Simulizi: Harakati za Jason Sizya

Simulizi: Harakati za Jason Sizya

Pole sana Bishop. Tunafarijika kuona unaendelea vizuri. Mwenyezi Mungu azidi kukujalia uponyaji.
 
Namshukuru Mungu hali yangu inaendelea kuimarika. Baada ya vipimo vingi iligundulika kuwa nilikuwa na sumu kwenye damu[emoji17][emoji17]...

Nawashukuru wote mlionipigia...
Pole sana Mkuu! Mwenyezi Mungu aendelee kuimarisha afya yako irudi kama zamani
 
Namshukuru Mungu hali yangu inaendelea kuimarika. Baada ya vipimo vingi iligundulika kuwa nilikuwa na sumu kwenye damu[emoji17][emoji17]...

Nawashukuru wote mlionipigia...
Pole Sana Bishop, Mwenyezi Mungu akufanyie uponyaji Kwa haraka zaidi
 
Back
Top Bottom