Inaendelea sehemu ya 5
Maisha yaliendelea pale kwa mama mkubwa furaha na amani vilitawala muda mwingi nilikuwa na sister angu Mara twende town nimsindikize huku alikuwa ananikubari sababu Mimi ni mtu wa utani real comedian ukikaa na Mimi utacheka Sana.....
Ila shemeji mama yake na Aisha hatukuwa na mazoea kivile tokea yaliyotokea siku Ile kuhusu kutaka kuniwekea sumu,sikuwa na tatizo nae na nilijua Aisha ni muongo sijui alikuwa ana Nia gani na mama yake Yani mtoto wa miaka 8 anakuwa hivi au tunaishi na mkubwa mwezetu yupo nikawa nafikiria labda mama Aisha anamtumia Aisha kuja kuniharibia hapa kwa mama mkubwa Ila mbona ni mtu Safi tu mkarimu na muongeaji mzuri tu nikawa natafakari maisha ya ugenini ni magumu
Kuna siku moja nilikuwa nipo chumbani baada ya mishe nikajilaza nikapitiwa na usingizi nakuja kushtuka namuona Aisha kanilalia yupo juu yangu naye kusinzia nikamtoa taratibu...
Nikamlaza taratibu pembeni
Aisha alizidisha vituko Mara anifanyie hivi Kuna muda anaongea maneno ya kikubwa mpaka nikawa nashangaa huyu mtoto kajifunzia wapi au anamsikiliza Nani hili swala ikabidi nimwambie sister angu ili aweze kunisaidi lile Jambo likamfikia mama mkubwa ikabidi aishi achezee viboko ya kutosha kutoka kwa mama yake na Bibi yake mama mkubwa na aniombe samahani na arudishwe kwao tanga...mama mkubwa akawa ananisumulia hii tabia ya Aisha ni Mara ya pili inatokea ndo Mana ata walivyosikia malalamiko kutoka kwangu wakaamini Aisha amerudia tabia yake ambaye walijua ameshaacha na kingine Aisha alikuwa ana mashetani ambayo yalikuwa yanapelekea kufanya hivyo ikabidi nimuelezee yote yalitokea na nilivyojitahidi kujizuia na kumkemea pale nilipoona yanazidi
Aisha na mama yake ilibidi waende tanga kwa mapumziko kidogo
Maisha yaliendelea vizuri mpaka likizo ilipo malizika nikarudi chuo
.......,......... MWISHO..........
Nb : Imebidi Kuna vitu nivipunguze ili story isiwe ndefu Sana Ila mkasa ndo huo niliopata ugenini...Aisha nilimchukulia Kama mwanangu na nilikuwa namkemea kila akitaka kunishika sehemu nyeti..
Aisha saizi ni mkubwa ana miaka 12 na shuleni Yuko vizuri sanaa