Simulizi: Nyuma ya mlango wa adui

Simulizi: Nyuma ya mlango wa adui

Naam! Katika kitu pekee ambacho anacho mtunzi Edgar Mbogo ni kuweza kuianza stori katikati kisha akarudisha kumbukumbu nyuma akaja kuunga pale pale alipokaachia kwa episode nyingi bila kuchanganya mtukio, kwa hili aaah apewe mau yake kwa kweli.
***************************************
Sahii kabisa💥
 
NYUMA YA MLANGO WA ADUI
SEHEMU YA SABINI NA SABA
MTUNZI : Mbogo EDGAR
WHATSAPP : 0743632247 (KWAMATUMIZI YA OFISI TU)
TULIPOISHIA SEHEMU YA SABINI NA SITA: “yule kijana simjui kwa jina, ni moja ya sheria zake maana hata mimi hakuhitaji kunijua jina, unaweza kumuita Dereva, tena umenikumbusha inabidi nimpigie kupata taarifa zao kwamba wamefika wapi?” alisema Kajange huku anachukua simu na kutafuta namba iliyoandikwa Dereva, wakati huo Emmy au mama Specioza akitazama kwa umakini namba ile ambayo kiukweli ilimshangaza sana “04472574?” aliuliza Emmy kwa mshangao, “yani kiukweli hata mimi nilishangaza sana mara ya kwanza nilipoiona” alisema Kajange huku anapiga ile namba. …….ENDELEA…

Simu haikuita hata kwa sekunde mbili ikapokelewa, “unazidi kunifurahisha Dereva, yani upo makini sana” alisema Kajange huku anaachia kicheko cha raha, “ni kawaida yangu boss, ndio maana hata mimi napenda kila kitu kiende kama kilivyopangwa” ilikuwa ni sauti tulivu upande pili wa simu, sauti ambayo ilisikika vyema na kuvuja toka kwenye simu ile na kusababisha Emmy asisimkwe kiasi cha mwili kuota vipele ya baridi, “ok! mupo wapi mida hii?, tumeshaiacha mikumi, tunaitafuta luaha” alijibu Deus, huku maneno yake yakimfurahisha bwana Kajange, wakati sauti hiyo ikizidi kumsisimua Emmy na kumfanya azidi kutamani kukumbatiwa na kijana dereva, “ok! nawatakia safari njema” alisema Kajange kabla ya kukata simu.

Naam wakati Kajange anaweka simu mezani, Emmy akaiwahi haraka kuipokea na kuitazama ile namba ya Dereva, “sasa huu ni mtandao gani tena?” aliuliza Emmy, ambae lengo lake sio kutazama tu, ila ni kuzikalili zile namba za Dereva, ambazo hazikumpa shida kutokana na uchache wake, “sasa umesahau kunieleza kuhusu hela unapeleka wapi?” aliuliza Emmy, huku anaweka simu mezani, “hooo usiwe na haraka Emmy, nakuelekezea” alisema bwana Kajange na kuanza kueleza habari kamili.

Hapo naomba turejee tahadhari ya sehemu ya kwanza kabisa, ambayo inaeleza kuwa kisa hiki na matukio yaliyopo ni yakubuni haya husiani na mtu wala kitu chochote hata kama utaona kina fanana na tukio unalolijua.

Ukweli ni kwamba, bwana Kajange ambae ni mkurugenzi wa shirika la mapato alikuwa amejikusanyia fedha nyingi sana ambazo alikuwa anazibadili kwa mfumo wa dollar na kuziweka nyumbani kwake, fedha ambayo alikuwa anaikusanya kwa kutumia watu mbali mbali, ambao pia alikuwa anawagawia fedha kidogo, kwaajili ya kutatua shida zao ndogo ndogo, huku yeye akihofia kuweka benk, maana angeuzwa maswali na kufanya aanze kufuatiliwa na vyombo vya usalama, ni kutokana na uwingi wake.

Ndani ya miezi nane, tayari Kajange alikuwa amekusanya fedha nyingi sana, fedha ambayo kiukweli hata yeye mwenyewe ilibidi achukuwe likizo ili kuweza kuzihesabu, na alitumia siku tano kutwa kucha tena akitumia machine ya kuhesabia fedha kama zile za benk.

Naam mpaka anamaliza, alikuwa amepata hesabu ya fedha nyingi ambazo kwa thamani ya fedha ya Tanzania ni zaidi billion miambili ishirini na tano, hiyo ni fedha ya mtu mmoja aliyoipata kwa njia za kuibia serikali kwenye kukusanya kodi, wizi ambao ulipunguza mapato ya serikali kwa kiwango kikubwa, kiwango ambacho kilipelekea serikali kuanza uchunguzi wa siri wakitumia usalama wataifa na Takukuru, ambao kwa bahati walibaini kuwa licha ya kuwa na wezi wengi pale TRA, lakini pia kiasi kikubwa cha fedha kinaibiwa na mkurugenzi, hivyo wakaanza kumchunguza kwa siri kubwa.

Walikagua kwenye account zake za benk lakini hakukuwa na fedha ambazo walizikadiria kuwa anazikwapua serikalini, wakatazama kwenye account za watu wake wa karibu, kama vile mke wake watoto na hata mwanamke aliezaa nae na account ya mtoto wake wa nje ya ndoa , lakini hakukuwa na fedha iliyo kisiwa kuwa atakuwa ameibia serikali, zaidi wangekuta million tatu nne na sio zaidi ya hapo.

Lakini serikali haikurudi nyuma, ikaingia katika upelelezi wa ndani zaidi na kubaini kuwa fedha inatunzwa ndani ya nyumba ya afisa yule wa TRA, lakini watu wanasema kuwa kuishi na watu vizuri ni akiba, kuna mtu mmoja alimdokeza bwana Kajange kuwa siku inayofuata yaani jumamosi muda wowote angevamiwa nyumbani kwake na takukuru, ambao watakuwa wanashirikiana na jeshi la Polisi kwaajili ya msako mkubwa sana ambao asingeweza kuchomoka hata kidogo.

Hapo sasa bwana Simon Kajange, akaanza kuhaha kukutafuta namna ya kutorosha fedha, ambapo aliikumbuka account yake ambayo ipo kwenye benk moja kubwa huko ufaransa, lakini swali likaja, ataziwekaje maana nilazima aweke kwa kuziweka kwenye account yoyote ya benk ya hapa nyumbani na kuzituma kwenda kwenye account yake huko ufaransa.

Lakini tatizo likaja lile lile, endapo ataweka fedha kiasi kile kwenye account yoyote ya benk hapa Tanzania lazima watu wangezuia account na kuchunguza uhalali wa upatikanaji wa fedha zile, na yeye kukamatwa na kufungwa miaka mingi sana kwa kwa kosa la ufisadi, hivyo njia ambayo ilikuwa imebakia ni kusafirisha fedha hizo kwenda nchi jirani na baadae kuzituma ufaransa kwa benk za nchi hizo, na njia rahisi ambazo zingetuma fedha hizo bila kuhoji, zingejali kodi na makato mbali mbali bila kutaka kujua chanzo cha fedha hizo ni nchi ambazo uchumi wake ni mdogo kama ilivyo msumbiji.

Hapo Kajange aliweka mipango yake sawa, akawasiliana na watu wake wa Msumbiji, ambao walisema wangempokea kwenye mpaka wa likuyu kusini mwa mji wa songea, swala likaja mzigo utasafiri vipi, maana tayari kuna watu walishajua kuwa kunafedha nyingi itasafirishwa.

Baada ya lisaa lizima la kutafuta usafiri wa uhakika wenye usalama, ndipo alipopewa namba ya kijana Deus Nyati alietambulishwa kama Dereva wa BMW, aliempatia namba ya Deus hakukosea maana saa kumi na moja za afajiri Deus alikuwa anaingia songea mjini akitokea mpaka wa songea na msumbiji, ambako tayari alikuwa ameshamuacha yule kijana na mzigo wake na wakapokelewa na wenyeji wao, na kuingia msumbiji huku yeye akirudi Tanzania katika wilaya ya songea, sehemu ambayo alikuwa ameipita lisaa limoja lililopita, Deus alienda moja kwa moja mpaka nyumbani kwa wazazi wake.

kwakifupi ni kwamba alikutana na wazazi wake na kukaa nao kwa week nzima, huku akiwa amesha msimulia baba yake kila kitu na kumueleza shughuli yake ya sasa ya usafirishaji, huku akieleza kuwa lengo lake ni kufanya kazi hiyo kwa muda mfupi na kuachana nayo, kisha aangalie mambo mengine, sababu ilikuwa ni kazi inayomuhitaji kuvunja sheria kwa kiwango kikubwa sana.

Mzee Frank, alimueleza kijana wake kuwa ajitaidi aachene na kazi hiyo anayoifanya, asije akagundulika na kulazimika kutoroka nchi ya Tanzania, kitu ambacho kitakuwa ni kibaya sana kwao, sababu Tanzania ndiyo nchi pekee yenye usalama kwao, maana hawawezi kurudi nchini kwao ambako yeye mzee Frank anahesabika kama mmoja kati ya watu hatari wenye mpango wa kupindua nchi, “na kama ujuavyo bwana Chitopelah kwa sasa ni waziri wa ulinzi, ni rahisi sana kutuangamiza ilikuweza kutimiza malengo yake, na pengine kujitengenezea sifa, na heshima kubwa, huku akijenga kuaminiwa na mfalme.*******

Naam, ilikuwa ni siku ya juma tano, week nne toka taarifa za kufukuzwa kazi kwa Deus Nyati, mida ya saa tatu usiku, siku hiyo mfalme Elvis Mbogo, alikuwa ndani ya chumba chake anapekuwa makabati ya kumbu kumbu binafsi za wafalme, yani kumbu kumbu na mipango iliyoandikwa na wafalme kwa mikono yao wenyewe, ndipo mfalme mwenye umri mdogo kupata kuitawala #mbogo_land, akaipata kumbu kumbu ya kushangaza iliyo andikwa na king Eugen wa 25 ambae ni baba yake king Eric wa 2, ambae ni babu wa king Elvis wa kwanza, mfalme wa sasa wa #mbogo_land.

Usiku huu king Elivs wa kwanza katika kupekuwa kwake alikutana na karatasi hiyo iliyoandikwa “hicho ndicho kinachofanywa na watu unao waamini na waliojitolea kwa kiwango kikubwa kuilinda nchi na kukulinda wewe, lakini siwezi kuibadilisha akili yako kabla sijakamatwa na kuuwawa, wacha leo niikimbie nchi yangu ninayo ipenda, lakini nakuaidi uwe wewe au kizazi chako, kitakumbuka maneno yangu, nikiweza nitaipigania nchi yangu mimi au kizazi changu” ujumbe huu ulimtisha sana king Elvis na tatizo ni kwamba ujumbe haukuelekeza unatoka kwa nani kwenda kwa nani au ulenga jambo gani.

Baada ya kuutazama kwa muda fulani akauweka pembeni na kuachana nao, akipanga kuukalia chini siku nyingine.********

Siku mbili baadae, ikiwa ni siku ambayo bwa Issa alitakiwa kupeleka fedha kwa bwana Uredi Songoro, lakini mpaka mida hii alikuwa bado hajakamilisha kiasi cha fedha alichotakiwa kuwakilisha kwa boss huyo wa mihadarati, ni kiasi cha milllion hamsini, na asingeweza kuwakilisha fedha nusu kwa bwana Songoro, na kwa kufanya hivyo, Issa simba aliomba week moja kwa Songoro kwaajili ya kukusanya zaidi, na hapo sasa tunafika pale tulipoanzia, yaani ndio tunaanza mkasa wetu. Naam! Katika kitu pekee ambacho anacho mtunzi Edgar Mbogo ni kuweza kuianza stori katikati kisha akarudisha kumbukumbu nyuma akaja kuunga pale pale alipokaachia kwa episode nyingi bila kuchanganya mtukio, kwa hili aaah apewe mau yake kwa kweli,sasa hapa ndio tunaanza rasmi mkasa wetu wa NYUMA YA MLANGO WA ADUI unao kujia hapahapa jamii forums
Akili kubwa sana mzee unatumia
 
NYUMA YA MLANGO WA ADUI
SEHEMU YA SABINI NA NANE
MTUNZI : Mbogo EDGAR
WHATSAPP : 0743632247 (KWAMATUMIZI YA OFISI TU)
TULIPOISHIA SEHEMU YA SABINI NA SABA: Siku mbili baadae ikiwa ni siku ambayo Bwana Issa alitakiwa kupeleka fedha kwa bwana Uredi Songoro, lakini mpaka mida hii alikuwa bado hajakamilisha kiasi cha fedha alichotakiwa kuwakilisha kwa boss huyo wa mihadarati, ni kiasi cha milllion hamsini na asingeweza kuwakilisha fedha nusu kwa bwana Songoro, na kwa kufanya hivyo, Issa simba aliomba week moja kwa Songoro kwaajili ya kukusanya zaidi.na hapo sasa tunafika pale tulipoanzia, yaani ndio tunaanza mkasa wetu. Naam! Katika kitu pekee ambacho anacho mtunzi Edgar Mbogo ni kuweza kuianza stori katikati kisha akarudisha kumbukumbu nyuma akaja kuunga pale pale alipokaachia kwa episode nyingi bila kuchanganya mtukio, kwa hili aaah apewe mau yake kwa kweli,sasa hapa ndio tunaanza rasmi mkasa wetu …….ENDELEA…

Licha ya kupewa week nzima lakin haikusaidia lolote, maana week ilikatika bila fedha kupatikana, ukweli ni kwamba mmoja kati ya wale vijana wanne waliochukuwa zile bando za unga hakuwa amewakilisha fedha kwa Issa Simba, yani alitoroka na fedha za watu.

Naam ilikuwa tarehe ishirini na sita ya mwezi wapili mida ya saa kumi na mbili za jioni, bwana Simba Issa akiwa amekaa sebuleni kwake anawaza namna ya kupata milion hamsini, mara akasikia simu yake inaita na alipo tazama mpigaji moyo wake ukalipuka kwa kihoro na hofu kubwa,wakati huo mke wake alikuwa ndani upande wa jikoni.

Ilikuwa ni simu ya bwana Songoro, Hakika Issa alijikuta anatetemeka peke yake kwa uoga na wasi wasi, utasema Songoro alikuwa mbele yake, hata hivyo Bwaba Issa Simba au baba Zam kama wenyewe wanavyomuita, akakaza roho na kuipokea, “niambie boss..” alisema bwana Issa huku anainuka na kuelekea nje, hakutaka mke wake asikie maongezi yale ya kutisha maana hakuwa anajuwa kitu chochote, “sikia bwana Issa, unajuwa mimi huwa sitaki mchezo kwenye fedha zangu, sasa nitakuonyesha namna gani huwa nawakumbusha watu kulipa madeni yangu” ilisikika sauti kazi yenye kugofya ya Songoro toka upande wa pili wa simu.

Hapo bwana Issa, ambae sasa alikuwa amesimama kwenye kibaraza cha mbele ya nyumba yake, ambae pia hakuwa na njia ya haraka ya kuipata fedha ile, akajikuta anakosa jibu la kumueleza bwana Songoro na kubakia anawaza sehemu ya kuitoa milion hamsini, hata kabla hajajaribu kujibu akagundua kuwa tayari simu ilikuwa imeshakatwa, hapo bwana Issa alitegemea kutokewa na jambo lolote kuanzia muda huo, maana neno la bwana Songoro huwa haliendagi tupu, yani bila utekelezaji.

Ukweli sio kwamba bwana Issa hakuwa na mtu wa kumpatia hiyo fedha japo kwa mkopo, ila sasa tatizo mtu ambae angeweza kumpatia hiyo fedha week chache zilizopita ametoka kumpa onyo juu ya kushiriki biashara na bwana Songoro, huyo ni bwana Hassan Simba, “kwanini nisimpigie Hassan hata kama akinisimanga lakini najuwa atanisaidia tu” alijisemea Issa huku anabofya simu yake na kuiweka juu namba ya Hassan, kisha akaibofya na kuiweka sikioni kuisikilizia kama inaita, bahati nzuri nayo ikaanza kuita, wakati huo huo akasikia ngurumo ya bajaji, alipoitazama akaiona inasimama na anashuka binti yake wapekee Zamda alievalia sare za shule na begi lake la vitabu, japo ni mschana mdogo lakini kiukweli alikuwa nzuri na wakuvutia

“niambie Issa, mambo vipi” ilisikika sauti upande wa pili wa simu, wakati huo huo Zamda nae alikuwa anasalimia, “shikamoo baba” alisalimia kaka mambo sio mazuri” alisema mzee Simba, huku anampungia mkono binti yake ikiwa ni ishara ya kuitikia salamu ya binti yake, wakati huo bwana Simba alikuwa anatembea kuelekea pembeni zaidi, “kivipi Issa, umegombana na shemeji?” aliuliza Hassan kwa sauti yenye dalili zote za mshtuko, “hapana bro, nimezingua kwa Songoro” alisema Issa na kuanza kumsimulia ndugu yake kila kitu, “yani ametoa vitisho vya hali ya juu kama nisipopeleka fedha yake” alisema Issa kwa sauti ya chini sana, “kaka hivyo sio vitisho huyo jamaa sasa hivi anakuja hapo na atakacho kifanya ni kibaya zaidi ya unavyofkiria, hebu fanya haraka uje uchukuwe hiyo hela haraka umpelekee” alisema Hassan, pasipo kumgombeza ndugu yake maana hawakuwa na muda wa kupoteza.

Naam, mara baada ya kukata simu tu, Issa akaningia ndani akipishana na binti yake alievalia gauni la kawaida, ambalo huvaa akiwa mazingira ya nyumbani, aliekuwa anatoka upande wa mbele wa nyumba ile, Issa hakumjari binti yake akaingia chumbani na kuchukua funguo za gari lake kisha akatoka chumbani.

Lakini sasa ile bwana Issa anafika mlango wa sebuleni kutokea nje,mara ghafla analiona gari aina ya Toyota Noah jeusi likiingia kwa fujo pale nyumbani huku binti yake akiwa amesimama analishangaa na kuliangalia lile gari lililokuja na kusimama kwa fujo eneo la mbele la nyumba yao, na kusimama kwa ghafla na mbwembwe huku tairi za gari hili zikisota kwa fujo kiasi cha kumfanya mama Zamda asikie na kutoka mbio kuja upande wa sebuleni.

Wakati huo huo tayari walisha shuka vijana wanne, kitu ambacho hata mzee Simba hakukitarajia ni kwamba, watu wale walienda moja kwa moja na kumkamata Zamda, “boss amesema utampata binti yako mara utapopeleka fedha yake” alisema mmoja kati ya wale vijana wanne, maneno ambayo hata mama Zamda aliyasikia wakati anakaribia mlango wa sebuleni, ikiambatana na sauti ya kilio cha mwanae Zamda, “niachieni jamani, baba nisaidieeee” alipiga kelele Zamda, lakini wale jamaa walizidi kuondoka nae, “jamani ndio naenda kufuata fedha yenu naomba muacheni binti yangu” alisema mzee Simba wakati huo mke wake akionekana kukosa nguvu na kuanguka chini.

Naam wakati mzee Simba anahangaika na mke wake, huku Zamda alikuwa anaingizwa kwenye gari na gari likaondoka kwa speed lililojia, hapo Issa akapiga simu kwa Hassan ambae ni kama alikuwa anaisubiria simu ya ndugu yake, maana simu haikuita hata sekunde mbili ikapokelewa, “vipi Issa…?” aliuliza Hassan kwa sauti ambayo ilionyesha wazi wasiwasi wake juu ya usalama wa ndugu yake na familia yake, maana alikuwa anamfahamu vyema Songoro, ambae maamuzi yake huwa hayatabirikagi, “kaka wamemchukuwa Zamda, wanaondoka nae, mke wangu ameanguka hasemi chochote” alisema Issa kwa sauti ya kukata tamaa iliyojaa maumivu makali na machungu ya familia yake, “sikia Issa, kulia sio suluhisho, zile fedha nyingine zipo wapi?” aliuliza Hasaan, “zipo ndani nilitaka nizipate na hizo nyingine nimpatie” alisema Issa huku akishindwa kujizuia kutoa kilio cha chini chini, “acha kulia Issa, tuhakikishe zamda anaokolewa kabla alija mtokea jambo baya, na kupigia sasa hivi, hakikisha hiyo hela ipo tayari” alisema Hassan, kisha akakata simu.*******

Wakati huu kijana Deus alikuwa amesha rudi Dar es salaam na anaendelea na mambo yake, mara moja moja alienda mjini na gari lake aina ya BMW S7, akienda na kurudi kupitia upande wa kisarawe, huku akiwa ametengeneza namba kadhaa za bandia ambazo zingetumika kwenye matukio mbali mbali, huku akitumia sana barabara ya Kisarawe, barabara ambayo ilimfanya aingie kwenye mtego wa wezi maarufu wa magari ambao walipanga siku moja wamuwinde kisha kuchukuwa gari lake ambalo lililikuwa na thamani kubwa sana sokoni, wakiamini kuwa wanaenda kuaga umasikini kwa fedha ndefu watakayoipata kwa kuliuza lile gari, ambalo ni moja kati ya magari adimu sana hapa mjini, na kikubwa zaidi ni kwamba walisha pata mteja.

Naam wakati hayo yanaendelea jioni ya leo, mida ya saa kumi na mbili na nusu, kijana Deus Frank alikuwa nyumbani kwake kule misegese relini, amesha maliza mazoezi yupo nje kabisa ya lile jengo jipya lisilomaliziwa ujenzi wake anatazama bustani yake nzuri huku akitafakari hili na lile katika maisha yake, hasa ni biashara gani itamfaa kuifanya akiachana na hii ya usafirishaji usio na kibali.

Ukweli kijana Deus hakupenda maisha anayoishi kwa sasa, maana yalimtenganisha na maisha yake ya kawaida, japo hakuwa na marafiki ila aliona kuna faida ya kuwa huru, na pengine apate mpenzi wa maisha yake, maana kwa sasa hakuweza kuwa na mpenzi akichelea kubainika kwa siri zake na kuingia mikononi wa vyombo vya dola.

Wakati anawaza hayo ndipo bwana Deus akakumbuka kuwa hakuwa amewasha simu yake kwa muda mrefu sana, yapata mwezi na week yake, hivyo akarudi ndani na kuiwasha simu yake, ile ya kawaida ambayo alikuta jumbe nyingi nyingi zikiingia kwenye simu yake na idadi kubwa zikiwa ni kutoka kwa watu wa vitengo mbalimbali vya jeshi la ulinzi, alifungua chache ambazo zilikuwa ni za week zaidi ya nne zilizopita, zilizo kuwa zina msisitiza kuwa awahi makao makuu ya jeshi kabla ya saa moja na nusu.

Deus ambae siku hiyo hakuwa na mpango wowote wa kutoka aliendelea kupekuwa simu yake hiyo hata alipoiona status ya mwanamke aliemsave kwa jina la Pacha akiwa anajipongeza kwa kutimiza miaka ishirini na tano, Deus akajikuta anatabasamu, maana hata yeye pia alikuwa anatimiza miaka kama hiyo, akaangalia status nyingine ya mwanamke huyo ambae sura yake hakuifahamu, maana kwenye picha ya jarida lake aliweka uwaridi kama yeye alivyoweka BMW S7, akaona picha za comments mbali mbali za watu kumpongeza mwanamke huyo,

Naam Deus akiwa anaendelea kupekuwa pekuwa, mara akasikia simu yake inaita, haikuwa simu hii ya kawaida ni ile iliyounganishwa kwenye gari, “kazi hiyoooo!” akaichukuwa na kutazama namba ya mpigaji, ilikuwa namba ngeni, ni kawaida kuwa namba ngeni maana watu walikuwa wanapeana namba ile kila kukikicha.

Naam hiyo ilikuwa simu toka kwa Hassan Simba ambae alimpa kazi ya kumfuata Zamda kwenye maficho ya bwana Songoro kwa malipo ya million hamsini, Deus alikubali mpango na kuelekea kigamboni kwa bwana Songoro.

Kama tulivyoona mwanzoni mwa hadithi yetu haina haja ya kurudia, Songoro hakuamini kilichtokea kwa mara ya kwanza anaomba msaada kwa polisi kusaidiwa kumkamata mtu, wakati mara zote anafanya mwenyewe na polisi wanakuwa ni kinga yake.

Deus akiwa anatoka kigamboni anapokea ujumbe wa whatsapp toka kwa Pacha wake ukimtakia heli ya siku ya kuzaliwa, wakati huo huo anapokea simu toka kwa mteja wakikike ambae anamueleza kuwa kesho saa mbili usiku akachukue mzigo mwenge karibu na NMB kisha aupeleke Sisterfada Hotel chumba namba nane, cha ghorofa ya nne……….ENDELEA Kufuatilia mkasa huu wa NYUMA YA MLANGO WA ADUI unao kujia hapa hapa jamii forums

Ndio kwanza tumeanza rasmi mkasa wetu, ikiwa kuna matukio hujayaelewa muunganyiko wake rudi episode za mwanzo kabla hatujaanza historia ya Deus Kaka Yake Edgar Yule Wa SIMULIZI: Asali haitiwi kidole
 
Ah leo mkuu umetufanyia vyema kuunganisha matukie ila ungeongezea na kamuendelezo kidogo
 
Tajiri ukweli usiku tutakua tumelala ile mida yako unaonaje ukatuma mapema mkuu?
 
NYUMA YA MLANGO WA ADUI
SEHEMU YA SABINI NA TISA
MTUNZI : Mbogo EDGAR
WHATSAPP : 0743632247 (KWAMATUMIZI YA OFISI TU)
TULIPOISHIA SEHEMU YA SABINI NA NANE: Deus akiwa anatoka kigamboni, anapokea ujumbe wa whatsapp toka kwa Pacha wake, ukimtakia heli ya siku ya kuzaliwa, wakati huo huo anapokea simu toka kwa mteja wa kikike ambae anamueleza kuwa kesho saa mbili usiku, akachukue mzigo mwenge karibu na NMB, kisha aupeleke Sisterfada Hotel chumba namba nane, cha ghorofa ya nne……….ENDELEA…

Pia akiwa njiani anarudi kwenye maficho yake anakutana na vijana wanne wenye silaha waliotaka kumuibia gari, ambao hakuweza kuwavumilia na kuamua kuwaangamiza watatu, na kumuacha mmoja tu,, ambae aliona kuwa licha ya kuwa kijana mdogo lakini hakuwa na madhara kwake.

Na sasa kijana Deus, yupo chumbani kwake amesha jiweka safi, kisha akamaliza kula na kutulia kitandani anatazama kumbu kumbu zake za zamani alizozihifadhi kwenye simu yake hii aliyoiwasha leo.

Na siku hii yenye mambo mengi ndiyo siku ambayo tajiri mkubwa bwana James alieweza kukimbia nchini kwake #mbgo_land, na kuja kuishi Tanzania kama mkimbizi tajiri mkubwa sana barani Africa anapokea simu toka kwa waziri wa ulinzi wa nchi ya #mbogo_land, ambae anamueleza kuwa anahitaji washiriki biashara fulani lakini iwe siri yao, Kervin James anashangaa sana maana kiukweli kabisa, waziri wa ulinzi wa sasa wa #mbogo_land, ndie aliekuwa kiongozi mkuu wa operation kabambe ya kuwasaka waasi na kuwamalizia mbali, na ndio operation ambayo ilimkosa kosa yeye na kukimbilia nchi Tanzania akiwa na mtoto mmoja, na sasa ana watoto watatu, wakike wawili na wakiume mmoja, hivyo bwana James anaalikwa kwenye mkutano na wajumbe wa Chitopelah, ambao atakutana nao hiyo kesho chumba namba nane cha ghorofa ya pili cha hotel sisterfada, mida ni saa tatu.*******

Naaam usiku wa saa saba, kuna watu sita walikuwa wamekaa ndani ya nyumba moja ya kawaida kabisa iliyopo mitaa ya temeke kaburi moja wanapeana maelezo juu ya mpango wao wakujipatia fedha za kuweza kulipia silaha zilizopo njiani kwenda #mbogo_land, zikitokea nchini china, mipango ambayo ilikuwa ni lazima ifanyike kesho muda ukiwa ni kuanzia saa tatu usiku.

“kumbukeni tuna mipango miwili” alisema bwana Erasto Kadumya, kanal mtoro wa jeshi la MLA, ambae pia alikuwa ameingia masaa machache toka TTC yani Treanch Town City, huku akiwatazama wenzake ambao ni bwana Ramadhan Mbwambo na luten mtoro wa MLA, Enock Kafulu, pia alikuwepo private captain Zaid Tambwe na private Job, hao pia ni askari watoro wa jeshi hilo tiifu la #mbogo_land, huku kijana mmoja akiwa amesimama nje ya nyumba hiyo, kama vile anamsubiria mtu fulani, lakini pia alikuwa katika jukumu la ulinzi wa nyumba ile na kutazama usalama wa wenzake waliopo ndani.

“mpango wa kwanza ambao ukifanikiwa tutakuwa tumemaliza na kuachana na mpango pili, ambao ni kukuchukua fedha kwenye PTSB, yani Private Tresure Saving House” alieleza Kadumya huku anawatazama kwa zamu wale wenzake kuona kama kuna mtu anaonyesha dalili ya kupingana na mipango ile, lakini akaona wote wanamsikiliza, mpongo wa kwanza ni kumshawishi bwana James Kervin kufadhili kikundi chetu, tunaamini kwa kuwa yeye pia ni muathirika wa serikali ya #mbogo_land, lazima atakubaliana na sisi kwaajili ya kuhakikisha anawafanya wakina Mbogo kulipa kwa kile walichomfanyia na kumsababishia awe mkimbizi katika nchi yake” hapo Kadumya alitulia kidogo, kabla hajaendelea.

Mpango wa pili ambao ni wa huko PTSH, ambayo hufanya kazi masaa ishirini na nne, tume mlenga mfanyakazi wa tajiri mmoja wa usafiri wa anga ambae huleta fedha za kampuni kila siku za jumamosi mida ya saa nne usiku, ambapo huleta fedha isiopungua billion ishirini, ikiwa ni mauzo ya wiki nzima, tunaamini zitasaidia kwenye malipo ya silaha na posho za askari” alisema Kadumya, ambae ukimuona utakubaliana na bwana Chitopelah kwanini alimteua kusimia jeshi hilo la siri baada ya kumshawishi aachane na jeshi la serikali ya nchi ya kifalme ya #mbogo_land, kwa jinsi alivyo huyu mwamba.

Kwanza ukiachana na ule muonekano wake wa kufuga ndevu nyingi usoni mwake zilizo zidi kuifanya sura yake ya kutisha kupendeza zaidi na kuwa katika muonekano wa kikamanda, pia mwamba alikuwa ameenda hewani, yani mrefu kiasi,mwenye mwili uliojaa na kujengeka kimazoezi, “lakini boss mimi naona kama tungeachana na mpango kwanza, ambao kama utashindikana lazima bwana James atafichua mipango yetu, na ukizingatia tutakuwa tumesha weka wazi mbele yake, hivyo itapelekea watu kuanza kutufuatilia kwa ukaribu zaidi” alisema kijana Enock Kafulu, ambae ni kijana mwenye umri wa miaka 28.

“Enock mpango wa pili ni hatari zaidi, ambao una mambo mengi sana kuliko mpango wa kwanza, nadhani hata wewe unalifahamu hilo, kuhusu bwana James yeye akikataa na kwa kuwa atakuwa amesha fahamu siri zetu basi tutamuua na kutengeneza uvumi kuwa ameuliwa na serikali ya mfalme Elvis ili kufanya raia waanze kumchukia na huku mataifa mengine yaki mlaumu kwa kufanya mauwaji hayo” alisema Kadumya pasipo kufafanua mpango wapili.

Lakini safari hii bwana Mbwambo alikumbuka kuhusu mpango wa pili, “na endapo tutalazimika kutumia mpango wa pili kuna lolote limeandaliwa ili kuepuka kufuatiliwa na vyombo vya ulinzi na usalama vya Tanzania?” aliuliza bwana Hassan Mbwambo, “yah! yah! kuna watu wawili ambao wanahitaji kuwajibika juu ya hili, lakini bahati mbaya watapatikana wakiwa tayari wamesha kufa, hivyo hakuna atakae hoji marehemu zaidi ya kwenda kufukia miili yao” alisema Kadumya akiwa na uhakika na kile anachokisema, wote wakacheka kwa furaha.

Naa wakati wanaendelea na maongezi yao, mara mlango ukafunguliwa na akaingia yule kijana aliekuwa nje anatazama usalama wao, “afande, tayari mzigo umeingia” alisema yule kijana, aliekuwa amesimama mlangoni, “apite ndani” alisema Kadumya, na yule jamaa akatoka nje, akipishana na koplo Cheleji aliekuwa amebeba begi moja kubwa mkononi mwake, “karibu kijana, vipi mzigo umekamilika” aliuliza Kadumya, huku anasimama na kumsogelea Cheleji, “kila kitu kipo humu kaka” alisema Cheleji, huku anaweka begi chini.

Kadumya akashika zip na kufungua kisha akazamisha mkononi ndani ya begi na kuibuka na pea moja ya sare za jeshi la polisi” safi sana, mpango unaenda kama tulivyopanga” alisema Kadumya huku akiachia tabasamu la ushindi, wenzake pia wanasogea na kuanza kukagua vilivyo kwenye begi, ambapo walikuta mavazi mapya kabisa ya jeshi la polisi pamoja na kofia za patrol cap, pia viatu aina ya buti mpya kabisa, “ok! kamueleze Ulenje kuwa atazame salio kwenye account yake” alisema Kadumya, wakati wanarudisha vile vifaa kwenye begi na koplo Cheleji akaondoka zake.

Hapo hapo Kadumya akapiga simu kwa bwana Chitopelah ilikutoa taarifa za maandilizi yao.*******

Naaam siku ya pili ilikuwa ngumu sana kwa doctor Veronica, ambae sasa alikuwa ametulia kwenye kiti chake ofisini, huku uso wake mzuri wakupendeza ukionekana wazi kunyongeshwa na mawazo fulani mazito, “itawezekanaje mtu ajiridhishe bila kuniingilia kimwili?” alijiuliza Veronica, ambae leo alikuwa na miadi na mpenzi wake John Joseph Daud, yani kijana JJD kwamba waende sehemu wakafanye mapenzi ya bila kuingiliana, mapenzi ya romance, “ndiyo nimeshawahi kusikia hilo swala, lakini nasikia ni ngumu sana na vijana wengi huishia kuingiliana kimwili, “aliwaza Doctor Veronica huku anachukuwa simu yake na kuanza kupekuwa namba ya mdogo wake wa kike ili amuulize kuhusu jambo hili, “mh! huyu nae hawezi kujua chochote, maana hajawahi kuwa na mpenzi, labda nimuulize mama” aliwaza Doctor Veronica, ambae leo hakuwa na zamu ya kukutana na wagonjwa, zaidi alishamaliza zamu yake ya kuwazungukia wagonjwa waliopumzishwa hodini.

Lakini wakati anataka kumpigia mama yake mara anasita kidogo, “mh! nikimuuliza mama lazima atajuwa ninachotaka kwenda kufanya, halafu atamuona J ni muhuni” aliwaza Veronica ambae hata yeye anafahamu fika kuwa kutokana na uzuri wa umbo na sura yake hakuna mwanaume anaweza kuvumilia muda wote huu bila hata kuchungulia chungu jikoni, “sasa hapa nafanyaje?” aliwaza sana Veronoca pasipo kupata majibu, alitafuta mtu wa kumpatia ushauri, lakini bado hakuweza kumpata mtu wa kumshirikisha jambo lake, hakika ilikuwa ngumu kwake na hakuwa na uwezo wa kuzungumzia kuhusu maswala ya ngono na mtu mwingine.

Lakini baada ya kuwaza kwa muda kidogo, akapata jibu, “ok…! ngoja ni mueleze mchoraji wangu” alisema Veronica huku anachukua simu yake mezani na kutafuta namba ya Mchoraji, katika upande wa whatsapp, namba ambayo hakuchelewa kuipata.*******

Yap saa nne na nusu kwa saa za afrika mashariki, king Elvis Mbogo, akiwa ofisini kwake amesha maliza baadhi ya kazi zake, sasa alikuwa anaptia baadhi ya nyaraka ambazo zilikuwa zinahitaji kuhakikiwa na kusainiwa kwaajili ya kufanyiwa utekelezaji, lakini wakati anapitia zile nyaraka ndipo akakumbuka jambo, “hebu subiri kwanza, alijisemea Elvis huku anachukuwa simu yake, ambayo huitumia kwa mawasiliano binafsi na kupiga kwa babu yake ambae ni mfalme wa zamani wa #mbogo_land.

Simu iliita kwa muda mfupi ikapokelewa, “Salam mfalme wa #mbogo_land, mimi ni mfalme pekee nilieona mjukuu wangu akiongoza” huyo alikuwa mfalme Eugen, ambae anapenda sana utani linapokuja swala kuongea na mjukuu wake, yeye ndie aliemruhusu Elvis kwenda Tanzania wakati huo kwaajili ya kutafuta mchumba wake, (ni hadithi nyingine ya Umekosea lakini tamu sehemu ya pili bado haijatoka) ambae kwa sasa alikuwa amefikisha miaka themanini na tisa, “salam king Eugen ni mjukuu wako kipenzi nimepiga kukusalimia” alisema Elvis, wakisindikiza salumu hizo kwa kicheko cha taratibu.

Ukweli ni kawaida yao kuwasiliana mara kwa mara, hasa Elvis anapohitaji ushaiuri wa kiuongozi, unaohusu taratibu za kimila na desturi, maana baba yake ambae alizaliwa na kupata makuzi nje ya himaya ya kifalme “haya niambie Elvis, unajuwa huishiwi maswali kila kukicha” alisema king Eugen, kwa sauti yake ya kizee na kumfanya Elvis ajitabasamulie kidogo, “babu kuna ujumbe uliuandika mwaka 1992, kwa mkono wako mwenyewe, nilitaka kujuwa ulikuwa umetoka kwa nani na ulikuwa na maana gani” alisema Elvis, kwa sauti tulivu, sauti ambayo babu yake katika uzee huu ndio anapenda sana kusikilizana nayo, “ujumbe gani huo Elvis, huishiwi maswali” alisema Eugen, huku anacheka ungesema wanazungumzia swala la utani.
Hapo Elvis akavuta kipande flani cha karatasi ambacho alinakilia maandishi yale ambayo hata jana usiku alikuwa anayakaguwa, kisha akaanza kuyasoma, “hicho ndicho kinachofanywa na watu unao waamini, lakini siwezi kuibadilisha akili yako kabla sijakamatwa na kuuwawa, wacha leo niikimbie nchi yangu ninayo ipenda, lakini nakuahidi, uwe wewe au kizazi chako, kitakumbuka maneno yangu, nikiweza nitaipigania nchi yangu, mimi au kizazi changu”alimaliza kusoma Elvis, “babu uliandika wewe hiyo unakumbuka alionge nani maneno hayo?” aliuliza Elvis, kwa sauti ile ile tulivu, lakini akijitahidi kurudisha kumbu kumbu za babu yake, ambae kwa umri huu, alikuwa amesahau mambo mengi sana na pia alikuwa mwepesi wa kusahau.

Hapo kikapita kimya kifupi, “babu bado upo na mimi?” aliuliza Elvis baada ya kuona kimya, “najaribu kukumbuka, lakini…. lakiniii… nime msahau… yes anaitwa Frank, huyo ni kanal Frank, alisema maneno hayo kabla ya kutoroka nchi” alisema babu kwa sauti yenye kuvuta kumbu kumbu ………….ENDELEA Kufuatilia mkasa huu wa NYUMA YA MLANGO WA ADUI unao kujia hapa hapa jamii forums
 
Back
Top Bottom