Abou Shaymaa
JF-Expert Member
- Oct 19, 2022
- 1,479
- 3,229
- Thread starter
- #361
ASALI HAITIWI KIDOLE
SEHEMU YA MIA MOJA KUMI NA MBILI
MTUNZI: edgar MBOGO
WHATSAPP: 0717924403 au 0743632247.
ILIPOISHIA SEHEMU YA MIA MOJA KUMI MA MOJA: Radhia na Edgar wanatazamana kwa macho ya mshangao, “kwahiyo ninani atakuwa amefanya hivi na ili iwe nini?” anauliza Radhia kwa sauti yenye mshangao na mshtuko, “kwanza atujathibitisha ilo, pia lazima tujuwe kuwa, ukweli wa haya mambo ujulikana kwa waganga wenyewe, na istoshe Siwema amemtaja babu Chongo” alisema yule mama nurse. ........ ENDELEA….
“huyo babu Chongo ndie nani?” aliuliza Edgar, kwa ambae nikama alikuwa aamini kabisa kinachoendelea, “huyo ni mganga maarufu sana hapa ksiwani, anapatikana huko donge, alijibu yule mama nurse, “sasa tuta thibitishaje maneno yake?” aliuliza Radhia, akimtazama Doctor, “nazani amesema anadawa kwenye mkoba wake, inabidi tutazame hiyo dawa, kama kweli hipo” alisema Doctor.
Lakini wazo ilo lilipingwa na yule mama nurse, “hapana, atuwezi kupekuwa mkoba wa Siwema, maana atujuwi kilicho msababishia awe hivi, ni vyema yeye namkoba wake vikapelekwa kwa mganga” alishauri nurse mama mtu mzima, na wote wakakubalia, “lakini ni lazima nimjulishe baba yake na mama yake” alisema mama Radhia, huku anatoa simu yake na kuanza kupiga kwa mume wake.
Wakati huo Edgar na Radhia wakiongea na walinzi wao, ili kuratibu namna ya kumpeleka Siwema kwa mganga Chongo, pasipo watu wengine kujuwa swala ilo, maana ata wale manures wa mle ndani hawakutakiwa kujuwa, ikiwa ni pamoja na Amina ambae alikuwa na hamu ya kujuwa kinacho endelea, kwa kuona kuwa ingekuwa aibu kwa mzee Makame na familia yake.********
Naaaaaam!, dakika 30 baadae tayari habari zilisha wafikia wazazi wa Siwema, yani baba na mama yake, wakwanza kupata taarifa hizo akiwa ni mzee Makame, ambae alipigwa simu na mke wake mdogo, yani mama Radhia.
Nae mzee Abeid Makame, akaenda kwa mheshimiwa rais na kuomba udhuru, wa kwenda nyumbani kushugulikia tatizo lake ilo la kifamilia, ata baada ya kutoka ofisini, mzee Makame akaelekea nyumbani, ambako alimkuta mke wake anaendelea na kazi zake ndogo ndogo, akishirikiana na mabinti zake wawili, yani Mariam na Zuhura.
Wote walipo mwona mzee Makame, waligundua kuwa mzee huyu hakuwa sawa, kwamaana alikuwa naonekana wazi kunyongea, “baba Mariam vipi kuna tatizo, mbona mapema, alafu kama umekosa amani?” aliuliza mama Mariam ambae alikuwa amemfwata mume wake chumbani.
“hakuna shida kubwa sana, ila jiandae tunatakiwa kwenda hospital, nasikia Siwema amelazwa” alisema mzee Makame, akijitaidi kuto kumshtua mke wake, japo aikusaidia atakidogo, “unasemaje baba Mariam, Siwema amekutwa na nini naomba uniambie ukweli wala usinifiche” alipayuka mama Mariam, huku mshtuko wa wazi ukionekana usoni mwake.
Mzee Makame alitulia kwa sekunde kadhaa, akitafakari namna ya kumweleza mke wake, ili asimshtue na kumwogopesha, “inaonekana jana alilewa, sasa ameamka anaongea maneno ya siyo eleweka, kama vile amechanganyikiwa” alisema mzee Makame, huku anatoa baibui la mke wake na kumwekea kitandani, kwamaana ya kumsisitiza ajiandae waondoke.
“kwahiyo pombe tu, ndio apelekwe hospital, au kuna kitu wanatuficha?” aliuliza mama Mariam kwa sauti yenye mashaka, “kuliko kuendelea kujiuliza uliza huku umekaa, bora unge inuka na kujiandaa,tuondoke tuka mwone Siwema” alisema mzee Makame, na hapo mke wake akaanza kuvaa.********
Idd Kiparago, sasa alikuwa anaingia eneo la hospital ya mnazi mmoja, akaelekea kwenye maegesho ya magari, na kuifadhi baskeri yake, kama alivyofanya asubuhi, kisha akaelekea upande wa wagonjwa wa dharula, kule ambako alikutana na Amina, yani rafiki yake Siwema.
Safari hii alipofika alikuta kuna utofauti kidogo, maana zaidi ya amburace jingine tofauti na lile la mwanzo, pia kulikuwa na gari jingine jeusi, Toyota V8, sambamba na wauguzi na madoctor kadhaa.
Nae akasimama mita kadhaa, toka yalipo magari na watu, akijaribu kutazama kama angemwona Amina, akampenyezee zile habari za uongo, kwamba Radhia ndie alie mfanyia ulozi Siwema, kwa lengo la kuwafarakanisha wanafamilia wale, na kufanya Radhia achukiwe na ndugu zake, Idd alihisi kuwa inaweza kusaidia kumfanya Edgar asimpende kabisa Radhia na kumwacha kabisa, kisha yeye ajichukulie kiulaini.
Idd anatazama kwa umakini eneo lile lwenye wauguzi waliokuwa wamesimama pembeni ya magari yale mawili, anaowana wakiwa katika pilika pilika, kama vile kuna mgonjwa anasubiriwa, lakini akumwona Amina.
Idd akukata tamaa, aliendelea kutazama kwa dakika kadhaa, mpaka alipo waona wauguzi sita wanasikuma kitanda, chenye mgonjwa juu yake, alie fungwa kwa mikanda mahalumu, kutoa ndani ya jengo, kati ya wauguzi wale mmoja wapo alikuwepo Amina, huku madoctor wawili wanafwatia nyuma yake, sambamba na wa tu wengine watano, ambao ukiachilia wawili wakike na wakiume, huku yule wakike akiwa amebeba mkoba, hao ni walinzi binafsi, Idd aliwafahamu vyema kabisa wale watatu waliobakia.
Watu hao walikuwa ni mama Radhia, pamoja na Radhia mwenyewe, ambae alikuwa anatembea ubavuni mwa mpenzi wake Edgar, huku amehiegemeza kwenye bega la kijana huyu mrefu kwenye mwili wa mazoezi.
Idd anajihisi kama mwiba mkali wenye mcha ya msumeno, ukichoma moyoni mwake, na kumfanya akunje sura kwa maumivu ya wivu, “yaone kwanza yanajidai utazani sifa” anajisemea Idd, huku anatazama pembeni, akutaka kabisa kuona kile kinacho oonekana mbele yake.
“jitu linaacha kuowa wanawake wakwao huko, linakuja kuchukuwa huku kwetu” anajisemea Idd kwa sauti yenye chuki nahasira ya wivu, huku sura ameikunja kwa chuki ya wazi kabisa, akiwa amesahau kuhusu mke wake na kile kilicho tokea masaa machache yaliyo pita, hapa hapa hospital.
Idd akiwa katika wakati mgumu mala analiona gari jingine linaingia kwa speed ya haraka, na kwenda kusimama yalipokuwepo magari mengine, kisha anawaona wanashuka baba na mama Siwema, mama Siwema anakimbilia kwenye kitanda alicho fungiwa Siwema, ambae sasa walikuwa wanajiandaa kumpakiza kwenye gari, huku mzee Makame akifwatia nyuma.
Siwema anamwona mama yake na kumtambua, “afadhari mama umefika, waambie wanifungue nikatombw.., mwenzao nawaambia na hamu ya kutombw… wao wananifunga kamba” alilalamika Siwema, na hapo mama Siwema akaanza kuangua kilio.
“jamani mwanangu amekutwa na nini jamani” anasema mama Siwema huku anaendelea kuangua kilio, “sasa na wewe unalia baada ya kunifungulia nikamwekee dawa Radhia aachane na mume wake, au unapenda kuwaona wanavyo pendana?” anaongea Siwema, ambae zidi kumtia mama yake uchungu na kuongeza kilio.
Mama Radhia anamsogelea mke mwenzie na kumshika ili asije kuanguka kwa kilio, “jamani mwingizeni ndani ya gari, tuanze safari” alisema mama Radhia, akiona wazi kuwa Siwema anazidi kukichafua.
Hapo wauguzi wanamwingiza Siwema kwenye gari, pia wanaingia wauguzi wawili akiwepo yule mama mtu mzima, huku mzee Makame na wake zake wanaelekea kwenye gari lao, huku Edgar na Radhia wanaelekea kwenye gari lao, wakiwa wameshikana, Radhia muda wote analia huku amejiegemeza kwa Edgar.
Idd anayashuhudia hayo yote, roho inamuuma sana, asa anapo mwona Edgar anamfungulia mlango Radhia, kisha anamsadia kushikia gauni lake refu wakati wakuingia kwenye gari, “mshenzi lazima muachane nyie wachawi” anajisemea Idd ambae moyo unamchoma. ........ ENDELEA…. KUFWATILIA HADITHI HII YA #ASALI_AITIWI_KIDOLE, HAPA HAPA jamii forums