Simulizi: Harakati za Jason Sizya

Simulizi: Harakati za Jason Sizya

Bishop yupo jamani?
@Bishop Hiluka yupo salama japo alipata majanga...alipata ajali iliyopelekea taya la mkono wa kulia kulegea kiasi cha kutoweza kuongea wala kula na pia akavunjika mkono.

Kwa sasa hali ya taya imetengamaa na anaweza kuongea na anakula vyakula laini kama anavyokula mtoto na mkononi ana mhogo (pop)

Twendelee kumuombea ili apone haraka. Nawasilisha
 
Namshukuru Mungu hali yangu inaendelea kuimarika. Baada ya vipimo vingi iligundulika kuwa nilikuwa na sumu kwenye damu[emoji17][emoji17]...

Nawashukuru wote mlionipigia...

Mkuu pole sanaa, MUNGU wetu alie hai aendelee kukupigania upone kabsaa
 
@Bishop Hiluka yupo salama japo alipata majanga...alipata ajali iliyopelekea taya la mkono wa kulia kulegea kiasi cha kutoweza kuongea wala kula na pia akavunjika mkono.

Kwa sasa hali ya taya imetengamaa na anaweza kuongea na anakula vyakula laini kama anavyokula mtoto na mkononi ana mhogo (pop)

Twendelee kumuombea ili apone haraka. Nawasilisha
Pole zake sana,nakuombea upone haraka ndugu yangu!
 
Kwakweli nilisusa huu uzi ila nikuombe rafiki yangu mpenzi Bishop Hiluka njoo utoe tamko si vema kuacha watu pending ths way
 
jaman mwenye mawasiliano na Bshop atujuze hali yake,ni muda sasa sijapata kusikia hali yake
 
Waambie bado napita kwenye changamoto (mapito) kubwa, kipindi chote hiki za miezi 3+ nipo nyumbani tu ila Mungu akipenda tutakuwa pamoja soon...

Ujumbe kutoka kwa bwana Bishop tuendelee kumuombea wakuu yote yatakua sawa
 
Namimi nilimpigia,alipata ajali akavunjika mkono,mpaka sasa bado mkono wa kulia unasumbua hata vidole havifanyi kazi vizuri,naamini Kuna madaktari humu watamshauri,lakini pia tumuwezeshe ndugu zangu katika kipindi hiki kigumu kwake!
 
Back
Top Bottom