Sawa...Kipind cha nyuma hpo kidogo nilikua msomaji mzuri wa simulizi nyingi hapa jamiiforums...ila siku hiz naona hamna simulizi nzuri kma za kipindi cha nyuma
Mifano ya simulizi nzuri nilizosoma nikazipenda ni kama
1.Vipepeo weusi
2.Mtutu wa Bunduki
3.Monica
Haha! Siwezi kuupinga mtazamo wake, huwezi jua pengine yeye ndiye mtunzi wa stori mojawapo, au chawa wa mtunzi hivyo anazipigia debe.Bishop achana na hao,hawajui riwaya,tuletee vitu tuburudika na Jason!
Nimesema tu ukweli hamna riwaya nzuri na za kusisimua kma zileBishop achana na hao,hawajui riwaya,tuletee vitu tuburudika na Jason!
Upo sahihi kwa mtazamo wakoHaha! Siwezi kuupinga mtazamo wake, huwezi jua pengine yeye ndiye mtunzi wa stori mojawapo, au chawa wa mtunzi hivyo anazipigia debe.
NB: riwaya nitaleta baadaye nikiwa karibu na laptop, kwa sasa natumia simu...
Hakuna anayekupinga ila nadhani ungefungua uzi wa kuelezea hizo hisia zako pengine ungeeleweka zaidi. Hata hivyo siwezi kukulaumu maana hizi double ID zina tabu sana...Nimesema tu ukweli hamna riwaya nzuri na za kusisimua kma zile
Naanza kumuonea huruma Mambo, naona kama atakata moto kabla ya kukutana na Sizya!! Ngoja tuone...Jason nae muda wote anawaza utamu kipenyo mwenzie utamcost.Hakuna anayekupinga ila nadhani ungefungua uzi wa kuelezea hizo hisia zako pengine ungeeleweka zaidi. Hata hivyo siwezi kukulaumu maana hizi double ID zina tabu sana...
Hebu tufanye sasa mimi ndio Almas wa kilosa halafu wewe ndio Zainabu. tuachane na Jason yule nyongo kavu beibee.Yani kabsaa muumini wa rivenji mm naamini usaliti unalipwa kwa usaliti mkuu
Ha haa uwii almas na mibangi unayovuta utajanipa za chembe maana una yule mdada alokusaliti mpk ukachiziHebu tufanye sasa mimi ndio Almas wa kilosa halafu wewe ndio Zainabu. tuachane na Jason yule nyongo kavu beibee.
Lakini mimi sikusaliti na wala sikurusha ngumi kinyume chake nikadundwa nikalia hapa na pale hadi alipokuja Mgeni Mwema yakaisha.Ha haa uwii almas na mibangi unayovuta utajanipa za chembe maana una yule mdada alokusaliti mpk ukachizi
Yeah yani for that u are far off better than ze Jason myfut I respect uLakini mimi sikusaliti na wala sikurusha ngumi kinyume chake nikadundwa nikalia hapa na pale hadi alipokuja Mgeni Mwema yakaisha.
I remind you absolute nothing tulia tulia Almas hapa vp Zai wangu?Yeah yani for that u are far off better than ze Jason myfut I respect u
Ni kweli bado tu wageniHakuna anayekupinga ila nadhani ungefungua uzi wa kuelezea hizo hisia zako pengine ungeeleweka zaidi. Hata hivyo siwezi kukulaumu maana hizi double ID zina tabu sana...
Ni poa rasta waneI remind you absolute nothing tulia tulia Almas hapa vp Zai wangu?
Halafu mimi ndo Mchungaji Ngelela na nimewasikia mnavyopanga[emoji23][emoji38]...Hebu tufanye sasa mimi ndio Almas wa kilosa halafu wewe ndio Zainabu. tuachane na Jason yule nyongo kavu beibee.
Mchungaji utungoje utuhalalisheeHalafu mimi ndo Mchungaji Ngelela na nimewasikia mnavyopanga[emoji23][emoji38]...