Simulizi: Harakati za Jason Sizya

Simulizi: Harakati za Jason Sizya

Bishop katutenga watu wake asee
Sijawatenga, nilirudi Dar es Salaam nikiwa bado naumwa sana na hivyo nikajikuta nikiisahau laptop yangu huko nilikokuwa. Kuna mtu nimemwagiza aniletee maana nitakuwepo huku kwa zaidi ya wiki tatu...

Tuombe uzima, wakati wowote ikifika natupia za kutosha...
 
Pole mkuu
 
Pole sana mkuu,lakini nakushukuru sana,umenipa jina wadada wakiniuliza au kutaka kujua jina langu naitwa ALISHANTO BIN MBAGA! waunganishe wenyee!
 
[emoji23][emoji23] hata mimi naitwa Bishop Alishanto bin Mbaga. Wakiunganisha wanapata jina kamili[emoji23][emoji41][emoji849][emoji17]...
 
Mkuu bishop naamini utatutengulia kitendawili cha afande koba na Winnie humu,kama tulivyokutana na rahma wa singida baada ya muda mrefu katika fukwe za Mombasa,kama itakupendeza ttoe lock leo mkuu!
 
Hivi litro,moneytalk,shunie wapo humu,mkionekana naamini bishop atatukumbuka warembo,na ameweka jina jipya kwa akili yenu!
 
Mkuu bishop naamini utatutengulia kitendawili cha afande koba na Winnie humu,kama tulivyokutana na rahma wa singida baada ya muda mrefu katika fukwe za Mombasa,kama itakupendeza ttoe lock leo mkuu!
Majibu yote yapo, ila sijajua kama yamo katika Utata, Kifo Ughaibuni au katika season ipi.

Natamani kutupia episode kadhaa za Utata lakini nashindwa, nadhani kesho jioni laptop yangu inaweza kunifikia, nikiipata tu natupia za kutosha...
 
Pamoja sana mkuu,tumemmic Jason alisha----- litro atakuja kumalizia!
 
Back
Top Bottom