Simulizi fupi: Mtoto wa miaka 8 alifanya nikajuta kuishi ugenini

Mimi kishanikera sidhani kama nina mood ya kuendelea kusoma story yake. Nakerekwa sana na tabia ya kucheleweshewa kitu ninachotaka kwa wakati fulani huwa sikawii kususa.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
nliishia palepale alipoishia mara ya kwanza,, sitaki ata kuendelea kusoma tena maanake najua kaandika uongo
 
Siku ambayo mmeumbuka wewe na Asha wako kwa kusema uongo ilibidi usepe. Unakaa ugenini muda wote huo unatafuta nini? Ilibidi yakukute makubwa zaidi ujifunze.
😁😁😁😁😁 Aisha kaniponza
 
alipoona tumemuwahi kwa mbele akaamua yasiwe makubwa. hajazungumzia tena suala la macho kiini kubadilika rangi. alitaka kuingizia uchawi na mazingaombwe akaona wadau tumekaa rada. kaamua kuichinjia baharini story
 
Sijaona tukio la ajabu zaidi naota tu utoto una wasumbu .afu kijana una onekana ni mbea sana wewe

alipoona tumemuwahi kwa mbele akaamua yasiwe makubwa. hajazungumzia tena suala la macho kiini kubadilika rangi. alitaka kuingizia uchawi na mazingaombwe akaona wadau tumekaa rada. kaamua kuichinjia baharini story
Tofautisha Kati ya mashetani na uchawi mkuu
 
Kwa hio Aisha km mtt wa kwenye movie ya the orphan!!!!!!! [emoji15]
 
Nilishakutana na mkasa kama huu lakini alikuwa ni mtoto wa kiume miaka kama 13. Nilipewa hifadhi kwao kipindi najitafuta, nikawa nalala nae room moja usiku akawa ananisogezea vimakalio vyake nilimtia bonge la ngumi hatokaa anisahau.

Yaani ningeuingia ule mtego sijui sasa hivi ningekuwa wapi.
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…