Simulizi fupi: Mtoto wa miaka 8 alifanya nikajuta kuishi ugenini

Write your reply...umenikumbusha asee hivivitoto vyaskuizi sjui nivakishetan..mm mpaka sahv kunavitoto viwili vyasista shemej yan kamoja kanamiaka 11 kengine miaka 8..vinasoma shule nzuri tu mamayao anamkwanja wakutosha.. tatzo nikwahvi vitoto ukifika kwao vinakurukia mapajani mara vitake kukukisi mdamwingine vinashika dudu inabidi ukunje nne ..ukivikatalia vinaanza visa vikurukie mgongoni vikuvute vute masikio ..ukivipa simu vicheze gem dakika mbili vinawasha data vinaangalia muvi zawatu wazima ...siku nikipata mda nta weka nyuzi kiukweli wazazi kuweni makini nawatoto wenu sanyingne tunaogopa kuwachapa ukaona tunawachukia labda
 
Weka uzi huo mkuu
 
Hivi huwa mnafaidika nini kuandika uongo? maana imekuwa kama fasheni. eti jicho kiini kinabadilika rangi.... umeangalia movies za kutisha then unaamua kuja itungia story
Jamaa anatoka kuoga anakuta mtoto yuko kitandani kwake,anaganda mlangoni,mtoto anasema atapiga kelele,...sasa hapa kuna mantiki gani???(wew upo zako mlangoni hata hujaingia chumbani,ndo kwanza watoka kuoga,binti yupo kitandani,sasa angepiga hizo kelele huyo mama ake na wengine wakaja,wangeamini vipi maneno ya binti kuwa alitaka kubakwa ili hali,wewe ulikuwa bafuni??

Kwanini aogope,kiasi cha kumbembeleza mtoto atoke,akati angeweza sema tu,nimetoka bafuni,nikamkuta chumbani kwangu,kuna jambo la kougopa na kuwa mpole hapo??

Huyu jamaa ni tapeli,kama yule wa yunge sjui,yaani yule kuku pori ndo muongo sana yule.
 
Write your reply...umenikumbusha asee hivivitoto vyaskuizi sjui nivakishetan..mm mpaka sahv kunavitoto viwili vyasista shemej yan kamoja kanamiaka 11 kengine miaka 8..vinasoma shule nzuri tu mamayao anamkwanja wakutosha.. tatzo nikwahvi vitoto ukifika kwao vinakurukia mapajani mara vitake kukukisi mdamwingine vinashika dudu inabidi ukunje nne ..ukivikatalia vinaanza visa vikurukie mgongoni vikuvute vute masikio ..ukivipa simu vicheze gem dakika mbili vinawasha data vinaangalia muvi zawatu wazima ...siku nikipata mda nta weka nyuzi kiukweli wazazi kuweni makini nawatoto wenu sanyingne tunaogopa kuwachapa ukaona tunawachukia labda
Usiweke uzi mkuu sio kwa uandishi huu😜😜

natania bruh
 
Ile yako ya uchawi wa kigoma ilikua haina mwendelezo?

Au nyie mwaona vijiti kwenye macho ya wenzenu tu
Oya acha ndoto za mchana sina uzi hata mmoja huku wa mambo ya kichawi kiufupi sina uzi wowote humu mm nacomment tu hebu anagalia vizuri na epuka kufananisha id
 
Mtoto hatengenezi mazoea na mgeni kiboya tu.
Ni mgeni ili aonekane anajali basi huwa anatengeneza mazoea na watoto anaowakuta hapo.

Umeharibu familia ya watu mkuu.
 
Madogo mna raha sana, siku hizi mna platform nyingi za kujifunzia kuandika

Miaka ya nyuma mpaka ubahatike kupata nafasi magazetini au uchape kitabu, na maeneo yote hayo mawili haikuwa rahisi kupata nafasi
 
Wewe nae kama fala kutukatisha katisha utamu boya wewe. Hebu fanya story iishe haraka tujadili hii mada.

Ila vitoto vya namna hiyo unakategea kamera kwa kificho halafu unakaongelesha kila kitu kawe kanaropoka upuuzi wake. Unaweka mtego hata mara tatu ili uweke ushahidi kabisa maana vinakuwaga vishenzi sana hivi vitoto kikikaa mbele za watu kinajifanya kitoto kisichoweza jielezea kumbe kanajitambua vizuri tu.

Hakuna cha mashetani wala nini hako kamepevuka mapema kabla ya umri wake.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Umeongea ukweli kabisa wanachukulia kule kuonekana mtoto ndo ngao yakujikingia sikuizi jmn dunia imebadilika sana sema jamaa anamoyo kama mm ningeshaaga zangu mapema tu yanini kesi zakudhalilika kama hivi inakera
 
Back
Top Bottom