SIMULIZI: Asali haitiwi kidole

SIMULIZI: Asali haitiwi kidole

ASALI HAITIWI KIDOLE
SEHEMU YA MIA MOJA KUMI NA MBILI
MTUNZI: edgar MBOGO
WHATSAPP: 0717924403 au 0743632247.
ILIPOISHIA SEHEMU YA MIA MOJA KUMI MA MOJA: Radhia na Edgar wanatazamana kwa macho ya mshangao, “kwahiyo ninani atakuwa amefanya hivi na ili iwe nini?” anauliza Radhia kwa sauti yenye mshangao na mshtuko, “kwanza atujathibitisha ilo, pia lazima tujuwe kuwa, ukweli wa haya mambo ujulikana kwa waganga wenyewe, na istoshe Siwema amemtaja babu Chongo” alisema yule mama nurse. ........ ENDELEA….

“huyo babu Chongo ndie nani?” aliuliza Edgar, kwa ambae nikama alikuwa aamini kabisa kinachoendelea, “huyo ni mganga maarufu sana hapa ksiwani, anapatikana huko donge, alijibu yule mama nurse, “sasa tuta thibitishaje maneno yake?” aliuliza Radhia, akimtazama Doctor, “nazani amesema anadawa kwenye mkoba wake, inabidi tutazame hiyo dawa, kama kweli hipo” alisema Doctor.

Lakini wazo ilo lilipingwa na yule mama nurse, “hapana, atuwezi kupekuwa mkoba wa Siwema, maana atujuwi kilicho msababishia awe hivi, ni vyema yeye namkoba wake vikapelekwa kwa mganga” alishauri nurse mama mtu mzima, na wote wakakubalia, “lakini ni lazima nimjulishe baba yake na mama yake” alisema mama Radhia, huku anatoa simu yake na kuanza kupiga kwa mume wake.

Wakati huo Edgar na Radhia wakiongea na walinzi wao, ili kuratibu namna ya kumpeleka Siwema kwa mganga Chongo, pasipo watu wengine kujuwa swala ilo, maana ata wale manures wa mle ndani hawakutakiwa kujuwa, ikiwa ni pamoja na Amina ambae alikuwa na hamu ya kujuwa kinacho endelea, kwa kuona kuwa ingekuwa aibu kwa mzee Makame na familia yake.********

Naaaaaam!, dakika 30 baadae tayari habari zilisha wafikia wazazi wa Siwema, yani baba na mama yake, wakwanza kupata taarifa hizo akiwa ni mzee Makame, ambae alipigwa simu na mke wake mdogo, yani mama Radhia.

Nae mzee Abeid Makame, akaenda kwa mheshimiwa rais na kuomba udhuru, wa kwenda nyumbani kushugulikia tatizo lake ilo la kifamilia, ata baada ya kutoka ofisini, mzee Makame akaelekea nyumbani, ambako alimkuta mke wake anaendelea na kazi zake ndogo ndogo, akishirikiana na mabinti zake wawili, yani Mariam na Zuhura.

Wote walipo mwona mzee Makame, waligundua kuwa mzee huyu hakuwa sawa, kwamaana alikuwa naonekana wazi kunyongea, “baba Mariam vipi kuna tatizo, mbona mapema, alafu kama umekosa amani?” aliuliza mama Mariam ambae alikuwa amemfwata mume wake chumbani.

“hakuna shida kubwa sana, ila jiandae tunatakiwa kwenda hospital, nasikia Siwema amelazwa” alisema mzee Makame, akijitaidi kuto kumshtua mke wake, japo aikusaidia atakidogo, “unasemaje baba Mariam, Siwema amekutwa na nini naomba uniambie ukweli wala usinifiche” alipayuka mama Mariam, huku mshtuko wa wazi ukionekana usoni mwake.

Mzee Makame alitulia kwa sekunde kadhaa, akitafakari namna ya kumweleza mke wake, ili asimshtue na kumwogopesha, “inaonekana jana alilewa, sasa ameamka anaongea maneno ya siyo eleweka, kama vile amechanganyikiwa” alisema mzee Makame, huku anatoa baibui la mke wake na kumwekea kitandani, kwamaana ya kumsisitiza ajiandae waondoke.

“kwahiyo pombe tu, ndio apelekwe hospital, au kuna kitu wanatuficha?” aliuliza mama Mariam kwa sauti yenye mashaka, “kuliko kuendelea kujiuliza uliza huku umekaa, bora unge inuka na kujiandaa,tuondoke tuka mwone Siwema” alisema mzee Makame, na hapo mke wake akaanza kuvaa.********

Idd Kiparago, sasa alikuwa anaingia eneo la hospital ya mnazi mmoja, akaelekea kwenye maegesho ya magari, na kuifadhi baskeri yake, kama alivyofanya asubuhi, kisha akaelekea upande wa wagonjwa wa dharula, kule ambako alikutana na Amina, yani rafiki yake Siwema.

Safari hii alipofika alikuta kuna utofauti kidogo, maana zaidi ya amburace jingine tofauti na lile la mwanzo, pia kulikuwa na gari jingine jeusi, Toyota V8, sambamba na wauguzi na madoctor kadhaa.

Nae akasimama mita kadhaa, toka yalipo magari na watu, akijaribu kutazama kama angemwona Amina, akampenyezee zile habari za uongo, kwamba Radhia ndie alie mfanyia ulozi Siwema, kwa lengo la kuwafarakanisha wanafamilia wale, na kufanya Radhia achukiwe na ndugu zake, Idd alihisi kuwa inaweza kusaidia kumfanya Edgar asimpende kabisa Radhia na kumwacha kabisa, kisha yeye ajichukulie kiulaini.

Idd anatazama kwa umakini eneo lile lwenye wauguzi waliokuwa wamesimama pembeni ya magari yale mawili, anaowana wakiwa katika pilika pilika, kama vile kuna mgonjwa anasubiriwa, lakini akumwona Amina.

Idd akukata tamaa, aliendelea kutazama kwa dakika kadhaa, mpaka alipo waona wauguzi sita wanasikuma kitanda, chenye mgonjwa juu yake, alie fungwa kwa mikanda mahalumu, kutoa ndani ya jengo, kati ya wauguzi wale mmoja wapo alikuwepo Amina, huku madoctor wawili wanafwatia nyuma yake, sambamba na wa tu wengine watano, ambao ukiachilia wawili wakike na wakiume, huku yule wakike akiwa amebeba mkoba, hao ni walinzi binafsi, Idd aliwafahamu vyema kabisa wale watatu waliobakia.

Watu hao walikuwa ni mama Radhia, pamoja na Radhia mwenyewe, ambae alikuwa anatembea ubavuni mwa mpenzi wake Edgar, huku amehiegemeza kwenye bega la kijana huyu mrefu kwenye mwili wa mazoezi.

Idd anajihisi kama mwiba mkali wenye mcha ya msumeno, ukichoma moyoni mwake, na kumfanya akunje sura kwa maumivu ya wivu, “yaone kwanza yanajidai utazani sifa” anajisemea Idd, huku anatazama pembeni, akutaka kabisa kuona kile kinacho oonekana mbele yake.

“jitu linaacha kuowa wanawake wakwao huko, linakuja kuchukuwa huku kwetu” anajisemea Idd kwa sauti yenye chuki nahasira ya wivu, huku sura ameikunja kwa chuki ya wazi kabisa, akiwa amesahau kuhusu mke wake na kile kilicho tokea masaa machache yaliyo pita, hapa hapa hospital.

Idd akiwa katika wakati mgumu mala analiona gari jingine linaingia kwa speed ya haraka, na kwenda kusimama yalipokuwepo magari mengine, kisha anawaona wanashuka baba na mama Siwema, mama Siwema anakimbilia kwenye kitanda alicho fungiwa Siwema, ambae sasa walikuwa wanajiandaa kumpakiza kwenye gari, huku mzee Makame akifwatia nyuma.

Siwema anamwona mama yake na kumtambua, “afadhari mama umefika, waambie wanifungue nikatombw.., mwenzao nawaambia na hamu ya kutombw… wao wananifunga kamba” alilalamika Siwema, na hapo mama Siwema akaanza kuangua kilio.

“jamani mwanangu amekutwa na nini jamani” anasema mama Siwema huku anaendelea kuangua kilio, “sasa na wewe unalia baada ya kunifungulia nikamwekee dawa Radhia aachane na mume wake, au unapenda kuwaona wanavyo pendana?” anaongea Siwema, ambae zidi kumtia mama yake uchungu na kuongeza kilio.

Mama Radhia anamsogelea mke mwenzie na kumshika ili asije kuanguka kwa kilio, “jamani mwingizeni ndani ya gari, tuanze safari” alisema mama Radhia, akiona wazi kuwa Siwema anazidi kukichafua.

Hapo wauguzi wanamwingiza Siwema kwenye gari, pia wanaingia wauguzi wawili akiwepo yule mama mtu mzima, huku mzee Makame na wake zake wanaelekea kwenye gari lao, huku Edgar na Radhia wanaelekea kwenye gari lao, wakiwa wameshikana, Radhia muda wote analia huku amejiegemeza kwa Edgar.

Idd anayashuhudia hayo yote, roho inamuuma sana, asa anapo mwona Edgar anamfungulia mlango Radhia, kisha anamsadia kushikia gauni lake refu wakati wakuingia kwenye gari, “mshenzi lazima muachane nyie wachawi” anajisemea Idd ambae moyo unamchoma. ........ ENDELEA…. KUFWATILIA HADITHI HII YA #ASALI_AITIWI_KIDOLE, HAPA HAPA jamii forums
 
ASALI HAITIWI KIDOLE
SEHEMU YA MIA MOJA KUMI NA TATU
MTUNZI: edgar MBOGO
WHATSAPP: 0717924403 au 0743632247.
ILIPOISHIA SEHEMU YA MIA MOJA KUMI NA MBILI: Idd anayashuhudia hayo yote, roho inamuuma sana, asa anapo mwona Edgar anamfungulia mlango Radhia, kisha anamsadia kushikia gauni lake refu wakati wakuingia kwenye gari, “mshenzi lazima muachane nyie wachawi” anajisemea Idd ambae moyo unamchoma. ........ ENDELEA….

Safari inaanza mala moja, gari la wagonjwa lina tangulia, bila kupiga king’ora, gari la mzee Makame linafwata nyuma, likimalizia gari la wakina Edgar, ndani ya gari la mzee Makame, ambae yupo na wake zake wawili, mke mkubwa anaendelea kulia, huku mdogo akijaribu kubembeleza anyamaze, “kwahiyo ndiyo tunaenda kule mlikosema?” anauliza mzee Makame.

Kabla mama Radhia ajajibu, mama Mariam akainua shingo na kutazama mbele, kupitia kioo cha dereva, akaona wameacha barabara ya badarini na kushika barabara ya shamba, “kwani tunaenda wapi?” anauliza mama Siwema, “tunaenda kwa mganga chongo, huko ambako Siwema amekuwa anakujata taja kwamba alienda kuchukuwa dawa” alijibu mama Radhia, na hapo mama Siwema akamtazama mume wake.

“inamaana iliswala lilitokea mapema, na mkanificha?” aliuliza Siwema kwa sauti ya mshangao, yenye hasira na chukizo, “sasa ningefanyaje, ikiwa mimi mwenyewe nilishindwa kwenda kumwona, kutokana na maelezo ya Doctor” alijibu mzee Makame, kwa sauti ya upole.

Lakini aikusaidia, “kwahiyo mnajuwa kilicho mpata mwanangu mpaka amekuwa hivi, mna uhakika gani kama alienda kuchukuwa dawa kwa babu chongo, au mnsingizia mwanangu” alisema mama Siwema kwa sauti yenye mashaka, hapo mama Radhia na baba Radhia wakatazamana, kama vile wanaulizana wamjibu nini.

Lakini kabla awajapata jibu mama Siwema akapaza sauti, “nasema nyie wawili, yani wewe mwanamke na huyo Radhia wako, mtaniambia mmemfanya nini Siwema, aiwezekani ghafla awe hivi, mnajambo lenu mmelifanya na leo lazima muumbuke” alisema mama Siwema, kwa sauti ya juu yenye ukali.

Maneno ya mama Mariam yana mchoma mama Radhia, ambae anamtazama mume wake, amba anamwona mzee Makame, akikunja sura kwa hasira, lakini mke wake mdogo anawai na kumshika bega, akimzuwia kufanya au kutamka lolote baya.

Nikama inafanikiwa, maana mzee Makame anajishusha kidogo, “kwahiyo mama Siwema unamaanisha mama Radhia na Radhia wamemfanyia Siwema ushrikina?” anauliza mzee Makame, huku anajitaidi kuifanya sauti yake iwe ya taratibu.

“nini kinashindikana, kwani sijuwi kama mama Radhia ampendi Siwema, nasema hivi, nikigundua kuwa mama Radhia na binti yako, mme mfanyia ushirikina mwanangu, ukiendelea kuwepo nyumbani, basi nitaitaji taraka yangu mala moja” alisema mama Siwema, akionyesha kumaanisha anacho kisema.

Hapo mama Radhia akamtazama tena mzee Makame, ambae safari hii alimtazama mke wake mkubwa kwamacho makali, akitumia sekunde kadhaa, huku mama Radhia akifanya kama alivyofanya mwanzo, yani kulibinya bega la mume wake, ikiwa ni kumtuliza hasira.

Ikafanikiwa kama mwanzo, maana mzee Makame alitulia kidogo, “sawa mke wangu mama Mariam, ifadhi ulicho ongea, tungoje mwisho wa haya” alisema mzee Makame kwa sauti iliyo poa kidogo, japo aliopnekana wazi kupania kufanya kitu flani, ambacho kingekuwa adhabu kwa mama Siwema.

Mama Radhia aliliona ilo, “jamani mume wangu, upaswi kuwa hivyo, siunajuwa mama Siwema hayupo sawa, lazima ataongea manane kama hayo kwa hasira” alisema mama Radhia kwa sauti ya kuwatuliza wawili hawa.

Japo aikusaidia kitu, “sikia wewe mnafiki, mala zote unapenda kujifanya kama mnaonewa, ona sasa mlichofanya kwa mtoto wangu, nasema hivi, kama asipo pona na kurudia hali yake ya zamani, basi ama zako amazangu” alisema mama Siwema, kwa sauti yenye hasira.

Hapo kila mmoja akaa kimya, na kumwacha mama Siwema akianza kuangua kulio upya, kiasi cha mzee Makame kujilahumu kumchukuwa mke wake huyu na kuja nae huku, “bora ningemwacha nyumbani” alijiwazia mzee Makame, wakati wanaendelea na safari, kuelekea donge kwa babu Chongo.*********

Pale hospital Idd akiwa amesimama pale nje, anawatazama wauguzi na madoctor, waliokuwa wamesimama kwa vikundi vikundi, wakijadiliana jambo, mala anamwona Amina akiwa anasogea pembeni na kutoa simu yake kisha anapiga sehemu.

Idd bila kungoja anaenda mpaka pale alipokuwa amesimama Amina, aliekuwa amesogea pembeni, akijitenga na wenzake, ata alipomfikia akamsikia anaongea na simu.

“uwezi amini mume wangu, yani amekuwa chizi kabisaaaa, anaongea mambo ya ajabu ajabu” alisikika Amina, ambae alipomwona Idd, akaagaana na mtu aliekuwa anaongea nae, “basi nitakupigia baadae kidogo” alisema Amina kabla ya kukata simu.

“niambie shemeji, kumbe ulirudi tena” alisema Amina huku anaweka simu kwenye mfuko wa gauni lake jeupe alilovaa, “Siwema kuondoka bila kujuwa kinachoendelea, siunajuwa Siwema ni best yangu” alisema Idd, huku anajiweka katika hali ya uzuni.

“ndiyo hivyo bwana, wanamsafirisha kumpeleka dar, maana hapa awajaona ugonjwa wowote” alisema Amina, akionyesha kuwa katika hali ya uzuni pia, japo aikuwa yakwake ilikaribia kuwa uzuni ya kweli, “hapo wamebugi, ni vyema wangempeleka kwa Chongo” alisema Idd bila ata kutegemea, maana ilibakia kidogo atoboe siri.

Amina anakumbuka kuwa Siwema alitaka kuhusu mganga huyo mahalufu, na pia asubuhi, alihisi kuwa Idd anafahamu jambo kuhusu tatizo la Siwema, “unamaanisha nini shemeji, unataka kusema amelogwa?” aliuliza Amina, kwa sauti yenye mashaka.

Hapo Idd anatulia kidogo, akitafuta njia sahihi ya kuwakilisha ujumbe wake, maana akutaka kukosea kama mwanzo, “sikia shemeji, alinilitaka nikae kimya, lakini wacha tu nikuambie, maana wewe ni rafiki wa Siwema, na unaweza kumsaidia” alisema Idd kwa sauti yenye kupoa na kujawa na hisia kali, usingejiuliza kama anachotaka kuongea ni kweli au uongo.

Amina anatega sikio kwa umakini kumsikiza Idd, huku anamtazama usoni, “shemeji ukweli ni kwamba, Siwema siyo wa kumpeleka hospital kama mnavyozania, wapigie simu wampeleke kwa mganga Chongo, ningekuambia uwaambie alie mchezea, ila kiukweli unaweza kumgombanisha Radhia na familia yake yote” alisema Idd kwa sauti iliyojawa na kitu mfano wa busara, ambayo kwa mtu anamfahamu, angejuwa ni unafiki.

Inamshangaza Amina kiasi cha kumwacha mdomo wazi “weeeee!, usiniambie shemeji, inamaana Radhia ndie alie mfanyia hivyo dada yake, ndio maana muda wote Siwema anamtaja Radhia” alisema Amina kwa sauti yenye masikitiko na mshangao.

Hapo Idd akaona amefanikiwa kwa kile alichokita, “kumbe ulikuwa ujuwi tabia ya Radhia ya kupenda ushirikina, wengi wanajuwa kuwa nilimwacha kwaajili ya kuto kushika mimba, awajuwi kuwa nilimwacha kwasababu ya ushirikina, tena kama unaweza wajulishe mapema kabla awaja chelewa” alisema Idd akionyesha msisitizo. ........ ENDELEA…. KUFWATILIA HADITHI HII YA #ASALI_AITIWI_KIDOLE, HAPA HAPA jamii forums
 
Dah kila inapoishia unatamani kuendelea zaidi na zaidi hongera mtunzi ingawa Ni simulizi ila ni kama uhalisia.

Ila mama siwema achunge mana naye yatamkuta mazito kwa kumdhania mwenzie Vibaya mana huko kuumbuka kwa mwenzie anakokuombea asijue yeye ndo anaenda kuumbuka na aibu kubwa kwake yeye na mwanae.
 
ASALI HAITIWI KIDOLE
SEHEMU YA KWANZA
MTUNZI: EDGAR MBOGO
WHATSAPP: 0717924403 au 0743632247.

TAHADHARI: Hadithi hii ya #ASALI_HAITIWI_KIDOLE inayo somwa na mtu mwenye umri wa kuanzia miaka 18 na kuendelea, ni hadithi yenye kisa chenye ubunifu kwa hasilimia mia moja, sehemu, mitaa na majina yaliyo tumika, siyo harisi, ni ya kufikilika, na ayausiani na kisa hiki.

Kama kuna tukio au kitu chochote kitafanana katika hadithi hii, na tukio la kweli, basi aikuwa dhamira ya mwandishi, kama utakuwa na maoni ushauri au lolote wasiliana na mwandishi wa hadithi hii, si luksa kunakiri au kubadiri hadithi hii kwa lolote, katika matumizi yoyote, pasipo kibari cha mwandishi kupitia whatsapp namba 0717924403 au 0743632247.

Naaaaaaam!, hadithi yetu inaanzia kisiwani Zanzibar, ilikuwa ni jumanne yenye shamla shamla za sikuu za eid ya mfungo mosi, hii ni eid Ahl hadji, moja kati ya kuku kubwa sana kisiwani hapa.

Kama ilivyo kawaida, kwa wakazi wa kisiwa hiki, siku ya leo ilikuwa na pilika nyingi sana, toka asubuhi walionekana wake kwa waume wakitoka msikitini, huku wamependeza kwa mavazi mazuri mpya yenye kuvutia, huku wanawake wakiongoza kwa kupendeza, wakifwatiwa na watoto.

Hakika leo ni siku ambayo, hasilimia kubwa ya watu, walionekana wakiwa wenye nyuso za furaha, arufu nzuri ya vyakula ilizagaa mitaani, na kushibisha pua za kila wapita njia na wakazi, sambamba na sauti za music wa kasiwida, zilizokuwa zinasikika toka kwenye nyumba za watu, kila kona ya mitaa, na sehemu mbali mbali za biashara, zikizidi kuing’alisha siku kuu hii, ambayo kwa huku kisiwani uwa inasherehekewa kwa muda wa siku mbili, mpaka nne.

Mida ya saa saba za mchana, tupo mtaa wa jang’ombe kwa Soudi, ni mtaa wapili, toka kituo cha Mchina mwanzo, barabara kuu ya kiembe samaki, kupitia uwanja wa Amani.

Mtaa umechangamka sana kama mitaa mingine ya kiswahili, wanaonekana watu wengi wa lika mbali mbali, yani watoto vijana na wazee, wakike kwa wakiume, waliokuwa wamevalia nguo nzuri na mpya za kupendeza, huku wanawake wakiwa wamejipamba zaidi kwa kuchora mikono yao mauwa mazuri kwa kutumia wino wa ina.

Pia wanawake wananukia vyema utuli wa udi, wameficha miili yao kwenye magauni mazuri aina ya baibuhi na habaya, huku vichwani mwao wakificha nywele zao kwa hijab, za rangi mbali mbali, zilizoendana na nguo walizovaa.

Lakini tofauti ilikuwa nyumbani kwa mzee Abeid Ally Makame, ambapo kwanza kabisa, tuna mwona mzee Abeid mwenyewe anatoka nyumbani, akiwa ameongozana na wake zake wawili, yani mke mkubwa, akiwa mwenye hasiri ya Africa bila chembe chembe yoyote ya uchotara, huku bi mdogo akionekana kwenye dalili ya mbali ya uchotara.

Wake wote wawili wa Abeid Makame, wakiwa wamevalia vizuri, magauni yao mapya na hijab zao, zilizo zidi kuwapendezesha, pamoja na viatu vyao vizuri vya mikanda, kama ilivyokuwa kwa mume wao, ambae ni mwalimu wa shule ya sekondari ya mwanakwelekwe A, alie valia kanzu yake nyeupe mpya, na baraghashia nzuri yenye rangi ya kanzu yake.

Chini alivalia makubanzi, (sendo) za kisasa, ya rangi nyeusi, huku hasiri ya mzee huyu akiwa ni mwafrika hasiria bila chembe chembe yoyote ya mshanganyiko wa hasiri ya taifa au kabila jingine toka nje ya bara la africa.

Lakini ukiwatazama vyema watu awa watatu, utagundua utofauti kati yao, asa katika mwonekano wa hali ya nyuso zao, maana wakati mzee Abeid akiwa katika hali ya kawaida, mke mdogo alionekana kuwa katika hali ya kukosa furaha, kwa kiasi flani, huku mke mkubwa akiwa mwingi wa tabasamu.

Wakati huo huo, kwenye kibaraza cha nyumba ya mwalimu Abeid Makame, wanaonekana watu watatu, wote wakiwa na hasiri ya uchotara japo ulikuwa umefifia, lakini uliwapendezesha, kati yao alikuwepo binti mdogo wakike mwenye umri wa kati ya miaka kumi adi kumi na moja, pia wakiume mwenye umri wa miaka kati ya kumi sita adi kumi na saba.

Walikuwa na dada yao, ambae umri wake, ni mkadilio wa miaka kati ya ishilini sita au ishilini na tano, aliekuwa anawasindikiza kwa macho baba na mama zake, huku uso wake ukiwa umenyongea kwa mawazo, nae pia kama wale watoto, alikuwa na hasiri ya uchotara, ambao licha ya kuwa ulio fifia, lakini uzuri wake ulionekana wazi wazi, kuanzia sura adi mwili wake, ata uzuni aliyonayo usoni mwake ilishindwa kuondoa uzuri wake wa hasiri.

Tofauti na wadogo zake ni kwamba, yeye alikuwa amevalia mavazi ya kawaida, ambayo japo yalikuwa ni masafi, na unaweza kuvalia popote katika siku za kawaida, pengine ata leo ndiyo aliyovaa msikitini, lakini ni wazi yalikuwa ya zamani, tunaweza kusema yalisha maliza eid moja au mbili kabla ya leo.

Ila pia licha mwonekano wa uzuri wake huo, akuwa amejipamba kwa chochote, kama wanawake wengine wahuko mtaani, ni kama wale watoto wawili, ambao mavazi yao licha ya kuwa masafi, ila pia yalionekana ayakuwa mapya, huku wote wakiwa wamekaa kibarazani, nyuso zao zimekata tamaa, macho yao yakitazama kushoto na kulia, yani kwenye barabara ya mtaa, ni wazi walitarajia kumwona mtu flani.

“kaka Mu, mbona rafiki yako mwenyewe aji sasa?” aliuliza yule mschana mdogo, wa miaka kumi na moja, huku anamtazama yule kijana wamiaka kumi na saba, ambae akujibu kitu zaidi ya kutazama kushoto na kulia, huku uso wake ukionyesha wasi wasi na kukata tamaa.

Dada mkubwa anawatazama wadogo zake, huku anawaona jinsi walivyo sawajika nyuso zao, “dada Radhia, mpigie kwanza umuulize mbona aji” anasema yule mschana mdogo, ambae ni kama alisha kata tamaa, au aliona anacheleweshwa jambo flani.

“Jamani Zahara, uwe mvumilivu kidogo, kwani na yeye binadamu eti, lazima ale akoge ndio aje” anasema yule mwanamke mkubwa, kwa sauti tulivu iliyolemewa na uchungu flani, ambae kwa matazamo wa kawaida, ni mzuri wa sura umbo na rangi ya ngozi yake, “alisema anakuja mchana, lakini mpaka sasa ajaja” alilalamika Zahara.

Zilisha pita dakika kumi, toka mzee Abeid na mke wake waondoke, sasa mlango mkubwa wa mbele unafunguliwa, wanatokea watu watano, yani wanawake wawili wakubwa, mmoja akiwa na umri wa miaka 24 na mwenzie akiwa na umri wa miaka 21, wakiwa na watoto watatu, wakike wawili na wakiume mmoja, ambao umri wao aukuzidi miaka sita, mdogo kabisa akiwa na mkadilio wa miaka mitatu.

Wote walikuwa wenye hasiri ya weusi, lakini awa dada wawili walikuwa wamejipamba wakapambika, na kufanya ule msemo wa usichague mke ngomani utimie, maana licha ya kuwa walikuwa ni wazuri kiasiri, na wenye kuvutia lakini siyo kama Radhia, huyu alie kaa hapa kibarazani, ila walizidi kupendeza kwa mapambo walivyo jiweka. ITAENDELEA…….
Kijana wacha uwongo bwana, mimi kila siku natia kidole asali, wewe unashindwaje?
 
Madokta wajinga sana
Siwema kashasena anataka kunyanduliwa nyie mnahangaika nini?

Mpeni haki yake mtoto kautaka
 
ASALI HAITIWI KIDOLE
SEHEMU YA MIA MOJA KUMI NA NNE
MTUNZI: edgar MBOGO
WHATSAPP: 0717924403 au 0743632247.
ILIPOISHIA SEHEMU YA MIA MOJA NA TANO: Hapo Idd akaona amefanikiwa kwa kile alichokita, “kumbe ulikuwa ujuwi tabia ya Radhia ya kupenda ushirikina, wengi wanajuwa kuwa nilimwacha kwaajili ya kuto kushika mimba, awajuwi kuwa nilimwacha kwasababu ya ushirikina, tena kama unaweza wajulishe mapema kabla awaja chelewa” alisema Idd akionyesha msisitizo. ........ ENDELEA….

Hapo haraka sana, bila kungoja ata dakika moja, Amina akatoa simu yake mfukoni na kutafuta namba ya mama Mariam, ambayo alipoipata akaipiga mala moja, na bahati nzuri kwake, simu aikuita sana ikapokelewa na mama Mariam mwenyewe.*********

Wakati huo Ashura na mtoto wake mdogo, aliekuwa na umri wa siku tatu, alikuwa nyumbani kwa Aziza, yani dada yake wa damu, baba mmoja mama mmoja.

Ashura alikuwa amejilaza sebuleni kwenye mkeka, pembeni amemlaza Ashraf, kwenye tandiko zuri la watoto, huku amemfunika kwa chandarua mahalumu ya watoto, ilikuzuwia wadudu wadogo wadogo na hatari ndogo ndogo zinazoweza kumpata mtoto.

Aziza dada wa Ashura, alikuwa amekaa pembeni yao, pamoja na mtoto wake mdogo, aliekuwa anamshangaa mtoto huyu mchanga, “Ashura, kwa sasa naona ufanye uyamalize, ili ukaishi na Shaban, wasije kuumizana” alisema Aziza, akionyesha kusisitiza kile alichokisema, “lakini dada wewe mwenyewe umeona, licha ya vituko vyote, lakini wala aonyeshi dalili ya kuniacha, ndio kwanza anazidi kuwa King’anga’anizi” alisema Ashura kwa sauti ya kulalamika.

“sasa unazani utafanyaje, mwisho wasiku ata watu wakijuwa watakuona wewe ndie mkrofi, maana kwa mwanamke kuishi na wote wawili aifai” alisema Aziza, akimtaka mdogo wake kufanya kitu sahihi, “safari hii nitajitaidi nimfanyie makusudi zaidi mpaka atoe taraka” alisema Ashura au mama Ashraf.

“na mimi ukianza tu, nitakusaidia, ngoja aje uone” alisema Aziza, akionyesha kumchukia Idd, “unazani atakuja leo, anaweza kumaliza ata week bila kuja, yani toka alipo mwona Radhia kwenye TV, amechanganyikiwa kama nini” alisema Ashura.

“mh!, achanganyikiwe na nini sasa, si alimwacha yeye mwenyewe, au ndio wivu wake kama kawaida yake” alisema Aziza, kwa sauti yenye mshangao, “Idd kwako siyo mgeni, anaweza kuowa ata wanawake kumi, mradi awaaribie wenzie, nasiyo kwamba anawapenda au anauwezo wa kulala nao” alisema Ashura, na wote wakacheka kwa masikitiko.

“nasemaje we mwache aje uone, leo simbakishi ata kidogo, lazima na taraka akupatie, mbona Shani amepatia taraka yake” alisema Aziza kwa sauti yenye hasira kali, huku kichwani mwake akiamini kuwa lazima Idd angekuja baada ya kuwakosa kule hospital.********

Radhia na Edgar akiwa gari la nyuma kabisa, katika msafara huu wenye magari matatu, ulio jumuisha gari moja la wagonjwa na magari mawili ya serikali, yani moja la ikulu, na jingine la ubarozi wa #Mbogo_Land.

Muda wote wakiwa njiani, Radhia anaonekana kukosa amani kabisa, maana akujuwa kwanini dada yake anatamka maneno kama yale, tena akiwa katika hali ya kuchanyikiwa, “kwahiyo Radhia, unaamini kuwa maneno ya dada yako ni ya kweli, kwamba anakuchukia kiasi cha kutaka kukuzuru” anauliza Edgar, huku ana papasa kichwa cha mpenzi wake huyu, ambae alikuwa ameegemea kifua chake.

Radhia anaanza kwa kukubari kwa kichwa, “we unaonaje Edgar, yani mtu amechanganyikiwa nab ado ananitaja taja mimi, unazani chuki aliyonayo ni yakawaida kweli?” anauliza Radhia, kwa sauti iliyojawa na uzuni kubwa sana, “naimani ata badirika, siuliona jana alikuambia kuwa anataka kuja kukupikia” alisema Edgar wakwa sauti ya kubembeleza.

“sidhani kama alikuwa anakuja kwamoyo safi, kwani hukusikia aliposema kuwa aje niwekee dawa kwenye chakula niachane na wewe” alisema Radhia, ambae uzuni yake ilikuwa ni ya kiwango cha juu, “usijari mama, nazani unafahamu kuwa hayupo sawa, yale anayo yaongea ata yeye ayajuwi” alisema Edgar, kwa sauti ya kubembeleza, wakati huo walinzi wake na dereva wakiwa kimya kabisa, muda wote Jasmin, yani mlinzi wa Radhia alikuwa ameshikilia ule mkoba wa Siwema.

Wakati hayo yanaendelea kwenye gari la wakina Edgar, huko mbele kabisa, kwenye gari la wagonjwa, Siwema bado alikuwa anaendelea kuomba aachiliwe akanyanduliwe, kwa madai ya kwamba, alikuwa anasikia hamu ya kunyanduliwa kupita kiasi.

Wakati huo huo, ndani ya gari la kati kati, yani nyuma ya gari la wagonjwa, ambalo lilikuwa lime beba watu watano, yani dereva, msaidizi wa mzee Makame, na mzee Makame mwenyewe, alie ambatana na wake zake wa tatu.

Ukimya ulikuwa umetawara kwa muda mrefu, kila mmoja ni kama alikuwa anatafakari juu ya mambo yanayo tokea kwenye familia yao, na nadio wakati ambao mama Siwema alisikia simu yake inaita, alipoitazama ilikuwa namba ngeni.

Hakushangaa sana, wala akujizuwia kupokea simu, maana toka alipo badiri simu baada ya kununua hii mpya, namba nyingi zilitoweka, na sasa zinakuja bila majina, “hallow asalam aleykum” alisalimia mama Siwema ambae alikuwa amekaa karibu kabisa na mume wake japo alikuwa ameegemea upande wa moango, kwamaana akutaka kumwegemea mume wake, akionyesha kuchukia.

“aleykum salaam mama, ni mimi Amina rafiki yake Siwema” ilisikika sauti toka upande wapili wa simu, “ndiyo mwanangu, nazani tulikuacha hapo hospital” alisema mama Siwema, “ni kweli mama, nimepiga kukumbia kuwa msimpeleke Siwema dar es salaam, maana ilo tatizo siyo la hospital, mpelekeni kwa babu Chongo anaweza kupona” ilisikika sauti ya kike, toka upande wa pili wa simu.

Mama Siwema anamtazama mume wake, ambae anaonekana akiwa ametazama mbele, kama vile akuwa anafwatilia maongezi yake, “kwanini unasema hivyo mwanangu?” aliuliza mama Siwema huku anamtazama mama Radhia, ambae anaonekana akiwa anatazama nyumba za pembeni ya barabara, kupitia kioo cha mlango wake.

“kwakweli mama sipendi kugombanisha familia yenu, ila kwaajili ya rafiki yangu, wacha nikuambie ukweli” kusikia hivyo mama Siwema anashtuka kidogo, na kumtazama tena mume wake, lakini anamwona hana habari yoyote, yupo busy anatazama mbele, ambako linaonekana gari la wagonjwa likiwa linachochora kuelekea donge.

“niambie tu mwanangu wala usiwe na wasi wasi” alisema mama Siwema, na hapo ndipo mzee Makame na mke mdogo, yani mama Radhia, wakamtazama mama Siwema, kwamaana walivutiwa na maneno yake.

“mama, yani uwezi amini, ni Radhia ndie alie mfanyia hivyo mwenzie, siunajuwa hao wawili hawapatan…” kabla Amina ajamaliza kuongea tayari mama Siwema alisha mdaka, “yani nilikuwa na hisi hivyo hivyo, nashukuru sana mwanangu” alisema mama Siwema na kukata simu, “mwaka huu lazima patachimbika, na nikibaini kuwa ni kweli, amako amazangu” alisema mama Siwema, ambae japo akumtaja mtu, lakini maneno yake yalionyesha wazi kulenga mama Radhia.

“mama Siwema kwa umri wako, aupaswi kukatazwa kitu mala mbili mbali, nimesema kaa kimya” alisema mzee Makame, kwa sauti ye chini lakini yenye ukali, “siwezi kukaa kimya, mpaka huyu mwanamke aondoke kwenye maisha yetu, aiwezekani, kila siku linazuka jambo baya kwawanangu, kama siyo uchawi ni nini” anasema mama Siwema kwa sauti ya ukali. ........ ENDELEA…. KUFWATILIA HADITHI HII YA #ASALI_AITIWI_KIDOLE, HAPA HAPA jamii forums
 
ASALI HAITIWI KIDOLE
SEHEMU YA MIA MOJA KUMI NA TANO
MTUNZI: edgar MBOGO
WHATSAPP: 0717924403 au 0743632247.
ILIPOISHIA SEHEMU YA MIA MOJA NA NNE: “mama Siwema kwa umri wako, aupaswi kukatazwa kitu mala mbili mbali, nimesema kaa kimya” alisema mzee Makame, kwa sauti ye chini lakini yenye ukali, “siwezi kukaa kimya, mpaka huyu mwanamke aondoke kwenye maisha yetu, aiwezekani, kila siku linazuka jambo baya kwawanangu, kama siyo uchawi ni nini” anasema mama Siwema kwa sauti ya ukali. ........ ENDELEA….

Mzee Makame anajikaza kwa kiasi flani, anamtazama mke wake, “sijuwi utafanyaje ili Radhia asisikie maneno aya?” anauliza mzee Makame, kwa sauti yenye kupoa, “wala usiwe na shaka mume wangu, Radhia amezowea masimango na kutangaziwa uzushi wa uongo” alijibu mama Radhia, kwa sauti yenye kupoa pia.

Wakati huo huo gari la mbele linaacha barabara kuu, na kuchepukia barabara moja ya vumbi, inayoingia mashambani, huku wakianza kuziacha nyumba za barabarani, na kuanza kuzipita nyumba moja moja, ata mwendo wa magari pia ulipungua.

Daikika tano baadae tayari walikuwa wamesha ziacha nyumba zote, na kuingia eneo lenye mashamba ya minazi, ambayo walitembea nayo kwa mwendo wa nusu kilomita, mpaka walipofika eneo lenye nne tu, likiwa na watu wengi sana, waliokuwa wanasubiri kupata huduma ya babu ya babu Chongo, kwamaana tayari walikuwa walikuwa wamesha fika, kwa mganga huyo maharufu, aliekosa chembe ya huruma.

Magari yana simama na haraka sana, watu wanashuka toka kwenye magari, wakiambatana na mgonjwa aliekuwa amefungwa kwenye kitanda cha wagonjwa, na kuanza kuelekea kwenye kibanda cha udongo, huku mzee Makame na Edgar, wakisaidiana na nurse mama mtu mzima, kuomba kwa wangojeao wengine, kwamba wanaomba wawatangulie kumwona mganga, sababu mgonjwa wao walikuwa na hali mbaya.

Bahati nzuri wenzao wanatambua shida yao, na wanawakubaria waingie ndani kwa mganga, lakini kwa kuwa subsubiri wale walio kuwepo ndani, yani kwenye kibanda cha mganga kutoka nje, baada ya kumalizana na mganga Chongo.*******

Masaa mawili baadae Siwema anaingizwa ndani ya banda la babu Chongo, akiwa na mama yake na mzee Makame, huku wengine wakiwa wamebakia nje, lakini babu Chongo anapo mwona tu anabadirika na kuwa kama mtu alie pandwa na mapepo.

Maana ghafla alianza kuunguruma kama samba, “griii, huuuu, simameni hapo hapo, waiteni wengine mliokuja nao” alisema mganga Chongo, kwa sauti nzito tofauti na ile yak wake iliyo zoeleka.

Hapo mzee Makame akatoka nje na kuwaita wengine, yani wanaafamilia pekee, ukiachilia mama Radhia na Radhia, pia mzee Makame alimtaka Edgar pia aingia ndani ya kibanda hicho cha mganga, “baba naomba na wewe uingie, angalau tuwe wananaume wawili” alisema mzee Makame, akimtaka Edgar kuingia ndani pamoja nao.

Edgar mwanzo alitaka kukataa, lakini kwa kuona kuna umuhimu wa kuwa karibu ba mke wake yani Radhia, pia kwakutamani kuona jinsi mambo ya uganga yanavyo kuwa, akaingia ndani pamoja nao, huku mama Radhia akiwa amebeba mkoba wa Siwema, ambao ni kama hawakuujari sana wala kuutilia maanani.

Dakika tano baadae, tayari wote walikuwa ndani kibanda cha mganga, huku Siwema akiwa amefungwa kamba, sasa alikuwa amezibwa mdomo, ili asiendelee kutamka maneno yake ya aibu.

Mganga Chongo ambae bado alikuwa katika hali ya kupandisha maluhani, anachukuwa kitu flani kama mkia wang’ombe, na kuuchovya kwenye maji flani, kisha anaanza kuongea maneno flani ya ajabu, maneno ambayo, ata wakina mzee Makame awakuyaelewa, kwamaana ayakutambuliwa ni ya lugha gani.

Huku anaukung’uta mkia ule kwa Siwema, akifanya hivyo kwa kurudia rudia, na kuendelea kuongea maneno yale yale, ambayo ayaeleweki, mpaka pale Siwema alipoanza kutulia na kuonekana kupunguza vurugu, “mfungueni kamba” alisema babu Chongo kwa sauti ile ile nzito, huku anasitisha kidogo kumwaga maji, lakini bado anaendelea kuongea.

Edgar na mzee Makame wanamfungua kamba Siwema, ambae bado licha ya kufunguliwa kamba zote, lakini akuonyesha vurugu yoyote, wala kuongea maneno kama ya mwanzo, kwa kifupi Siwema alikuwa ametulia kama zezeta.

Wakati huo mle ndani, kila mmoja anawaza jambo lake, wakati mzee mama Radhia na Radhia wanawaza kama mzee Makame, kwamba Siwema apone, na kueleza kilicho msibu, huku Edgar alikuwa anashangaa kwa kuona imani zinavyoweza kufanya kazi.

Tofauti na mama Siwema, ambae alikuwa ametulia anatazama mganga anavyo fanya mambo yake, huku kichwani mwake, akiwaza na kusubiri kwa hamu, jinsi mganga atakavyomtaja Radhia, au mama yake, kuwa ndio walio mchawia binti yake.

Babu Chongo anaendelea kukung’uta ule mkia wa ng’ombe kwa Siwema, lakini ghafla akaacha kufanya vile, na kuanza kuunguruma, “griiii! Griiii!, ni kosa kubwa sana, huyu binti amefanya makosa makubwa sana” alisikika babu Chongo akiongea kwa sauti ya kuunguruma.

Hapo kila mmoja anatega sikio kwa umakini, “amefanya kosa kubwa sana, ameshika dawa akiwa mchafu” alisema babu Chongo, kwa sauti ile ile, “dawa aikuwa ya kwake, ilikuwa ya mtu mwingine” alisema babu Chongo, ambae sasa alianza kuwatazama wote mla ndani, mmoja baada ya mwingine, mpaka macho yake yanapokwama kwa Radhia.

“ni wewe hapo” alisema babu Chongo, kwa sauti yenye mikoromo isiyo ya kawaida, huku anamtazama Radhia aliekaa na Edgar, Radhia anaingiwa na uoga mkubwa, anajibanza ubavuni kwa Edgar, ambae anashika vyema mke wake.

Mama Siwema anamtazama Radhia kwa macho ya hasira, kumbe wewe ndie chanzo cha haya yote, alafu unajifanya ujuwi kitu” anasema mama Siwema, kwa sauti ya hasira na chuki, “hapanaaaaa!” anasema mganga kwa sauti ya juu na ukali.

“chanzo siyo huyu, chanzo ni wivu” alisema babu Chongo, huku anamtazama mama Siwema, ambae alikuwa anamtazama mganga kwa macho yenye shahuku, huku masikio yake yakiwa na kiu ya kusikia atasema je.

Naaaaaam! hapo mganga babu Chongo, akaanza kueleza kile kilicho takiwa kuelezwa, maana kiukweli ni kama akuwa anaongea yeye, “Siwema na Idd waliomba dawa ya kumdhuru Radhia, ili aachane na mume wake, ombi la Siwema lilikuwa ni kumpatia ukichaa Radhia” alieleza mganga kwa sauti ile ile ambayo ungesema kuna jitu kubwa lilikuwa linaongea ndani yake.

Ilimwacha na mshtuko mshangao na aibu ya hali ya juu mama Siwema, ambae alitazama chini, “Siwema alienda tofauti na maelekezo, dawa ilikuwa ikawekwe kwenye chakula, lakini isiguswe ukiwa na uchafu wowote, kitu ambacho Siwema alishindwa kukifwata, ndio maana yupo hivi” alieleza mganga Chongo.

Radhia anamtazama Edgar, huku wakikumbuka kuhusu ahadi ya Siwema kwa mba angekuja kuwapikia chakula cha mchana, mzee Makame na mama Radhia wanamtazama Radhia, ambae anaonekana anaficha uso wake kwenye kifua cha Edgar, na kujifuta machozi.

Mama Siwema anaonekana akiwa ametazama chini kwa aibu, huku Siwema mwenyewe akiwa ametulia katika hali ya uzezeta, “baba tutafanyaje ili arudi katika hali yake ya kawaida?” anauliza mama Radhia, “kwanza mna bahati mlimleta mapema, kabla ajagusa chakula cha jalalani, pia mnabahati mlimuwai kabla ajaingiliwa na mwanaume yoyote, katika hali hii ya wazimu, kuna vitu vinaitajika, ili akae sawa” alisema mzee Chongo. ........ ENDELEA…. KUFWATILIA HADITHI HII YA #ASALI_AITIWI_KIDOLE, HAPA HAPA jamii forums
 
Babu anamaanisha wamemuwahi siwema kabla mimi sijamgegedua

Sasa itakuwaje na mimi ndiyo nimeingia zanzibar haoa na supu ya pweza nimeshakula ya laki 2?

moneytalk unanishauri nini?
geuza tu urudi nyumban,hizo nguvu zakusaidiwa na pweza kazitumie kwa kina mwajuma ndala ndefu
 
Waungwana Hebu Tushauriane Kidogo Kabla Ya Kuendelea,
Mkasa Unaofuta (Simulizi Ijayo)
Tuendelee Kubakia Zanzibar au Turudi Dar Es Salaam?

Maoni Yenu Yanatakiwa Maana Zote Ni Nondo Nashindwa Nianze Na Ipi ,Kwasababu Radhia Tuna Malizana Nae Leo Baada Ya Kwenda Mbogo Land Kuoga Dhahabu.
 
Sio mbaya kama ukibadirisha Radha kaka ukaingiaaa dar then ukaturudisha kisiwani baada ya kuishaaa....sisi walaji hatuchagui chagula kaka
 
Back
Top Bottom