Simulizi: Harakati za Jason Sizya

Simulizi: Harakati za Jason Sizya

Kipind cha nyuma hpo kidogo nilikua msomaji mzuri wa simulizi nyingi hapa jamiiforums...ila siku hiz naona hamna simulizi nzuri kma za kipindi cha nyuma
Mifano ya simulizi nzuri nilizosoma nikazipenda ni kama
1.Vipepeo weusi
2.Mtutu wa Bunduki
3.Monica
 
Sawa...
 
Bishop achana na hao,hawajui riwaya,tuletee vitu tuburudika na Jason!
 
Haha! Siwezi kuupinga mtazamo wake, huwezi jua pengine yeye ndiye mtunzi wa stori mojawapo, au chawa wa mtunzi hivyo anazipigia debe.

NB: riwaya nitaleta baadaye nikiwa karibu na laptop, kwa sasa natumia simu...
 
Upo sahihi kwa mtazamo wako
 
Nimesema tu ukweli hamna riwaya nzuri na za kusisimua kma zile
Hakuna anayekupinga ila nadhani ungefungua uzi wa kuelezea hizo hisia zako pengine ungeeleweka zaidi. Hata hivyo siwezi kukulaumu maana hizi double ID zina tabu sana...
 
Naanza kumuonea huruma Mambo, naona kama atakata moto kabla ya kukutana na Sizya!! Ngoja tuone...Jason nae muda wote anawaza utamu kipenyo mwenzie utamcost.
 
Yani kabsaa muumini wa rivenji mm naamini usaliti unalipwa kwa usaliti mkuu
Hebu tufanye sasa mimi ndio Almas wa kilosa halafu wewe ndio Zainabu. tuachane na Jason yule nyongo kavu beibee.
 
Ha haa uwii almas na mibangi unayovuta utajanipa za chembe maana una yule mdada alokusaliti mpk ukachizi
 
Lakini mimi sikusaliti na wala sikurusha ngumi kinyume chake nikadundwa nikalia hapa na pale hadi alipokuja Mgeni Mwema yakaisha.
 
Back
Top Bottom