Mzee wa Chai
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 684
- 1,202
Mwenye no za bishop aweke hapa tumjulie Hali maana siyo kwa ukimya huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@wegero kwetu hizi hapa poti.[emoji28][emoji28]0685 666964 na 0755 666964. Hata hivyo leo natupia mzigo...
Shukrani Poti tutamtafuta kesho
Mwenyezi Mungu amuondolee maradhi yanayomsumbuaWakuu kwema nimewasiliana na bishop anawasalimia sana muombeeni afya yake bado haijawa sawa akiwa sawa atakuja
ShukraniShukrani sana mkuu wegero kwetu kwa kumjulia khali Bishop Hiluka mwaka huu. Nilimcheki pia kabla ya mwisho wa mwaka 2022
Namshukuru Mungu hali yangu inaendelea kuimarika. Baada ya vipimo vingi iligundulika kuwa nilikuwa na sumu kwenye damu[emoji17][emoji17]...Huyu Mwamba sijui kaishia wapi vile?
Pole Bishop Mungu wetu ni mwema utakuwa sawaNamshukuru Mungu hali yangu inaendelea kuimarika. Baada ya vipimo vingi iligundulika kuwa nilikuwa na sumu kwenye damu[emoji17][emoji17]...
Nawashukuru wote mlionipigia...
Pole sana Mkuu! Mwenyezi Mungu aendelee kuimarisha afya yako irudi kama zamaniNamshukuru Mungu hali yangu inaendelea kuimarika. Baada ya vipimo vingi iligundulika kuwa nilikuwa na sumu kwenye damu[emoji17][emoji17]...
Nawashukuru wote mlionipigia...
Pole Sana Bishop, Mwenyezi Mungu akufanyie uponyaji Kwa haraka zaidiNamshukuru Mungu hali yangu inaendelea kuimarika. Baada ya vipimo vingi iligundulika kuwa nilikuwa na sumu kwenye damu[emoji17][emoji17]...
Nawashukuru wote mlionipigia...
Mwamba katutosa kabisa, anyway labda Jason bado yupo mafunzoni,akitoka huko James bond anasubiri,tuombe tu tusihujumiwe kabla hajarudi Sterling Jason!Nilikuja chap! Nikajua Bishop Hiluka karudi! Mkuu popote ulipo vp hali yako unaendeleaje!??
Bishop ni mgonjwa tumuombeeMwamba katutosa kabisa, anyway labda Jason bado yupo mafunzoni,akitoka huko James bond anasubiri,tuombe tu tusihujumiwe kabla hajarudi Sterling Jason!
Mwenyezi Mungu amuondolee maradhi yanayomsumbua inshallahBishop ni mgonjwa tumuombee
Ndugu zangu bishop anaendeleaje?kaamua kutususa au bado anaumwa?Mwenyezi Mungu amuondolee maradhi yanayomsumbua inshallah