusiwa saa ngapi?” anauliza Idd kwa sauti yenye mshangao na jazba, kiasi cha yule mwanamke kumshangaa, maana Idd akukumbuka ata salamu kwa mtu aliemkuta mle ndani, “ametoka sasa hivi, amekuja kuchukuliwa na mume wake” alisema yule muuguzi, ambae alikuwa anaendelea na kazi zake.


Kauri ile inamshtua sana Idd, ambae anamtazama yule muuguzi kwa macho ya hasira, “mume wake kivipi weye, mimi ndie mume wake” alisema Idd kwa hasira, huku anaufwata mlango wa kutokea, “mh! pengine umepotea ward, ila hapa alikwepo mzazi anaitwa Ashura, na mume wake anaitwa Shaban, alikuwa nae hapa toka jana alipo mleta, usiku wa leo amelala hapa hapa” Idd alisikia maneno hayo wakati anamalizikia kutoka nje, ilibakia kidogo apaze sauti kwa kuchanyikiwa.


Idd alijikuta anasimama, na kumtazama yule muuguzi, kwa macho ya hasira, akitumia sekunde kadhaa, anashindwa aseme nini, anaishia kuondoka kwa hasira, kuwai nje, ya hospital, maana ana uhakika wa kuwa, ile vesper aliyo iona ni vesper ya Shaban, “wacha nimuwai kabla ajaondoka” alisema Idd, huku ana ongeza mwendo kuelekea upande wa nje, akipishana na watu wengi waliokuwa eneo lile, kila mmoja akiwa na shida yake. ........ ENDELEA…. KUFWATILIA HADITHI HII YA #ASALI_AITIWI_KIDOLE, HAPA HAPA jamii forums
 
ASALI HAITIWI KIDOLE
SEHEMU YA MIA MOJA NA NANE
MTUNZI: edgar MBOGO
WHATSAPP: 0717924403 au 0743632247.
ILIPOISHIA SEHEMU YA MIA MOJA NA SABA: Idd alijikuta anasimama, na kumtazama yule muuguzi, kwa macho ya hasira, akitumia sekunde kadhaa, anashindwa aseme nini, anaishia kuondoka kwa hasira, kuwai nje, ya hospital, maana ana uhakika wa kuwa, ile vesper aliyo iona ni vesper ya Shaban, “wacha nimuwai kabla ajaondoka” alisema Idd, huku ana ongeza mwendo kuelekea upande wa nje, akipishana na watu wengi waliokuwa eneo lile, kila mmoja akiwa na shida yake. ........ ENDELEA….


Idd akiwa katika ya eneo la ndani, la jengo la utawara la hospital, anatazama eneo la mlangoni, ambapo anamwona Aziza akiwa anaingia kwenye gari dogo la kukodi, yani taxi, akifwatiwa na Ashura alie mshika mtoto.


Idd anaongeza mwendo kuliwai gari, lakini anachelewa kidogo, maana tayari garii limeshaanza kuondoka, tena kwa haraka, ungesema walisha mwona, au walikuwa na taharifa kuwa alikuwepo eneo lile.


Ile Idd anaufikia mlango mkubwa wakutokea nje, tayari gari lile la kukodi, lilikuwa limesha fika kwenye lango la uzio wa hospital, haraka Idd anatazama upande wa maegesho, ambako anamwona Shaban akiwa anawasha vesper yake na kundoka taratibu.


Idd anashikwa na hasira, anajaribu kukimbilia ile vesper, ambayo licha ya kuondoka taratibu, lakini bado anashindwa kuifikia, kutokana na umbali aliokuwa nao, Idd anaishuhudia vesper inatoweka nje ya geti la uzio wa eneo la hospital.


“pumbavu huyu mwanamke atanikoma, ngoja niende huko huko nyumbani” alisema Idd, ambae aliamini kuwa mke wake ataelekea nyumbani moja kwa moja.


Lakini Idd akiwa anaifwata baskeri yake, mala akaliona gari la wagonjwa linaingia na kusimama, mbele ya jengo la hospital ikiwa ni mita kama ishilini tu, toka pale aliposimama yeye.


Wanashuka wauguzi wanne, huku wamemshika mwanamke mmoja ambae anapiga kelele nyingi sana, wakimwingiza ndani ya jengo la hospital upande wa wagonjwa wa dharula, na kati ya kelele zilizo mvutia Idd, ni ile ya kudai ya kuwa anahamu ya kunyanduliwa, “mbona kama ni Siwema yule” anajiuliza Idd, huku anaanza kutembea, kueleka kule ambako yule mwanamke anapelekwa, ili kwenda kuhakikisha kama ni Siwema au siyo Siwema, akiwa amesha sahau kuhusu Ashura na Shaban.


Idd anafwata kule wanako mpeleka Siwema, mpaka anapo kwama kwenye mlango ulio andikwa emergency, ni baada ya wauguzi kumwingiza Siwema ndani ya mlango huo, Idd anasimama kwa muda huku anatafuta namna ya kupata habari za Siwema. ********


Mida hii mzee Makame, alikuwa ofisini kwake, pamoja na wasaidizi wake, wakiandaa mipango ya kiutendaji, ikiwa nimalengo ya safari ambayo ingefanyika siku chache zijazo, kwenda nchini #Mbogo_Land, kujifunza namna ya kuendesha kilimo kwenye nchi yenye aridhi finyu.


Ndipo alipo pokea simu toka kwa mganga mkuu wa hospital magomeni, “nakumpa taarifa ya ugonjwa wa binti yake Siwema, uliotokea leo ghafla asubuhi hii, akiwa kazini, “mgonjwa amepelekwa mnazi mmoja, naomba aende mama yake, au mama yake mdogo, kwa wewe aitofaa kwenda hospital kwa sasa” alisema Doctor na kumfanya mzee Makame kuwa na maswali mengi, huku ajipa jibu ya kuwa, pengine ni ugonjwa unao wausu wakina mama.


“sawa kaka, wacha niwapigie nyumbani, wao watajuwa la kufanya” alisema mzee Makame, ambae kabla ya kupiga simu nyumbani alijiuliza maswali mengi sana, asa kuhusu ugonjwa wa Siwema wa ghafla, na hali ya ugonjwa wa Siwema mwenyewe.


“wacha nimweleza mama Radhia, aende hospital akaone kwanza, kabla mama Siwema ajajuwa lolote, maana inaweza kuwa ni tatizo ambalo linaweza kumshtua sana mama Siwema, na kumsababisha matatizo mengine” aliwaza mzee Makame huku anachukuwa simu yake na kupiga namba ya mke wake mdogo.*********


Hospital ya mnazi mmoja, habari za kuchanganyikiwa kwa Siwema, ambae ni mtoto wa mkuu mpya, wa idara ya kilimo na mifugo wa serikali ya mapinduzi ya zanzibar, zilianza kusamba pale hospital, kwa wauguzi na madoctor.


Huku kila mmoja akiingiza imani ya kushirikina katika uchizi wa ghafla wa Siwema, asa kutokana na maneno aliyokuwa anayaongea kwa kujirudia rudia, “nipelekeni kwa Radhia nikamwekee dawa ili aachwe na mume wake, aacheka kulinga” au yale maneno ya kudai kuwa, anatamani kupewa dudu.


Na kila dakika zilivyoenda, ndivyo hali ya Siwema ilivyo zidi kuwa mbaya zaidi, maana licha ya kufungwa mikono na miguu, lakini alijitikisa, huku analembua macho, akisisitiza anaitaji kunyanduliwa.


Amina alipata habari hii, akiwa upande wa VIP, nae akakimbilia kule emergency, ambako alimkubwa rafiki yake mkubwa yani Siwema, akiwa amezungukwa na jopo la waganga, safari hii, pasipo kujari ni wakike au wakiume, “nahamu ya kutombw…” Amina aliweza kumsikia rafiki yake akipiga kelele pale kitandani, “nataka mwanaume mmoja anitomb…” ilimshtua sana Siwema, ambae alianza kuhisi tayari amesha logwa.


lakini kabla aja waza mbali zaidi, akasikia tena kauri nyingine, toka kwa rafiki yake Siwema, “nipelekeni kwa Radhia nikamkomeshe, nataka aachane na mume wake haraka sana, aache kulingia mimba yake” mpaka hapo Amina akatoka mle ndani kimya kimya, na kuelekea upande wa nje wa jengo.


Hapo Siwema anaanza kujiuliza maswali magumu, “ni nani alie fanya hivi?” ni wazi awezi kupata jibu la haraka, “najuwa Radhia awezi kufanya hivi, maana hanaga moyo wa hivyo” aliwaza Amina, ambae alikuwa amesimama kwenye valanda la kutoka upande wa mapokezi ya wagonjwa wa zarula.


Amina anakumbuka jana usiku alimsikia mume wake kuwa, Said ameenda kukutana na Siwema nyumbani kwake, kwamaana kwamba, wamesha sameheana, “au mke wa Said amemloga dada wa watu?” anajiuliza Amina, ambae majibu aya mlizishi.


“samahani dada nikama juzi tulionana ukiwa na Siwema” Amina akiwa katikati ya mawazo anashtuliwa na sauti ya kiume, anapomtazama anamwona yule kijana ambae juzi alitambulishwa na Siwema kuwa ni mume wazamani wa Radhia.


“hoooo!, shemeji kumbe na wewe umekuja, hivi Siwema amepatwa na nini jamani mbona ameweuka ghafla namna hii?” aliuliza Amina kwa sauti yenye uoga na wasi wasi mwingi, “mimi mwenyewe nimemwona hapa hapa, kwahiyo ujajuwa chochote?” aliuliza Idd, kwa sauti yenye kujawa na udhuni kubwa.


“ata sijajuwa lolote, ila nasikia tu anasema wa mwache aende kwa Radhia akamkomeshe, ili aachane na mume wake” alisema Amina kwa sauti yenye majonzi makubwa.


Hapo Idd mala moja, anakumbuka kuhusu dawa na mashariti ya mganga Chongo, kwamba yakikosewa, kitatokea kitu kibaya, “mungu wangu, Siwema amesha haribu kila kitu” Idd alijikuta anaropoka bila kutarajia, huku anaondoka haraka, akimwacha Amina anamsindikiza kwa macho ya mshangao.


“huyu mwanaume atakuwa anajuwa kila kitu” anajisemea Amina, huku anamtazama Idd ambae alikuwa anaelekea kwenye maegesho, na kuchukuwa baskeri yake, ambayo anaipanda na kuondoka zake, huku akionekana wazi kuchanganyikiwa.


Amina anaingiwa na mashaka makubwa sana, “au kuna jambo walilifanya alafu limewashinda” aliwaza Amina, huku anajaribu kuwaza ni kitu gani kitakuwa kimefanyika na matokeo yakawa vile.


Maana akiangalia kwa haraka, Siwema hakuwa na adui zaidi ya chuki zaidi ya mdogo wake Radhia, ambae anamtaja muda wote, akisema anataka kwenda kumkomesha, ili aachane na mume wake, na kwa kumbu kumbu za haraka ni kwamba, jana yeye na Siwema walishuhudia Radhia akifanyiwa vipimo vya mimba na kukutwa mjamzito. ........ ENDELEA…. KUFWATILIA HADITHI HII YA #ASALI_AITIWI_KIDOLE, HAPA HAPA jamii forums
 
ASALI HAITIWI KIDOLE
SEHEMU YA MIA MOJA NA TISA
MTUNZI: edgar MBOGO
WHATSAPP: 0717924403 au 0743632247.
ILIPOISHIA SEHEMU YA MIA MOJA NA NANE: Maana akiangalia kwa haraka, Siwema hakuwa na adui zaidi ya chuki zaidi ya mdogo wake Radhia, ambae anamtaja muda wote, akisema anataka kwenda kumkomesha, ili aachane na mume wake, na kwa kumbu kumbu za haraka ni kwamba, jana yeye na Siwema walishuhudia Radhia akifanyiwa vipimo vya mimba na kukutwa mjamzito. ........ ENDELEA….


“Siwema alikuwa anafurahi sana swala la mdogo wake kukosa ujauzito” anajiwazia Amina, ambae akiunganisha na uwepo wa Idd kwenye swala ili, mwanaume ambae alishindwa kumpatia ujauzito mke wake, aliekaa nae miaka miwili, hapo Amina aliona wazi kuwa kuna jambo ambalo Radhia anaitaji kulifahamu, “lazima niwasiliane na Radhia, ili ajuwe la kufanya” alisema Amina, huku anatoa simu yake na kutafuta namba ya Radhia, ambayo aliifadhi kwa jina la Radhia Makame.********


Sasa twendeni nyumbani kwa mzee Makame, nyumba ambayo kwa sasa ilikuwa imejawa na amani tele, furaha kila kona, ata wakina Mariam na Zuhura kwa sasa walikuwa wanaongea na kucheka vizuri na wakina Zahara na kaka yao Mukhsin.


Hakika usingeona Mariam anaenda kutoa kitumbua kwaajili ya bakuri la urojo, au kachori, maana sasa angeweza kumwambia mama au dada yake Radhia, kiasi chochote cha fedha na angesaidiwa.


Ndani ya nyumba hii kwa sasa Mke mkubwa na mdogo walikaa na kuongea kwa furaha na amani, walijadiri na kupanga mambo ya msingi, huku wote wakizidi kunawili na kupendeza, ungesema warudia uschana wao.


Mida hii Mke wa mdogo wa mzee Makame, yani mama Radhia alikuwa chumbani kwake, anapanga baadhi ya nguo zake na zamumewe, kwenye kabati mahalumu la nguo, ndio mida aliyo sikia simu yake inaita, na alipo itazama akaona kuwa, mpigaji ni mume wake, ambae usiku wa leo alilala chumbani kwake, ikiwa ni zamu yake.


Mama Radhia ambae ukimwona kwa sasa unaweza kusema ni mwenye miaka 32 au 33, kwa jinsi alivyo nawili na kuwa mzuri na muwangavu, wa rangi yake ya kichotara, alijikuta anatabasamu peke yake, kwa kukumbuka walicho kifanya usiku wa wakuamkia leo, “naona ameshindwa kufanya kazi kwa kukumbuka jana usiku” anajisemea mama Radhia, huku anapokea simu, na kuweka sikioni.


“asalam aleykum mume wangu” alisalimia mama Radhia, kwa sauti tulivu yenye ujazo wa mahaba, “aleykum salam mke wangu, vipi hupo na nani hapo” ilikuwa sauti ya chini yenye usikivu wa mashaka na wasi wasi kidogo, toka kwa mzee Makame, kiasi cha kumpa mashaka mama Radhia.


“nipo chumbani mwenyewe, vipi kunanini mbona kama….” aliuliza mama Radhia, kwa sauti yenye wasi wasi, lakini akupewa nafasi ya kumalizia swali lake, “sikia mama Radhia, kunashida kidogo, inabidi uende hospital haraka sana” alisikika mzee Makame.


Hapo mama Radhia akashtuka kwanguvu, na kuhisi mapigo yake ya moyo yakianza kwenda kasi, kichwani kwake alihisi kuwa Radhia amepatwa na tatizo, na tatizo lenyewe, linaweza kuwa ni kuhusu ujauzito, wa binti yake huyo alio upata kwa tabu kubwa sana.


“kuna nini mume wangu, usiniambie Radhia amearibiki…” aliuliza mama Radhia kwa sauti yenye mshtuko mkubwa, iliyokaribia kuangua kilio, lakini mume wake anamuwai nakumkatiza, “sikia mama Radhia, siyo Radhia, ni Siwema, kwanza kabisa inabidi uwe mtulivu, nimekupigia wewe sababu nakuamini, na sitaki mama Siwema ajuwe lolote, ufike kwanza hospital kisha unijulishe kuna nini, maana wamesisitiza aende mwanamke” alisema mzee Makame.


Hapo kidogo mama Radhia akashusha pumzi, “sawa wacha niajiandae sasa amelazwa ward namba ngapi?,” anauliza mama Radhia, ambae licha ya kutulia, lakini bado, sauti yake aija kaa sawa, “nenda kwa mganga mkuu ukajitambulishe, yeye ata kueleza kila kitu, hakikisha unapanda taxi” alisisitiza mzee Makame, kabla awajaagana na kukata simu.


Licha ya kuwa na uhakika wakuwa aliepo hospital ni Siwema, na siyo Radhia kama alivyo hisi mwanzo, lakini mama Radhia bado alikuwa na wasi wasi mkubwa, juu ya kile kilicho mkuta mtoto wa mke mwenzie.*********


Wakati huo huo nyumbani kwa barozi Edgar, sebule ya sakafu ya chini ya nyumba hii, yenye ghorofa tatu, tuna waona watu kadhaa wakiwa katika mavazi tofauti tofauti.


Kwamaana ya wafanya kazi wa ndani, walio vaa nguo zao nyeusi, na vitambaa vyeupe, kwamaana ya eplon, na kofia nyeupe za vitambaa vyeupe vichwani mwao, ambao walikuwa wana wahudumia wageni kadhaa waliokuwa pale sebuleni.


Wageni hao ambao walikuwa wakike na wakiume, walikuwa katika mavazi tofauti tofauti, wapo walio valia mavazi ya hasiri ya #Mbogo_Land, yani kanzu nyeupe zenye Hariri za nyunzi za rangi ya dhahabu, na suruali yak eke yenye kufanana na kanzu zao, kama ilivyo kwenye kofia zao zenye mwonekano wa baraghashia, lakini nazo ni nyeupe zenye kudaliziwa kwa nyuzi za rangi ya dhababu, awa walikuwa wa sita.


Wapo walio valia suit nyeusi na wale walio vaa kawaida lakini kinadhifu, kama ni suruali na shati zuri, kama ilivyokuwa kwa wanawake walio ambatana na nao waliovalia magauni marefu mazuri, jumla yao wakiwa katika idadi ya idadi ya watu nane, tofauti na kundi la mwisho, ambalo lilikuwa na watu watatu tu, yani mwanamke mmoja na wanaume wawili, hao walikuwa wamevalia sale za jeshi la ulinzi.


Wageni wote hao, waliokuwa wametulia kwenye makochi makubwa ya kisasa, waliokuwa wanapata vinywaji mbali mbali, kila mmoja alikuwa ameambatana na box au kifurushi kilichofungwa vyema na kwaupekee wa hali ya juu.


Mala Edgar anapo ibukia sebuleni akiwa na Radhia, wote wanasimama, na kuinamisha vichwa vyao, “salaaaaam awe mama mwema na mkarim” walisalimia wote, kwa pamoja, sauti zao zikiwa na unyenyekevu wa hali ya juu, huku mkono wa kushoto wakiuweka mgongoni na wakulia wakuuweka kichwani eneo la utosi.


Aimshangazi tena Radhia, maana tayari sasa anafahamu baadhi ya mila na desturi za watu wa taifa la mume wake, maana alishaanza kujifunza kutoka kwa wafanya kazi wa mle ndani.


“salaaaaam, wageni wangu wema, karibu sana” aliitikia Radhia akifanya kama walivyofanya wageni wao, “asante sana” waliitikia kwa pamoja kabla ya kukaa kwenye viti yao.


Edgar na Radhia wakiwa mwametawaliwa na nyuso za tabasamu wanaendelea kusimama mbele ya wageni wao, Edgar anamgeukia Radhia na kumtazama usoni, ambae bado alikuwa ameshikwa na mshangao, ni wazi alikuwa na hamu ya kujuwa lengo na dhumuni la ugeni ule wa ghafla.


“mke wangu, leo asubuhi nilipo wapa taarifa ya ujauzito wako, awa ndugu zangu, waliamua kusitisha kazi zote, na kutumia muda huu wa asubuhi, kuja kukupongeza” alisema Edgar kisha akawatazama wale wageni, “nashukuru sana kwa kusitisha kazi zenu na kuamua kuja hapa kumpongeza mke wangu” alisema Edgar, akiwa mwenye wingi wa furaha.


Baada ya hapo kila mmoja wao aliinuka na kumpa pongezi Radhia, sambamba na kumpatia zawadi aliyo kuja nayo, “hongera sana shemeji, ni wazi umekuwa mama wa shujaa wa #Mbogo_Land” yalikuwa baadhi ya maneno ya wageni wale, ambao ni viongozi wa juu wa ubarozi wa #Mbogo_Land, katika sekta mbali mbali. ........ ENDELEA…. KUFWATILIA HADITHI HII YA #ASALI_AITIWI_KIDOLE, HAPA HAPA jamii forums
 
1733680339164.jpg

Mimi nikiwahi bandarini kwenda zanzibar kujilia uroda wa siwema masna nimesikia wazi anahitaji mgegedo
moneytalk
Abou Shaymaa
 
ASALI HAITIWI KIDOLE
SEHEMU YA MIA MOJA NA KUMI
MTUNZI: edgar MBOGO
WHATSAPP: 0717924403 au 0743632247.
ILIPOISHIA SEHEMU YA MIA MOJA NA TISA: Baada ya hapo kila mmoja wao aliinuka na kumpa pongezi Radhia, sambamba na kumpatia zawadi aliyo kuja nayo, “hongera sanashemeji, ni wazi umekuwa mama wa shujaa wa #Mbogo_Land” yalikuwa baadhi ya maneno ya wageni wale, ambao ni viongozi wa juu wa ubarozi wa #Mbogo_Land, katika sekta mbali mbali. ........ ENDELEA….


“asante sana” hakika ilikuwa ni furaha kubwa sana, ambayo ilimfanya Radhia ashindwe kujizuwia, kutokwa na machozi ya furaha, huku tabasamu angavu likiendelea kushamili usoni mwa binti huyu, ambae siyo tu uzuri wake wa hasiri, sasa alikuwa mrembo kweli kweli.**********


Kule hospital, Amina alikuwa ameshapiga simu mala kadhaa, bila majibu yoyote, “au anajuwa kilichotokea, ndio maana apokei simu, maana watu wapole nao wanamambo yao” anawaza Amina, huku akitilia mashaka ukimya wa Radhia.


“wacha ni mtumie ujumbe, ata kama amelala, akiamka ausome, kama ataki kuja na asije” alijisemea Amina, huku anaanza kuandika ujumbe kwenye simu yake, akimweleza Radhia hali ya dada yake.


Wakati Amina anamaliza kuandika ujumbe na kuutuma kwa Radhia, ndio wakati alipo mwona mama Radhia anashuka toka kwenye gari la kukodi, na kuanza kueleka upande wa jengo la utawara la hospital.


Amina akatoka mbio kumuwai mama Radhia, “asalam aleykum mama Radhia” anasalimia Amina, mala baada ya kumfikia mama Radhia ambae hapo mwanzo akuwa amemwona, “aleykum salam, habari yako” anaitikia mama Radhia huku anageuka na kumtazama msalimiaji.


Mama Radhia anaonyesha kumfahamu Amina, maana aliachia tabasamu la kuonyesha uafadhari, “naona umekuja kumwona Siwema” alisema Siwema, huku wanatembea kuelekea upande wa wagonjwa wa zarula, “nimepigiwa simu, ila sielewi kuna nini, unaweza kunifafanulia kidogo” anauliza mama Radhia, ambae anamfahamu Amina kuwa ni rafiki mkubwa Siwema.


“sijuwi kuelezeje mama, yani Siwema ameweuka kabisaaaaaa, muda wote anamtaja Radhia, sijuwi amepatwa na nini Siwema, na jaribu kumpigia simu Radhia nae pokei simu” alisema Amina wakati wanakaribia kuingia kwenye mlango wa wagonjwa wa dharula, ambako sasa palikuwa na ulinzi mkali.


“mama Radhia anajitambulisha kama mama wa Siwema na wote wawili wanaluhusiwa kuingia, yani Amina na mama Radhia, ambao sasa wanatembea kimya kimya kuelekea kule alikokuwa Siwema anapatiwa matibabu, huku mama Radhia akijiuliza, ni kwanini Siwema anamtaja binti yake katika uwenda zimu wake.**********

Naaaaaam!, lisaa limoja baadae, kila kitu kilikuwa kimekwisha, na wageni kuanza kutwanyika kurudi ofisini, “Radhia umewasiliana na dada yako, mbona mpaka sasa bado ajafika, au alikuwa anakutania?” aliuliza Edgar, wakati wanalitazama gari la mwisho kutoka nje ya geti.


Hapo ndipo Radhia alipokumbuka kuwa simu yake alikuwa ameiacha chumbani, “nacho juwa mimi dada ajawai kunitania, kila anachoongea na mimi uwa anadhamilia, kiwe kibaya au kizuri, japo ajawai kunitendea jambo zuri, lakini anaweza kuwa amenipigia simu, alafu akanikosa maana nimeiacha chumbani” anasema Radhia huku wanaingia ndani.


Kabla awajapiga hatua kadhaa wakiwa ndani, Edgar akamnyanyua Radhia juu juu, na kuanza kupandisha nae ngazi kuelekea nae chumbani, huku Radhia akizungusha mikono yake shingoni kwa mpenzi wake, nakuondoa wazo la simu, lililotekwa na msisimko uliomletewa hamu ya dudu.


Lakini Edgar bado anakumbu kumbu sahihi, maana wanapofika chumbani anamweka Radhia kitandani, kisha anaelekea kwenye kochi, na kuchukuwa simu ya mpenzi wake huyu, “itazame kwanza kama amekupigia” alisema Edgar, huku anampatia simu Radhia, na yeye akianza kuvua shati lake, ikiwa ni moja ya maandalizi ya kula kitumbua.


Radhia nikama akuipa kipa umbele sana ile simu, japo aliibofya na kukuta kuna missed call kadhaa na ujumbe, lakini macho na mawazo yalikuwa kwa Edgar, “missed call ya Amina” anajisemea Radhia, baada ya kuona jina la mpigaji wa simu, namba ambayo inamiaka kadhaa aijampigia ata siku moja, namba ambayo toka alipopewa, ni yeye tu aliwai kuipigia mala mbili, nasiyo mwenye namba kumpigia.


“ninani huyo Amina?” anauliza Edgar ambae alikuwa anamalizaia kuvua shati na kufwatia singland, “ni rafiki wa dada Siwema, tena ametuma na ujumbe” anasema Radhia, huku anafungua sms iliyotumwa na Amina.


Edgar anamtazama Radhia, ambae anamwona anasoma ujumbe kimya kimya, huku anakunja uso kwa mshtuko, ata anapomaliza anabakia ameachama mdomo wazi kwa mshangao na mshtuko.


Bila kuuliza Edgar anachukuwa simu toka kwa Radhia, na kusoma ujumbe, uliomshtua Radhia, “njoo mnazi mmoja haraka, Siwema ameletwa hapa anaonekana ameweuka” ndivyo ulivyo sema ujumbe huo, inawezekana vipi, si uliongea nae jana jioni, au anakutania” aliuliza Edgar, huku anaweka simu kitandani.


“sidhani kama ananitania, labda kuwe na jambo jingine kubwa zaidi, ila ngoja nimpigie kwanza mama” anasema Radhia, ambae uso wake unaonekana kupoa ghafla, huku anachukuwa simu kitandani, Edgar anamzuwia, “hapana ni vyema kama utafika kwanza hospital kuona kinachoendelea, kisha utoe taarifa nyumbani” alishauri Edgar, na hapo haraka wakaanza maandalizi.


Dakika chache baadae wote walikuwa ndani ya gari pamoja na walinzi wao wawili yani wakike na wakiume, na dereva wao, safari ya mnazi mmoja ikaanza, huku njianzima Radhia ambae alionekana wazi kunyongea, huku akijiuliza nini kimempata dada yake, muda wote alikuwa amejiegemeza kwenye bega la Edgar, ungejiuliza ni wapi aliutoa ujasiri wa kujidekeza na mna hiyo.


Ukweli ni kwamba, hii ilikuwa ni tabia ambayo, iliibuka ghafla wka Radhia, asa kutokana na upende wa hali ya juu wa Edgar, upendo ambao unamfanya yeye mwenyewe ajikute anazidi kumpenda sana kijana huyu, ambae alimwona ndie mwanaume sahihi na ndie mtu ambae akiwa nae anajiona yupo salama, kiasi cha kufanya vitu ambavyo, akuwai kufikilia kama atakuja kuvifanya mbele za watu wengine, ukiachilia vile wanavyo fanyiana wakiwa chumbani.*******


Naaaaaam!, mida hii kijana Idd, alikuwa dukani kwake, amekaa kwenyekiti ndani ya duka, anaonekana wazi kujawa na mawazo mengi sana, ambayo yalikuwa yanamnyima amani.


Kwa haraka ungejuwa anawaza kuhusu kitendo cha Shaban kwenda kumchukuwa mke wake hospital, lakini aikuwa hivyo, maana ata yeye akuonyesha kumjari mke wake wala mtoto, ambae toka alipo waona juzi asubuhi, ndio alikuwa ameenda leo.


Ukweli uzuni ilikuwa ni juu ya tukio la leo, maana alihisi ya kwamba ni wazi Siwema amekiuka mashariti, ya ile dawa aliyoyatoa mganga, “kwanini ajafwata mashariti, inamaana ndio tunamwacha Radhia anakula raha na yule mshenzi” anajisemeea Idd, akionyesha wazi kuwa afikilii, wala haofii kilicho mkuta Siwema.


Idd anawaza jinsi alivyo mwona Radhia mala ya mwisho, namna alivyonawili na kuzidi pendeza, “siwezi kukubari yule mjinga anishinde” anajisemea Idd kwa sauti yenye hasira na machungu, akionyesha wazi anaumia rohoni mwake.


“yule fala awaulize wenzake wakina Shaban, ndio ata nijuwa mimi ni nani” anajisemea Idd, ambae hapo anakumbuka kitu kilicho tokea hospital leo asubuhi, yani vile alivyo mwona Shaban pale hospital, huku mke wake Ashura, akiondoka na dada yake Aziza.


“hao nao dawa yao hipo jikoni, kwanza jioni naende kwa Aziza, kumshikisha adabu huyo mwanamke, naona bado anajifanya kuwa karibu na huyo mshenzi, eti anajiita mume wa Ashura, inamaana bado anatamani awe mke wake” anajisemea Idd, ambae anaendelea kuwaza.


“hivi kwanini sikumwambia yule rafiki yake Siwema, kuwa Radhia na yule mshenzi ndio wamemloga Siwema” anajiuliza Idd, ambae anajikuta anatabasamu, kwakuona kuwa ilo wazo ni zuri, kuwagombanisha wanafamilia wa Radhia, maana anajuwa kuwa mama Mariam na wakina Mariam wakisikia hivyo lazima moto uwake. ........ ENDELEA…. KUFWATILIA HADITHI HII YA #ASALI_AITIWI_KIDOLE, HAPA HAPA jamii forums
 
ASALI HAITIWI KIDOLE
SEHEMU YA MIA MOJA KUMI NA MOJA
MTUNZI: edgar MBOGO
WHATSAPP: 0717924403 au 0743632247.
ILIPOISHIA SEHEMU YA MIA MOJA NA KUMI: “hivi kwanini sikumwambia yule rafiki yake Siwema, kuwa Radhia na yule mshenzi ndio wamemloga Siwema” anajiuliza Idd, ambae anajikuta anatabasamu, kwakuona kuwa ilo wazo ni zuri, kuwagombanisha wanafamilia wa Radhia, maana anajuwa kuwa mama Mariam na wakina Mariam wakisikia hivyo lazima moto uwake. ........ ENDELEA….


“ngoja niende nika ongee nae, najuwa yule lazima atawaambia wakina Mariam” alijisemea Idd, huku anainuka toka kwenye kiti na kutoka nje ya duka, akachukuwa baskeri yake, na kuondoka kuelekea mnazi mmoja.********


Gari la wakina Edgar lina simama nje ya jengo la hospital, upande wa VIP, Edgar na Radhia wanashuka toka kwenye gari, sambamba na walinzi wao, ambao wanaelekea moja kwa moja kwenye ofisi ya mganga mkuu, ambae wanaambiwa yupo na mgonjwa upande wa emergency.


Kwamaelekezo ya msaidizi wa mganga mkuu, mgonjwa mwenyewe ni Siwema, hivyo nao wanaelekea upande huo, ata wanapofika kwenye chumba cha dharala alichokuwa anatibiwa Siwema, wanalinzi wanabakia nje, kule ndani anaingia barozi Edgar na Radhia.


Nao wanapoingia ndani wanamkuta mama Radhia akiwa na madoctor na nurse wengi wakiangaika na Siwema, ambae licha ya kumchoma sindano za usingizi, lakini azikusaidia ata kidogo, kati ya wale manusre alikuwepo Amina.


“nyie wanaume baada ya kuni tomb.. nyie mnanifunga funga kamba, kani amjuwi kuwa nina hamu ya kutombw…” hayo ndiyo maneno ya kwanza ambayo Radhia na Edgar waliyasikia, kabla ata ya kumfikia Siwema, alie kuwa amelazwa kitandani, huku amefungwa kwa mikanda mahalumu.


Radhia na Edgar wanatazamana usoni, kwa mshangao, kabla Radhia ajamtazama mama yake ambae alikuwa anamtazama kwa macho ya kumshangaa, kwamba amepataje taarifa.


Radhia na Edgar wanatembea kusogelea kitanda, “karibu mheshimiwa barozi” anakaribisha mganga mkuu, huku mnadoctor wengine wanaendelea kuchukuwa damu kwaajili ya zaidi.


“asante mzee wangu, poleni sana, vipi mmegundua chochote?” anauliza Edgar, na hapo nikama Siwema anagundua kuwa kuna watu wameongezeka mle ndani, maana aligeuza uso na wakuwatazama, “tume chukuwa vipimo vya mwanzo, hakika atujaona tatizo lolote, zaidi ya kiwango kidogo cha ulevi wa pombe” alisema mganga mkuu, ambae anaonyesha wazi kumfahamu Edgar.


Wakati huo Siwema alikuwa bado amemkazia macho Radhia, akionyesha wazi chuki na hasira kali, kiasi cha watu wengine kuanza kuhisi hatari zaidi, asa kutokana na maneno ambayo, Siwema alikuwa anayaongea muda wote.


Radhia nae anamtazama dada yake ambae bado amekodolea macho, “dada ni mimi Radhia, nini kumekutokea” anauliza Radhia, hapo mama Radhia anamsogelea Radhia haraka, maana alihisi kinachofwata, “afadhari umekuja mwenyewe, maana nimewaambia waniache nije kwako, wamekataa” alisema Siwema, kwa sauti kavu, yenye kila dalili ya uchizi.


Radhia anamtazama mama yake, “nikweli jana alipiga simu, akaniambia leo atakuja kunipikia” alisema Radhia, na hapo mama yake akashtuka na kumtazama mwanae, kama vile ameona kitu cha ajabu, lakini kabla akasema lolote, Siwema akawai, “ndiyo nilitaka nije nikupikie, alafu nikuwekee dawa kwenye chakula, uwe chini, uachana na mumeo unae jidai nae” hapo kila mmoja alitazama na mwenzie kwa macho ya mshangao.


Chumba kizima kilitulia kwa sekunde kadhaa, kila mmoja akitafakari maneno ya Siwema, “hapana dada utakuwa unanitania, usijari utakaa sawa” alisema Radhia, akionekana kuto kuamini anachoongea dada yake wakambo.


“unaona dharau zako Radhia, yani mimi nimepoteza hela zangu kwenda kwa babu Chongo, alafu wewe unasema natania, mkoba wangu huko wapi nichukuwe dawa nikulishe uwe chizi” alisema Siwema, huku akijitikisa kwa kujaribu kuinuka na kushindwa kufanya hivyo, kutoka na ile mikanda aliyo fungwa nayo.


Maneno yale yanamfanya Radhia ashindwe kujizuwia, na kuanza kuangaua kilio cha chini chini, mama yake ambae bado ametoa macho kwa mshangao, anasahau kumtazama binti yake, Radhia anasogea kwa Edgar, na kujiegemeza kifuani kwake.


“Doctor vipi kuhusu dawa za usingizi, kwanini msimchome wakati mnaendelea kumtibu?,” aliuliza Edgar, ambae aliona kuwa shemeji yake anaongea vitu vya ajabu, “tume mchoma sindano tatu, azijafanya kazi, tunaofia kuongeza zaidi, zinaweza kumzima mapigo ya moyo” alisema Doctor akitoa ufafanuzi.


Wakati huo watu wengine walikuwa kimya, wanajiuliza kuhusu maneno ya Siwema, ambayo licha ya kuyaongea katika hali ya uchizi, lakini aliyaongea bila kusita sita, wala kubabaika, “samahani Doctor, naomba tuongee kidogo pembeni” anasema mama mmoja mtu mzima, ni mmoja kati ya wale wauguzi wakike, wakatui huo wale wauguzi wa magomeni walikuwa wamesha ondoka.


Doctor mkuu na yule mama wanasogea pembeni, wakiwaacha baadhi ya madoctor na manesi, wakiwa wameduwaha, kwakile walichokisikia toka kwa Siwema, “Radhia upaswi kuwa hivyo, nivyema ukaomba kwa imani yako, ili dada yako awe sawa” alisema Edgar kwa sauti tulivu yenye kubembeleza, huku Amina ambae bado alikuwa mle ndani, akimtazama Radhia jinsi alivyojidekeza kwa mume wake, na kujuwa ni kwanini Siwema alikuwa anaweweseka juu ya mdogo wake huyu.


“ebu lionekwanza, linajifanya linajidekeza kwa mume wake, au kwasababu unahicho kimimba, tutaona nikitoka hapa lazima nikuwekee dawa kwenye chakula uachane nae, tuone kama utaendelea kulinga” alisikika Siwema, huku maneno hayo yakiwafanya waliokuwepo mle ndani, kuhisi chanzo ya haya mambo yote ni nini.


“we mwenywe siunaona anachosema, unazani kwanini amekuwa hivi” alisema Radhia, na hapo mama Radhia akawasogelea, Edgar na Radhia, “samahani baba, naomba tuongee hapo pembeni kidogo” alisema mama Radhia, huku anamtazama Edgar, ambae ni mkwe wake, “sawa mama” alisema Edgar, ambae alimshika Radhia vizuri, na kuanza kutembea nae kumfwata mama Radhia, ambae alikuwa anatembea kuelekea kwenye mlango.


Wote wanatoka nje ya chumba kile, ambako ukiachilia walinzi wawili, wa Edgar na Radhia, pia waliweza kuwaona Doctor na yule nurse, ambao walikuwa wanaongea kwa sauti za chini, wakisilizana na kusisitizana kwa umakini mkubwa, ni wazi walikuwa jadiri jambo nyeti sana.


Lakini walipo waona wakina mama Radhia, wakaacha kuongea na kutazama kwa sekunde chache, huku wakipeana ishala flani, nikama walikubariana jambo flani, maana Doctor aliwatazama wakinamama Radhia, “samahani jamani, tunaweza kuongea kidogo?” aliuliza Doctor, na hapo mama Radhia akamtazama Edgar, kabla ajamtazama tena Doctor.


“nilikuwa na maongezi na awa wanangu, akini tuna weza kuongea kwanza” alisema mama Radhia, na hapo Doctor akamtazama yule mama nurse, ni kama anamwomba luksa ya kuongea, nae akampa ishala ya kukubaria kwa kichwa.


“mama kwa jinsi inavyoonekana, ili swala la binti yako inabidi tiliangalie kwa upande wapili” alisema Doctor, kwa sauti yenye wingi wa tahadhari, “unamaana gani Doctor, au hospital hii imeshindwa kugundua tatizo?” aeliuliza alikuwa ni Edgar, “ukiachilia kuto kuona tatizo kwa mgonjwa, ila kuna uwezekano mkubwa tatizo lake likawa siyo la hospital” alisema Doctor, pasipo kufafanua.


Ni wazi Edgar alikuwa ajamwelewa, maana alimtazama mama Radhia kwa macho ya mshangao, kama vile anataka kujuwa kama yeye meelewa, “inaweza kuwa kweli baba, maana maneno anayo yaongea Siwema, anaonyesha kama kuna kitu kilitokea” alisema mama Radhia, na yule nurse wakike akadakia, “na hayo maneno anayo yaongeangea, siyo ya kuyapuuzia ata kidogo, ni wazi kuna ushirikina ndani yake” alisisitiza yule nurse.


Radhia na Edgar wanatazamana kwa macho ya mshangao, “kwahiyo ninani atakuwa amefanya hivi na ili iwe nini?” anauliza Radhia kwa sauti yenye mshangao na mshtuko, “kwanza atujathibitisha ilo, pia lazima tujuwe kuwa, ukweli wa haya mambo ujulikana kwa waganga wenyewe, na istoshe Siwema amemtaja babu Chongo” alisema yule mama nurse. ........ ENDELEA…. KUFWATILIA HADITHI HII YA #ASALI_AITIWI_KIDOLE, HAPA HAPA jamii forums
 
Back
Top Bottom