Simulizi: Shanga za Bibi zilivyonipa umaarufu

Simulizi: Shanga za Bibi zilivyonipa umaarufu

Simulizi ya kweli..... SHANGA YA BIBI ILIVYONIPA UMAARUFU!!(Saeson 2)
Msimuliaji........KIDAWA

Umri........ 18+

Sehemu ya 4
Tulipoishia...... Sabrat anayeishi kama Kidawa,baada ya kufanya mapenzi na Ally,mwanaume ambaye alikuwa mpenzi wa Kidawa aliona mabadiliko kwenye mwili wake,alianza kuota manyoya kama ya mnyama.
Ally hakuweza kuyaona sababu yalianzia miguuni!
Sabrat alishaelewa hiyo ni dalili ya nini na kivi kingetokea muda mfupi ujao!!!Ndiyo maana akaanza kumfukuza Ally!!!

Songa nayo.....

"Toka kwangu Ally!!",haikuwa masikhara,kwa macho yake alikiri kweli hakukuwa na mzaha!
Alivaa nguo zake haraka akatoka chumbani tayari kwa kuondoka zake,huku akijilaumu pengine hakumpa mapenzi yanayostahili!!!

Ally angechelewa kidogo tu pengine angeweza kushuhudia jinsi Sabrat anavyogeuka na kuwa jitu la ajabu!!
Mwili wake ulituna ukawa mkubwa sana....ile sura ya Kidawa haikuwepo wala sura yake ya kishombe shombe haikuwepo Sabrat alikuwa mnyama wa ajabu ambaye hajawahi kuonekana duniani,usoni alikuwa na macho matatu!!!Mdomo wake ulikuwa mkubwa kama wa nyani na meno yake yakiwa nje kama mamba!!!
Udenda ulikuwa unamtoka akaanza kuunguruma kama Simba!!!

"Sabrat!Sabrat!",ghafla alitokea Jabir akiwa amebeba mbuzi mweupe hasiye na doa!
Sabrat alipomuona tu yule mbuzi alimrukia meno yake yakatua shingoni akaanza kumnyonya damu yule mbuzi mpaka akakauka akawa mweusi kama ameungua na moto mkali kiasi kwamba hata nyama yake huwezi kula!!
Muda wote Jabir alikuwa amekaa pembeni anashuhudia jinsi mbuzi anavyokaushwa bila mkaa!!!
Sabrat bado alikuwa katika umbo lile lile la ajabu,ila alikuwa tofauti baada ya kumfyonza damu yule mbuzi!!
Kidogo alitulia akawa anahema kwa kasi kama mgonjwa wa corona!
Baada nusu saa alianza kubadilika taratibu sura yake ikarudi ile halisi ya kishombe acha ile ya Kidawa!
Manyoya yakaanza kugeuka taratibu hadi miguu ikabadilika akawa Sabrat shombe shombe tena!
Hapo Jabir aliinuka akamsogelea Sabrat!
"Nisamehe Sabrar,nimechelewa kukuletea sadaka!!"

TUSILOLIJUA NI KUWA
Ili Sabrat aweze kumudu kuishi duniani kama Kidawa basi ni lazima kila siku ya Alhamisi aletewe kafara ya mnyama kama Mbuzi,ng'ombe na hata binadamu!
Kwa hiyo anatakiwa apate damu halisi ya kitu kilicho hai kabla haijafika saa saba mchana siku ya alhamis!
Na ndiyo maana Sabrat alipomuuliza Ally leo siku gani akamjibu alhamis,alibadilika akaanza kumfukuza akiwa na maana kwamba anaweza kubadilika akamnyonya damu Ally na huku alishaapa hawezi kuuwa binadamu!!

**********

"Jabir utaniletea matatizo kama kazi yako imekushinda mi naomba nirudi nyumbani!!"
"No!Sabrat unajua nimeondoka huku Jana tu,nilikuwa Nina mambo mengi ya kufanya kule nyumbani na Kidawa!"
"Lakini leo alhamis,ebhu vuta picha ningekuwa huko mabarabarani leo ingekuwaje?siningetafuna watu?"
"Nisamehe Sabrat,haitojirudia!"
"Nafanya kwa ajili yako Jabir,mi sifaidiki na chochote hapa sana nakitesa tu kitumbua changu,kuishi kama Kidawa ni ngumu!"
"Najua Sabrat mi naondoka nahisi utapata mgeni muda si mrefu,ngoja mi miwahi nyumbani Kidawa atanuna!

Jabir aliyeyuka kama upepo akapotea!
Sabrat naye akabadilika na kurudi kuwa Kidawa tena,hapo ndipo akaona jinsi Ally alivyokisurubisha kitumbua chake,kilipewa dozi fupi kali ya maana halafu tamu kweli!!
"Mmh!Ally duh!ntakuita tena hata sijakufaidi nilisahau leo ni Alhamis!"
Alichukua simu yake kisha akatafuta namba iliyoandikwa 'kibamia 2',alipoipata kwanza akaibadilisha akaihifadhi kwa jina la "Ally Kiboko'.
Alipomaliza akamtumia meseji....
"Ally we Kiboko!"😓
"Mmhh!kwanini??",alijibu Ally.
"Umenitia hadi maralia imepanda kichwani!!"😆😆
"😲😲😲😲 Kumbe ndo maana umenifukuza!"
"Ndiyo baby usinune!"😓
"Navyokupenda mi naanzaje kukununia Kidawa!"
"Nashukuru ila kwa utamu wa leo nahisi nimeanza kukupenda!"
"Nashukuru Kidawa!!🥰🥰🥰. "
"Poa kesho uje turudie,tufanye masahihisho😋😋😋"
"Mapema tu saivi uchoke wewe tu bunduki limejaa risasi halafu sio la kuseti kama gobole hii ni katamiti💪😋"
"Ok baby baadae ngoja nipumzike, naisubiri dozi ya kesho!"

Haya ndiyo yalikuwa maisha ya jini Sabrat kuendeleleza pale alipoishia Kidawa!
Ambaye sasa yuko ujinini huko katulizwa na Jabir!

************

Siku moja baada ya pilika pilika za hapa na pale alipita dukani,duka moja kubwa sana pale Kinondoni maarufu kama 'Robby One Fashion'.
Akiwa pale alishangaa kuna mtu anamshika bega huku alipogeuka alikutana na mwanaume ambaye aliwahi kumtesa Kidawa enzi zile,mwanaume aliyeikwangua bikra yake na kisha kumuonyesha dharau ya hali ya juu!!
"Kidawa",aliita John huku anatabasamu.
"John ni wewe!!!???",(kumbuka huyu ni Sabrat siyo Kidawa Ila Sabrat anamjua John sababu alikuwepo tangu zamani kwenye maisha ya Kidawa akimfuatilia kila hatua!!)
"Ni mimi aiseeh siamini kama nimekuona,umekuwa maarufu nakuona tu kwenye magazeti na mitandao ya kijamii hongera umekuwa mtu mkubwa!!!"
"Vipi bado unaendesha teksi?"
"Ndiyo kazi yangu Kidawa,nimekuja tu kununua pamba si unajua mi mtu wa kwenda na wakati!"
"Ok,hujabadilika tu John?"
"Nishabadilika Kidawa yani saivi nikikupata ntatulia sana!"
"Hahahahaaa!!chukua hii namba yangu utanitafuta,mi nina haraka sana tutaonana siku nyingine!!"
"Nikupe lift Kidawa?"
"Nimekuja na gari yangu John unahisi mi bado ni Kidawa yule?"
Aliongea Kidawa huku anaondoka,nyuma aliacha gumzo jinsi alivyokuwa anatetemesha bambataa lake kubwa!
John alibaki anameza mate mkononi alikuwa ameshika namba ya simu aliyopewa na Kidawa,kidogo akawa na matumaini!

JE NINI KITAENDELEA?JOHN ATAKUTANA NA SABRAT?NA JE ITAKUWAJE IKIWA SABRAT ANAJUA FIKA MATESO AMBAYO JOHN ALIMPATIA KIDAWA!!
 
Simulizi ya kweli..... SHANGA YA BIBI ILIVYONIPA UMAARUFU!!! ( season 2)
Msimuliaji........KIDAWA


Sehemu ya 5
Tulipoishia..... John mwanaume aliyemnyanyasa Kidawa enzi zile,sasa amekutana na Sabrat!
Jini ambaye anaishi duniani kama Kidawa,unahisi nini kitatokea kea John!

Songa nayo...
John hakuamini kama ingekuwa rahisi namna ile,moyoni aliamini yale maneno wanayosemaga kwamba 'mwanamke ukimtoa bikra,yani ukiwa mwanaume wa kwanza kwake hawezi kukusahau!!!
"Dah!Kidawa kumbe bado ananipenda!",alijisemea mwenyewe John!
"Yani akija gheto safari hii namuambarutty kabisa hawezi kuwa na tako kubwa vile halafu tusilitumie mabaharia!!"
John bado alikuwa hajabadilika kabisa!pamoja na yote aliyomfanyia Kidawa bado alitamani kumfanyia upuuzi zaidi!
Lakini nyuma ya pazia hakujua huyu si Kidawa yule tena,huyu ni jini Sabrat anayeishi kama Kidawa duniani!!!

**********"""""""""************

Bado Jabiri alikuwa amenibeba kwenye mbawa zake safari ikiendelea.
Safari yetu iliishia katikati ya bahari ndipo Jabir akatua kwenye mtumbwi uliokuwa unaelea katikati ya bahari ambao ndani yake hakukuwa na mtu wala kitu chochote!
Nilishawahi kuskia na kusoma stori mbalimbali za majini!Na nilishaskia sana kuwa majini yanaishi baharini!
Kitendo cha Jabir kutua na kufikia kwenye ule mtumbwi ule uliokuwa unaelea kilinifanya nitetemeke kwa hofu!
"Jabir mbona tumefikia hapa?",nilimuuliza moyoni nikiwa na hofu kubwa ukizingatia kuwa mimi ni muoga sana wa maji, boti tu siwezi kupanda sembuse mtumbwi wa makasia!!!???
"Hapa ndipo ilipo njia ya kwenda nyumbani mpenzi!"
"Jabir hapa si kwenye maji jamani njia iko wapi?",nilimuuliza huku natetemeka sana!
"Subiri utaona!"
Nikiwa bado na taharuki, Jabir aliutoboa mtumbwi maji yakaanza kuingia ndani ya mtumbwi,ukaanza kujaa maji!
"Jabir tunazamaaa!",nilipiga kelele Ila Jabir hakujali ndiyo kwanza anatabasamu!!
Mapigo ya moyo yalienda kasi Sana,na maji yakawa yamekaribia kujaa hapo ndipo nikapata wazo pengine Jabir amenileta kuniua na sio kama alivyosema!
Nilianza kusali sala zangu za mwisho mtumbwi ulimezwa na maji kwa hofu hadi mkojo ukanitoka mtu mzima nikajikojolea bahati nzuri kojo lenyewe likaenda na maji!
Maji yalipomaliza kuumeza mtubwi Sasa yakaanza kutumeza na sisi!
Jabir akanisogelea akanikumbatia muda huo maji yametima shingoni!!
Katika hali ya kushangaza Yale maji yalivyofunika uso wangu sikuhisi chochote,nilipumua kama kawaida huku tukiendelea kuzama kwenda chini!
Hali ile ilinishangaza sana,nikaamini kweli duniani kuna maajabu yani nazama na bado napumua!!!??
Kidogo hapo nilitulia hofu ikapungua kwa kiasi kikubwa!!
Ghafla tulitokelezea sehemu ambayo ni bustani huku maua yake yakiwa mazuri yaliyochanua vizuri!!
Hatukuwa tena kwenye maji,Ila nilipoangalia juu niliona maji ambayo yanataka kufanana na mawingu!
"Karibu Kidawa huku ni kwetu ujinini,karibu sana najua utapapenda tu!
Kwa pembeni nilimuona farasi mweupe amesimama!
"Gari letu lile pale litatupeleka mpaka nyumbani,unasubiriwa kwa hamu sana na ndugu zangu!"
Sikuwahi kupanda farasi Ila sikuwa na namna,nilipanda na Jabir Safari ikaanza kwenda kwao ambako wanasema nasubiriwa kwa hamu!

***********""""""""************

Sabrat baada ya kufika nyumbani aliweka mizigo yake ambayo sana alinunua nyama mbichi ya ng'ombe na mbuzi.
Alivipaki kwenye jokofu kisha akaingia kuoga,alipomaliza alitoka akiwa uchi wa mnyama akajitupia kitandani!
"John!!!",ndiyo sauti aliyotoa kisha akashusha pumzi ndefu!!!
Akachukua simu yake akaandika namba za John ambazo sijui alizipata wapi,maana yeye ndiye aliyempa namba John ila John hakumpa namba!!!
Simu iliita kisha ikapokelewa!
"Haloo nani mwenzangu!"
"Haloo ni mimi Kidawa mpenzi!"
"Kidawa gani?"
"Jamani umesahau na tumekutana super market muda si mrefu!!"
"Nauliza sababu sikukupa namba Ila wewe ndiyo umenipa!"
"Mi namba yako ninayo mbona!!"
"Mmh!", aliguna John.
"Nilikuwa nakuambia hivi leo mi ni mgeni wako John,nalala kwako leo!"
"Kweli!!!??"
"Ndiyo John kwani hutaki jamani?"
"No!nilivyokumiss natamani uje hata saivi!?"
"Sasa nakuja vipi na uko posta!"
"Umejuaje kama niko posta!",alihamaki John!
"John bhana,ulimwengu wa sayansi na teknolojia huu!!"
"Mmmhh!sawa ila nilishahama Mbagala!"
"Napajua unapoishi mpenzi,si hapo tu magomeni mikumi?"
"Kidawa kwani unakuwaje mbona sikuelewi umejuaje naishi mikumi??"
John alikata simu,alipata hofu baada ya kuona Kidawa anajua kila kitu kuhusu yeye!!
Meseji ikaingia kwenye simu yake,ikitoka kwenye ile ile namba ya Kidawa,akaifungua!
"NAKUJA KWAKO LEO NIMEMISS BAKORA YAKO JOHN WANGU!!"

JE NINI KITAENDELEA JOHN KAPATA AU KAPATIKANA NA VIPI SAFARI YA KIDAWA UJININI??
 
Simulizi ya kweli.... SHANGA YA BIBI ILIVYONIPA UMAARUFU!! (season 2)
Msimuliaji ............. KIDAWA

Umri..........................18+

Sehemu ya 6
Tulipoishia....... John amekutana na Sabrat anayeishi duniani kama Kidawa!Ila kinachomshangaza ni vile huyu Kidawa anaonekana kumjua isivyo kawaida kwani hata namba yake hakumpa ila Kidawa kampigia simu,anajiuliza namba yake kapata wapi!!!!??

Songa nayo..........

"Nakuja kwako leo,nimemiss bakora yako John wangu!"
Alipousoma huo ujumbe alipata wasiwasi akakosa raha kabisa.
"Inakuwaje aseme anakuja kwangu na sijawahi kumuelekeza?",alijiuliza maswali mengi mwisho aliamua kupotezea,akiamini Kidawa anamtisha tu ili atishike!
Aliamua kuyarudisha mawazo yake kazini.
Siku haikuwa mbaya Sana siku hii,alipata pesa za kutosha mpaka kufikia saa mbili usiku akawa yuko njiani anarudi nyumbani!!

Alipofika alifungua mlango wake,kidogo alikuwa amejijenga siyo John wa miaka ile!
Alikuwa amepanga chumba na sebule na vilevile ndani kulikuwa na vitu vingi vya thamani!
Ila kilichomshangaza ni jinsi vitu vyake vilivyopangwa kwa umakini na kwa mpangilio mzuri unaovutia!
Aliangalia mkononi alikuwa ameshika kufuli na funguo!
Ikiwa Ina maana kwamba yeye ndiye anafungua chumba tangu asubuhi na hakuna funguo ya ziada zote anazishika yeye!!!
Alikuna kichwa maana alihisi kuwa na maswali ambayo yalikosa majibu!!!
"Karibu mume wangu!!",hii sauti ilimshtua sana John alipoangalia mlango wa chumbani alimwona Kidawa akiwa ndani ya Kanga moja tu tena iliyolowana,inaonyesha ametoka kuoga muda si mrefu!!
Alitamani kukimbia lakini akajipa moyo akasimama!
"Kidawa!!!!??"
"Yes baby!"
"Umeingiaje humu!"
"Jamani kwani ni makosa mke kuwa kwenye chumba cha mumewe!!!!"
John alishusha pumzi ndefu,kichwani alijaza maswali mengi yaliyokosa majibu!!
Sabrat alimsogelea kwa mapozi akaanza kumzunguka huku anamshika shika mwilini!!
John aliganda kama sanamu,mpaka hapo alikuwa bado anajiuliza huyu ni Kidawa au nani?
"John!!",Sabrat alimuita kwa sauti ya chini yenye kubembeleza.
"Na..aa..mm!!",alibabaika John.
"Mwenzio sipendi taa!"
Sabrat alivyosema tu ivyo ikaskika soketi imelia 'taa" ,hapo hapo taa ikazima giza likatawala!
John alishtuka akaanza kupapasa ukutani akawasha taa ikawaka lakini hakumuona mtu ndani Kidawa hakuwepo!
Akaingia chumbani akaangalia hadi chini ya uvungu hakuona mtu jasho likamtoka haswa!
Ghafla simu yake ikaita alipoangalia akashtuka baada ya kuona ni Kidawa ndiyo anapiga!!!
Alitetemeka simu ikaita hadi ikakata,ikaanza kuita tena akajikaza japo kijasho cha woga kinamtoka akaipokea!
"John ndiyo nimefika mikumi hapa,njoo unipokee!"
"Kidawa mbona unanichanganya si ulikuwa hapa!"
"John nilikuwa wapi mbona sikuelewi!"
"Mi ndiyo sikuelewi!"
Alikata simu kwa hasira akaingia chumbani akamkuta Kidawa kalala yuko uchi wa mnyama kajaa tele kitandani!!!
"Njoo John,njoo uniambarutty!!"
"Mamaaaaaaaaa"
Alipiga kelele John huku anakimbia kutoka nje kwa kasi kiasi kwamba ungegongana naye ungejuta mara mia ugongwe na treni!!

*********"""""""""".**********

Sikuwahi kupanda farasi nilimng'ang'ania kiuno Jabir nikiwa nawaza kuanguka tu!
Njiani tulikuwa tunakutana na watu wa ajabu kweli,wengine wana pembe kama wanyama,wengine wana macho matatu kiukweli walinitisha sana!!!
"Usiogope hawawezi kukudhuru na utawaongoza wote hawa hivi karibuni!"
"Unamaanisha nini Jabir!"
"Subiri utajua nini namaanisha!"

Tulifika nje ya jengo moja kubwa sana lililojengwa na kunakshiwa vizuri kwa mapambo mazuri ya uarabuni!!
Jabir aliniongoza hadi ndani ambako nyumba Karibu yote ilizungukwa na walinzi ambao walikuwa na mwili wa binadamu ila vichwa vyao vilikuwa vua paka!
Kila tulipokuwa tunakatiza walikuwa wanainamisha vichwa vyao chini!!!
Jabir alinipeleka mpaka kwenye chumba ambacho ndani yake nilikuta wanawake warembo wanne wenye asili ya kiarabu wakiwa wamevaa taulo tu kila mmoja!
"Msafisheni!",alitoa amri Jabir kisha wale wadada wakainama chini kuashiria utii kwa Jabir ambaye aliondoka zake akaniacha kwenye chumba kile ambacho hakikuwa na vitu vingi sana isipokuwa vichache tu ambavyo vingi vilikuwa ni kwa ajili ya kuogea!!
"Karibu Malkia!",alisema mmojawapo
"Una bahati sana!",akadakia mwingine
"Kweli Jabir alikuwa na haki kukataa wanawake wote nahisi mama yake akikuona atakubali!",mwingine akaongeza.
"Mmh,sikujua kumbe kuna binadamu wazuri hivi kuliko hata majini!!"
Muda wote nilikuwa kimya sikutaka kuongea neno sababu sikutaka kuwazoea haraka,kingine kilichonishtua ni kwato zao,hawakuwa na nyayo za kawaida ,nyayo zao zilikuwa ni kwato kama zile za ng'ombe kabisa!!
Walinivua nguo ili waniogeshe ila nilishangaa baada kuona kiuno changu kikiwa kitupu!
Shanga zangu ambazo sikujua zimepotea kwenye mazingira gani hazikuwepo kiunoni,kiuno kilikuwa kitupu.
Kichwani nilijiuliza,itakuwaje bila shanga zangu??

JE NINI KITAENDELEA? SHANGA ZA KIDAWA ZIMEENDA WAPI NA VIPI
 
Simulizi ya kweli....SHANGA YA BIBI ILIVYONIPA UMAARUFU!! (season 2)
Msimuliaji............... KIDAWA

Umri................18+

Sehemu ya 7
Tulipoishia....... Kidawa kafika kwenye ulimwengu wa majini,,Jabiri kampeleka nyumbani kwao lakini akiwa bafuni anagundua kuwa shanga zake hazipo!!!!

Songa nayo..
"Unaitwa nani Malikia?",aliniuliza mmoja wa wale majini waliokuwa wananiosha!.
"Ki...ki..Kidawa!",nilijibu kwa uoga maana nikiangalia zile kwato roho nahisi inachomoka bila ganzi!!
"Wewe ni binadamu?"
"Ndiyo!"
"Hata usiogope sisi sio majini wabaya,ukoo wetu ni wa majini safi kabisa!!"alisema mmoja wapo ambaye ndiye aliyenichangamkia kuliko wote!
"Duniani kuzuri eeh!"
Aliniuliza Ila safari hii sikumjibu kitu,maana niliona ananikejeli maana naskia majini yanakuja duniani kila siku halafu saivi ananiuliza duniani kuzuri kama hajawahi kufika kuzuri hiyo Kwiyo.....
Waliniogesha wakanivalisha nguo ambazo zilinifanya nizidi kuonekana mrembo zaidi!!
Walinitengeneza nywele kwa staili ambayo kwa kweli sijawahi kuona,naweza sema wao walikuwa wataalamu sana kwenye sekta ya urembo!
Kidawa nilinoga haswa,mpaka leo natamani ningeenda na simu yangu nikapiga picha ujinini,ningeposti dunia ingesimama hii!!
Walinichukua hadi chumbani ambako walinitengeneza zaidi mpaka nikauliza kulikoni mbona napambwa sana!
"Imetosha jaman mbona mnanipamba Sana!"
"Leo ni siku kubwa kwako na kwetu pia!"
"Unamaanisha nini?"
"Unafunga ndoa na Jabir!"
Ndipo nikaelewa kumbe maandalizi yote yale ni kwa ajili ya ndoa!!
Baada ya maandalizi kukamilika walikuja wanawake wawili kunichukua na kuniongoza kwenda kwenye ndoa yenyewe,ndoa ya kijini!!
Nilifikishwa mpaka kwenye ukumbi mkubwa,ndani kulikuwa na kila sura zenye kutisha!
Jabir alinisogelea akanipeleka hadi mbele kabisa ya ukumbi kule kulikuwa na mwanaume mmoja ambaye alikuwa amevikwa taji!
"Huyu ni baba yangu na yule pale aliyekaa pembeni yake ni mama yangu!"
Ilitaka moyo sana kuvumilia sura zile,Ila sijui nilitoa wapi roho ya ujasiri.
Nilisogea nikamsalimu baba yake Jabir ambaye alionekana kufurahi sana uwepo wangu pale!
Nilimsalimu na mama mkwe wangu wa kijini kisha tukaketi!!
Baadae tulisimama Kisha baba Jabir akatushikisha mikono Kisha akatufungisha ndoa ya kijini!
"Ndoa tuliyoisubiri imetimia,sasa hakuna shaka Jabir ametimiza yale tuliyomwambia kilichobaki tusherehekee!",aliongea baba yake Jabir kisha wote wakaitikia!!
"Ayaweee!!ayaweee!!,kisha akaendelea.
"Leo natoa ruhusa kwa ukoo wangu kwa wale ambao hawajawahi kwenda duniani na waliowahi kwenda,leo muende mkasafishe macho ila tu msifanye vurugu wala kuua mtu leo ni siku ya furaha!!"
Majini wale walipiga kelele kwa nguvu baada ya hapo mmoja baada ya mwingine wakaanza kupotea ukumbi ukabaki mweupe!!!
Cha ajabu nikawaona pia wazazi wangu!Walikuwa wamekaa wakionyesha kufurahia sana ndoa yangu na hata sikujua wamefikaje kule!
"Jabir wazazi wangu wamefikaje huku?"
"Tumewaleta na nguvu za kijini,hapo kule wamelala ila watakuwa wanaota ndoto kuwa unafunga ndoa,wakiamka watajua ndoto Ila kumbe ni kweli!"
"Mmmhh!!"
"Usigune baby,binadamu mnakujaga sana huku ujinini bila kujua,na pia wachawi wanawachukuaga sana kwenye shughuli zao,mfano umelala ukaota unakula nyama kumbe wanakulisha nyama za watu!!"

Akatokea mwanamke mmoja mwenye asili ya kiarabu akasogea hadi nilipokuwa nimekaa na Jabir,ikabidi stori ikatishwe!
"Sabrat!!",aliita Jabir
"Jabir hongera sana!"
"Kidawa huyu ni rafiki yangu,yeye anatokea ukoo wa majini mabaya yanayoua watu,ila yeye tu kaamua kubadilika!"
Nilianza kumuogopa yule dada mambo ya kuuwana tena!
"Halafu kingine sijakwambia,huyu sasa ndiye Kidawa duniani ,anaishi kuendeleza pale ulipoachia!!"
Kauli ile iliniumiza nikajikuta machozi yananitoka maana hapo tu nilishaanza kupamiss duniani!!

Masaa yalikimbia,tukarudi kwenye jumba kubwa la kina Jabir.
Kulikuwa na ukimya sababu majini wengi walipewa ofa ya kwenda duniani.
Najua siku hiyo watu walikutana nao na kulala nao sana,sio kwenye kumbi za starehe au popote!
Majini wengine wanafikiaga hadi hatua ya kujipanga kwenye kundi la madada poa ili tu wapate bakora!

Tuliingia chumbani,chumba kilikuwa kimepambwa kwa nakshi nakshi nzuri za pwani!
Kilichonishangaza ni mazingira ya chumba kile,yalifanana sana na kile chumba ambacho nilikuwa naota nafanya mapenzi na Jabir!
"Karibu mpenzi wangu,najua hapa sio mgeni!"
Nilijikuta nina hamu ya kufanya mapenzi,yani hadi uchi ulilowana sijui ndiyo nyege ama ni nini?
Jabir alinisogelea akanikumbatia huku ananipapasa!
Alianza kunivua nguo moja baada ya nyingine,hatimaye nikabaki na chupi tu!
Ghafla nikakumbuka sina shanga yangu ikabidi nimuulize Jabir!
"Jabir mpenzi shanga yangu siioni!!"
"Huku haitakiwi shanga yako utaikuta duniani!"
Jabir alianza kucheza na mwili wangu ambapo alinigusa sehemu ambayo sikuwahi kujua kama nikiguswa hapo nachanganyikiwa kabisa!
Alinilaza chali kisha ulimi wake ukaanza kutembea kwenye uti wa mgongo!
Nilihisi joto,ubaridi na utamu kwa mbali!!
Tangu niyajue mapenzi sikuwahi kufanyiwa romance kali vile!!
Ulimi wake ulikuwa mwimba mwilini mwangu,ukayaamsha maruhani yangu!!
Nguvu ziliniishia pale ambapo ulimi wake ulianza kunigusa kwenye maungio ya mguu na paja,yaani pale nyuma ya goti!!
Jamani ivi ulishapitishiwa ulimi hapo nyuma ya goti??😋
Kama bado jaribu leo!!
Baada ya maandalizi makali Jabiri alimshika jogoo wake ili amfungie bandani!
Banda lilishalowa na utelezi wa kutosha,jogoo wake mkubwa aliyagusa mashavu ya uchi wangu,akaanza kuzama na manyoya yake taratiiiibu!!!
JE NINI KITAENDELEA?NINI HATIMA YA KIDAWA UJININI?NA VIPI SABRAT NA JOHN? USIKOSEEEEEE
 
Simulizi ya kweli..... SHANGA YA BIBI ILIVYONIPA UMAARUFU!! (season 2)
Msimuliaji........... KIDAWA
Umri.........18+

Sehemu ya 8
Tulipoishia..... Kidawa kashafika ujinini na tayari ameshafunga ndoa,kwa huko ujinini tayari ni mke na mume!!nini KITAENDELEA.....

Songa nayo.....

Siku hiyo Jabir alikuwa mtamu kuliko siku zote,sijui labda kwa vile nilikuwa nafanya naye mapenzi ndotoni.
Jabir alijua kunipa raha Kidawa,tangu niyajue mapenzi,sikuwahi kupewa penzi tamu kama lile!
Jabir alikuwa anamsukumia nyoka wake pangoni taratibu huku akikatika viuno mgandisho jamani nililia kwa utamu!
"Jabir baba!oooohhh tamu baby!ashhhhiiiiiiiiii !aaahhhhhh!ulikuwa wapi ooohhhhhhh!!https://jamii.app/JFUserGuide meeee!nit*e ahhhh!! nakojoaaaaa!!!!
Jabir alikuwa kimya anapeleka kushoto kisha kulia,anarudi kati anaenda chini anarudi juu ilikuwa ni zaidi ya utamu!!!
Utamu ulinoga pale Jabir alipotaka kumaliza,aliongeza kasi akawa anaizamisha bakora yake mpaka mwisho ikawa inanigusa huko kwenye gololi ndani!
Mbegu zake zilikuwa za moto hadi raha!!!
Tulikuwa tunazibadili staili tu, Jabir alinikunja kunja kama nyoka,staili zingine za kijini jamani na sijui zinaitwaje maana sio kwa kukunjwa kule ila tamu balaa!!

Baada ya masaa mawili Jabir aliniachia nikiwa mwepesiiiiii!
Alilala pembeni yangu,moyoni nilihisi kumpenda Jabir,si unajua kumteka Kidawa ni kumpa shoo kali ya kibabe!!
Siyo kutiana shombo na vibamia vya mlenda nakuwa sikuelewi kabisa,hata kama nimekusevu jina la maana naweza nikakusevu hata 'Mzibua vyoo' sipendi ujinga mimi nikikupa kitumbua changu kitafune kweli!
Nilimlalia Jabir kifuani,kifua chake kilipamba na nywele maarufu kama bustani ya mapenzi 'garden love!'.
Zilikuwa nzuri za kiarabu zinapendeza hadi raha,sio zetu unakuta mtu ana kipilipili kifuani halafu anaita garden love,garden love hiyo kwiyo😆😆😆
"Mume wangu!",nilimuita Jabir kwa sauti tamu ya mahaba!
"Naam mkewangu!"
"Ahsante mpenzi nimeenjoi sana,penzi lako limenifikisha kileleni mpenzi!",ndiyo lazima ushukuru,kama umepata dozi umetibiwa inavyostahili kwanini usishukuru.
Kuna vidada vikimaliza tu vinainuka na swali la kwanza vinauliza.."CHUPI YANGU IKO WAPI?"🤣🤣🤣🤣🤣
"Usjali mpenzi hata wewe ni mtamu sana nimefurahi sana"
"Sijui umeweka nini leo bakora yako ina utamu kuliko asali,baby nambie umeweka nini mpenzi!!!"niliongea kwa madeko!
"Sijaweka chochote baby,labda kwa vile leo ni rasmi kuwa wewe ni mkewangu!!!"
Tulishikana shikana tukajikuta tumezama tena baharini,bahari ya mapenzi.Utamu unaozidi utamu wote duniani,kwa kweli kwenye bakora na kitumbua hapa tuliwezwa!

**********""""""************

Tukirudi kwa John siku ile anamkimbia jini Sabrat!
Alishangaa alipotoka nje akakutana na makaburi matupu,yaani nyumba anayoishi aliona imezungukwa na makaburi matupu!!
Akajiuliza imekuwaje aone makaburi na wakati ule ni mtaa tena uswahilini nyumba zimebanana kweli!!
Akarudi ndani kwa kasi huku anahema kwa nguvu!
Akamkuta Kidawa sebuleni bado yuko uchi,kiukweli alitamanisha ila kwa mazingira yale unaanzaje kumtamani!!
"Karibu John!",alisema Sabrat kwa sauti yenye kubembeleza,Ila John alihisi kama ni makelele.Alimuogopa Kidawa isivyo kawaida!
"Usiniogope John,si ulikuwa unataka kuniambarutty mpenzi,malinda yangu yanawasha njoo uyanyooshe baby"
John alijiuliza Kidawa kajuaje kama alikuwa na mpango wa kumfanyia unyama ule!
Hapo ndipo akagundua Kidawa sio yule tena,Kidawa amekuwa jini tena mchawi kabisa!
"Usiwaze mi ndiyo yule Kidawa wako baby!"
"Mm..mmh..mhhh!",alibabaika John.
"John unanichelewesha bhana mwenzako malinda yanawasha au unataka nikasirike!
John alikuwa anatetemeka Sana.
"Nikikasirika natafuta iyo bakora na pumbu zake zote, ndivyo unavyotaka ?"
"Ha...haapana!"
"Aya vua nguo uniambarutty saivi!"
John alianza kuvua nguo,huku anatetemeka japo kulikuwa na feni ila bado kijasho kilimtoka!
Machozi nayo hayakuwa mbali,aliamini hayo ni malipo kwa yote aliyomfanyia Kidawa miaka kadhaa iliyopita!
Sabrat alimshika John mkono akamuongoza hadi chumbani,ambako alipofika tu kitandani alikaa staili ya mbuzi kagoma!
"Aya John kazi kwako!"
John hakuwa na hisia ila alishangaa tu bakora imesimama dede!!
Ila bado hakuweza kufanya chochote alibaki ameganda kama sanamu!
"Unaniambarutty au nikuambarutty Mimi??",aliuliza Sabrat!
John akaona isiwe tabu kuliko kunyooshwa yeye Malinda ni bora amnyooshe yeye!
Akapanda kitandani akaishika bakora yake yake akailengesha kwenye tigopesa ya Sabrat!!!
John kuonyesha kuwa ni kazi yake kutoa Malinda,akachukua mafuta Yale maalumu kwa kazi hiyo,akampaka Kidawa Kisha akaanza kuipenyeza bakora yake taratibu!!

JE NINI KITAENDELEA?SABRAT ATAFANYAJE NA NINI HATIMA YA KIDAWA UJININI!
 
Simulizi ya kweli..... SHANGA YA BIBI ILIVYONIPA UMAARUFU!! (season 2)
Msimuliaji................ KIDAWA
Umri................. 18+

Sehemu ya 9
Tulipoishia....... John ameingia choo cha kike,tayari ameingia kwenye kumi na nane za jini Sabrat anayemuona kama Kidawa!Nini kitaendelea??

Songa nayo.......

Siku,wiki hatimaye nikatimiza miezi kadhaa ujinini!
Niliishi kama malkia,maisha yalikuwa mazuri sana kila kiumbe kiliniheshimu.
Nilipewa mamlaka kiasi kwamba kuna baadhi nilikuwa naweza kuviongoza!
Jabir alinipenda sana,alinifanyia vitu vingi sana ambavyo sikuwahi kufanyiwa na mwanaume yoyote!!
"Mume wangu!",siku moja tukiwa tumemaliza kufanya mapenzi nilimuita Jabir!
"Naam mkewangu!"
"Lini utanirudisha kwetu!"
Nilimuuliza Jabir huku nimemkazia macho.
Pamoja na kupewa kila kitu,lakini kuna kitu kilipungua!
Sikuwa huru kama ilivyokuwa duniani,niliimiss dunia!
"Kidawa huwezi kurudi duniani!"
"Jabir!!!",nilihamaki sikutegemea jibu lile!
"Ndiyo Kidawa hautorudi duniani!!"
Aliongea Jabir akuonyesha kuwa na msimamo kwa kile anachokisema!
"Unamaanisha nitafia huku ujinini kwenu Jabir!!"
"NdiyoKidawa!"
Alinijibu Jabir huku anaondoka kabisa chumbani akiniacha peke yangu!
Nililia kwa machozi na maskitiko makubwa!
Nikiwa pake ghafla alitokea mmoja wa wale wasichana walioniogesha kipindi kile nafika,yule aliyeniuliza swali kuhusu dunia nikanyamaza sikumjibu!
Sikushtuka maana nilishaanza kuzoea,naishi na viumbe vya ajabu ajabu!
"Pole sana Wifi!"
Aliniongelesha nikamuangalia huku macho yangu yakiwa yamefunikwa na machozi mengi!
Alinisogelea hadi pale nilipokuwa nimekaa,akakaa pembeni yangu!Mkono mmoja akaupotisha begani akaniambia!
"Pole wifi yangu!"
"Ahsante!"
"Kesi yako na yangu zinafanana Wifi!",nilishtuka inakuwaje aseme zinafanana na huku yeye ni jini na huku ni kwao tofauti na mimi nimekuja tu kwa kulazimishwa!"
"Unamaanisha nini??Mi staki kuishi huku!"
"Hata mimi staki kuishi huku wifi!"
"Kwanini huku si kwenu?"
"Ni kwetu wifi ila hakuna uhuru!"
"Kwa hiyo unataka kwenda wapi?"
"Nataka kwenda duniani wifi!"
"Sasa nyie si majini mkitaka kwenda mnaenda tu!"
"Hapana kwenda kule mpaka tumwombe ruhusa baba,yeye ndiye anatufungulia njia ya kwenda duniani bila hivyo hatuwezi!"
"Mbona Jabir alikuwa anakuja tu duniani!"
"Alikuwa anatoroka sababu njia anaijua na vilevile baada ya kugundulika baba alimruhusu tu awe anatoka sababu anampenda sana!"
"Sa kwanini unapachukia kwenu!?"
"Sipachukii ila unakumbuka ile siku unafunga ndoa na Jabir,baba alituruhusu kutoka na kwenda duniani kutalii?"
"Ndiyo nakumbuka!"
"Basi siku ile nilikutana na kijana duniani ambaye alinipenda nami nilimpenda pia,sikuwa nimewahi kufanya mapenzi na binadamu kabla,Ila nilipoonja penzi lake tu nilijikuta nimempenda sana!"
"Kwa hiyo unaondoka huku ili ukaishi na huyo kijana?"
"Alikuambia hana mpenzi?maana binadamu siyo kama majini hawaeleweki ndiyo maana wanasalitia ana kila siku!"
"Jini hadanganywi wifi!"
"Unamaanisha nini?"
"Kila anachofanya mimi namuona na hicho kitu ndicho kinachonipa nguvu sana!Ni mwaminifu na tangu niondoke kuja ujinini amekuwa akinitafuta sana!"
"Sawa Sasa tuachane na hayo wifi yangu!Ebhu niambie tunafikaje duniani?"
"Usijali ngoja niende ntakuja baadae nikiwa na jibu!"
"Kweli!!?"
"We usiwaze huku lazima tuondoke wifi!"
Kidogo nilipata matumaini,tabasamu langu likarejea!
Niliapa nikitoka huku ntamtafuta mganga anitibie ili huyu Jabir asinirudie tena!!

Baada ya muda alirudi akiwa na tabasamu pana!!
"Eeh!nambie wifi yangu!"
"Kama nilivyokuambia nimerudi na jibu lenye matumaini!"
"Kweli!"
"Ndiyo!"
"Dah!siamini kama ntarudi kwenye maisha yangu,nimechoka huku hakuna WhatsApp wala Instagram nimemiss umbea wa mitandaoni kina Juma lokole wale na Carry mastory"
"Hahahahaa!wifi usijali sasa sikia nikupe mipango!"
"Nambie wifi!"
"Nimemtafuta mdada ambaye yeye alikuwa na kesi ya kuwa anatoroka huku na kwenda duniani!"
"Yuko wapi?"
"Yuko gerezani amefungwa,ni kosa kwenda duniani bila ruhusa kwenye ukoo wetu,yeye alikuwa anaenda kibaya zaidi siku moja alienda akamkuta mpenzi wake akiwa na mwanamke wanafanya mapenzi!
"Ikawaje?"
"Alimuua na ndiyo maana kafungwa,ukoo wetu haturuhusiwi kuua bila sababu za msingi!"
"Tuachane na hayo kwa hiyo amekuambia hiyo njia ya kutoka huku kwenda duniani?"
"Ndiyo kaniambia njia yenyewe ni moja tu ila ina masharti!"
"Masharti tena!!"

JE UNAHISI NI MASHARTI GANI?NA JE KIDAWA ATAWEZA KWELI KUTOROKA JABIR ATAMRUHUSU?
 
Simulizi ya kweli.... SHANGA YA BIBI ILIVYONIPA UMAARUFU!! ( season 2)
Msimuliaji..…......... KIDAWA
Umri....................18+

Sehemu ya 10
Tulipoishia.......Kidawa anataka kutoroka ujinini,kampata mtu mwenye mawazo kama yake,unahisi watafanikiwa??

Songa nayo:

"Ndiyo kaniambia njia ni moja tu ila masharti!"
"Masharti tena!", nilimuuliza kwa mshangao!!
"Ndiyo siyo magumu sana lakini!"
"Ebhu yaseme hamkawii kusema mnataka damu nyinyi!"
"Hahahahaha!wifi bhana unanichekesha!
"We cheka ukimaliza unipe hayo masharti!"
"Iko ivi wifi, huku kuna sehemu huku kuna bustani moja inaitwa bustani ya nguva,pale kuna nguva wengi!Nadhani ushaskia hadithi nyingi za nguva kuonekana baharini,basi inatakiwa twende pale tupate nguva ambaye tutamzoea na akatuzoea,Kisha tumfanye rafiki yetu baada ya hapo tumuombe atuonyeshe njia ya kwenda duniani!"
"Mimi nawaogopa hao nguva wenyewe!"
"Usiogope bhana wale ni viumbe wazuri Wana upendo sana hasa wakigundua wewe ni binadamu,majini hawatupendi sana"
"Nimekuelewa kwa hiyo tunaenda sangapi?"
"Mmhh,una haraka kama cha kwanza, ebhu tulia tutaenda kesho!!"
Moyoni nilipata tumaini jipya,nikapata moyo kwamba ntamuona mama na baba tena!
Ntarudi duniani nikaendeleze miradi yangu na mambo yangu yote!
"Aya wifi mi naondoka tukutane kesho saa mbili asubuhi ndiyo huwa wanatoka sana mida hiyo!"

***********"""************

John bado alikuwa na kitete balaa!Bakora yake ilikuwa kama taa za kuwa na kuzima!inasimama inalala!
Muda huo Sabrat kajibinua haswa,kitumbua na tigo pesa vinaonekana bila tochi!
John aliishika bakora yake tayari alishatia mafuta,akaizamisha bakora yake kwenye tigopesa!
Joto aliloliskia huko ndilo lilimfanya asahau maswahibu yote ambayo Kidawa amemfanyia!!
"Ooshhh!! Kidawa tamuuu!!",alipaza sauti lakini hakujibiwa!
Kidawa alikuwa kimya akionekana kufurahia pia mchezo ule!
Hapo ndipo John akapata imani kwamba huyo ni Kidawa na sio jini maana majini yanachukia hii michezo ya ambarutty!Ukitaka kuamini umpate demu mwenye majini halafu utake kumuambaruty!!😅😅😅😅
John alijipinda kweli,akiamini anamfurahisha Kidawa!
Baada ya dakika kumi wazungu walishuka uwanja wa ndege wakapimwa Corona Kisha wakawekwa karantini!
Hapo ndipo John alihisi utofauti,alihisi manyonya yanamchoma sehemu za Siri na mikono yake aliyokuwa ameshika kiuno cha Kidawa,sasa alihisi kama ameshika kiumbe chenye manyoya!
Alishtuka sana alipoangalia alikuta bakora yake iko kwenye kitumbua cha mbwa na kibaya zaidi yule mbwa alikuwa anapiga kelele siyo mchezo!!
Alishtuka akataka kuichomoa bakora lakini haikutoka,na mbwa aliyekuwa anamtia ni mbwa wa jirani yake!!
Yule mbwa alikuwa anapiga kelele kiasi kwamba majirani walikuwa wameskia na hapo bakora yake haitaki kuchomoka!
Ghafla aliskia hodi mlangoni , hapo nguvu zilimuishia kabisa!
Alivuta bakora ichomoke lakini ikakataa!ndiyo kwanza kitumbua cha mbwa kikaanza kutoa damu!
Akiwa bado anashangaa ghafla kundi la watu liliingia mpaka chumbani!
"Heeeeeeee!!!John!!!",alisema binti mmoja baada kumkuta John anamshughulikia mbwa!
"Dunia hii,ndiyo maana maradhi hayaishi,namna hii tusipate Corona?",alitamka mzee mmoja wa makamo!
"Umekosa nini John??"
"Mimi nataka mahari tu kumbe nina mkwe kabisa!",alitamka mwenye mbwa wote wakacheka!!
"Ndiyo akupe mahari ikibidi na ndoa tuwafungishe chefuuu mkaka mzima ovyoooo!!"
Ilikuwa ni aibu ya karne,John alikuwa haamini kile kinachotokea!
Kama unavyoujua ulimwengu wa sasa kila mtu ni mwandishi wa habari!
Walitoa simu zao wakampiga picha wengine wakamchukua hadi video kabisa!
Wananchi wenye hasira walitaka kumpiga,Polisi nao hawakuwa mbali walifika wakamnusuru John ambaye baada ya polisi kufika ndipo bakora ikakubali kuachiana na mbwa yule!
Polisi walimchukua wakampeleka kituoni,ambako alikaa jela mwezi mmoja tu akatolewa na ndugu zake!
Maisha yake yake yalikuwa magumu kwani baada ya tukio lile picha na video zake zulisambaa mtandaoni!
Hakuweza tena kukaa mjini alirudi kijijini kwao tanga akalime tu,maana mjini kila alipopita alinyooshewa vidole.
********""*******
Sabrat baada ya kumfanyia John vile aliondoka zake!
Alipofika nyumbani alicheka Sana akionyesha kufurahishwa Sana na kile kilichotokea!
"Hahahaha! hahahaha!hahaha!"
Alicheka kwa sauti kubwa akilifuata friji lake ili achukue mnofu wa nyama ale,lakini akakuta jokofu jeupe!
Akakumbuka kwamba hakukuwa na chochote na njaa ilimuuma Sana!
Akainuka ili akatafute chakula,akachukua gari akatoka njiani bahati ikawa kwake!
Akamuona mbuzi ambaye nahisi alikuwa amepotea njia!
Alishuka kwenye gari akamkamata yule mbuzi akamng'ata shingoni akamnyonya damu yote!
Alipomaliza akamtupa akapanda gari lake akarudi nyumbani!!!

Kesho yake wenye mbuzi walimpata mbuzi wao akiwa amekufa,ila kilichowachanganya ni alama ya meno ambayo ilikuwa shingoni!
Kama unavyowajua watanzania ile haikuwa habari ndogo!Walijaa kushangaa nini kimetokea!!
Baadhi ya vichwa vya habari vya magazeti viliandika!
"DAR YAVAMIWA NA JINI"

MAMBO YAMEKUWA MAMBO,JINI SABRAT KAKIKI MJINI,UNAHISI NINI KITATOKEA!!!
 
Simulizi ya kweli..... SHANGA YA BIBI ILIVYONIPA UMAARUFU!! (season 2)
Msimuliaji................. KIDAWA
Umri..........................18+

Sehemu ya 11
Tulipoishia......Kidawa kapata njia ya kurudi duniani ambayo inapatikana kwenye bustani ya nguva, lakini masharti yake ni mpaka ajenge urafiki na nguva...Je atafanikiwa?

Songa nayo.....

Jabir alirudi akanikuta ndani nimelala, alifika akasimama kisha akasema...
"Naona ulikuwa na mgeni,Zahra alikuwa humu?"
"Ndiyo kaondoka muda si mrefu",nilimjibu maana Zahra ni yule wifi yangu niliyepanga nae njama za kutoroka!
Jabir alifika akavua nguo zake akabaki uchi kama alivyozaliwa!
Pamoja na kuwa na hasira za asubuhi lakini huwezi amini nilijikuta kila kitu kimepotea nikapata hamu ya kufanya mapenzi hadi vinyweleo vikasimama!
Nilisimama nikaenda bafuni nikajimwagia maji nikamuosha Kidawa .
Moyoni Nilitamani Jabir aje anisugue bafuni lakini Wala hakufanya ivyo.
Si unajua utamu wa ugali kubadili mboga sio kila siku msusa inachosha,inatakiwa leo tembele kesho mchicha!
Nilijikoholesha ili hata ajiongeze,wala hakufanya ivyo!Nikaona isiwe tabu nikaunyanyua mguu mmoja nikaupandisha juu ya sinki kisha nikapiga kelele nikimuita Jabir!
"Jabir! Jabir njoo fanya harakaaaa!!!!
Ghafla Jabir alitokelezea akiwa na imani labda nimepata tatizo Ila staili aliyonikuta nayo ilikuwa ni lazima ajiongeze tu!
Kupitia kioo niliona bakora yake ilivyovimba kwa hasira!
Hamu niliyokuwa nayo hata ningewekewa dole tu ningekojoa!
Hakukuwa na haja ya kulambana tena!
Jabir alinisogelea akanishika kiuno akailengesha tunduni.
Nilichogundua bakora ya Jabir ilikuwa inabadilika badilika haipo katika umbo maalaum.
Maana Safari hii ilisimama kwa kuangalia juu na kichwa chake kilikuwa kikubwa kiasi tofauti na mwanzoni kilikuwa kikubwa sana!
Hasikwambie mtu kuna utamu wake bakora ikiwa ndiyo inazama tunduni.
Akili na mawazo yote yanakuwa huru kumkaribisha mgeni!
Bakora iliteleza taratibu nikaipokea kwa sauti tamu ya puani!
"Aaassiiiiiihhh!nipe babaaaa! weka yoteeeehhh!"
Taratibu mpaka ikafika mwisho,Kidume akaanza kunipa utamu,akizungusha nyonga yake taratibu!!
Sikuwa nyuma Kidawa,kama mnavyonijua Kungwi Kidawa sinaga kujibana,linapokuja suala la mapenzi huwa naachia akili na mwili wangu wote uwe huru!
Sio unafanya mapenzi unawaza vikoba inahuu......!
Au unafanya mapenzi una wasi wasi na mimba kalenda huzijui?
Utaskia eti ooh baby mwangia nje,akili yote inawaza mwangia nje utafika kileleni sangapi?
Na msipofika mnamtafuta mchawi shauri yenu mtakaa mnauskia tu utamu wa bakora kwa jirani wakisimulia!! (Chonde mi sio mwalimu mnaonifuata inbox jaman jamani taratibu)😆😆😆
Jabir alijua kunipa raha huyu mwanaume,bakora yake ilinifika kunako ikanikuna kipele changu,kojo likanimwagika......
Jabir alijua kunifaidi alinipa utamu kama alijua nataka kumtoroka!
Baada ya mechi kali nilipitiwa na usingizi mzito!!!
Nikiwa ndotoni niliota ndoto eti niko shimoni, ndani ya shimo ambalo mi refu sana kiasi kwamba nikiangalia juu sioni!
Ila niliskia tu sauti ya baba na mama wakiniita huku wanalia!
Nilishtuka sana nikajikuta nipo kitandani peke yangu Jabir hakuwepo alishaondoka zake!!!
Niliumia sana,ile ndoto ilinikumbusha wazazi wangu nikalia sana!
Niliapa kesho lazima niende kwenye bustani ya nguva!!!

********"""""**********

Kitendo alichokifanya Sabrat kilikuwa kidogo kwake ila kilileta taharuki kubwa!
Vyombo vya habari vilipamba moto vikizungumzia mbuzi aliyekufa kwa kunyonywa damu!
Kwa Sabrat hata alivyoona hakujali aliendelea na Mambo yake kama kawaida!

Siku moja akiwa nyumbani baba yake Kidawa alipiga simu!
Akaichukua akaipokea...
"Halo baba shikamoo..."
"Marhaba mwanangu!"
"Jamani nimewamiss ntakuja kuwasalimia!"
"Usijali mwanangu tunajua uko bize!"
"Mmh!hapana baba itabidi nije!"
"Sasa mwanangu kilichofanya nikupigie simu kwanza ni kukusalimia, pili ni kuwa mwanangu kuna ndoto tumeota ambayo tunahisi Ina kheri ndani yake!"
"Ndoto gani baba!"
"Nimeota mimi na mama yako tupo kwenye ukumbi mkubwa tena kwenye ndoa yako mwanangu unafunga ndoa,na kingine nilipomwambia mama yako pia naye kaota ndoto kama hiyo!"
"Jamaniiii babaaa!!"
"Sio jamani Ila tumehisi ni jambo la kheri sana kwetu na kwako pia,sasa tunakuuliza mwanetu unafikria nini kuhusu suala la kuolewa?"
Sabrat alijua nini maana ya ndoto ile,alijua kabisa wazazi wa Kidawa walichukuliwa wakapelekwa ujinini kushiriki ndoa ya Kidawa na ndiyo maana hata walivyoota ndoto zao zinafanana,sababu walikuwa sehemu moja na kwenye tukio moja!!
Sabrat alivuta pumvi ndefu sana!Akifikria ni nini afanye ili wazazi wa Kidawa wasahau ndoto ile,maana ni rahisi kwa watu wenye utaalamu na Mambo ya majini!
Anajua alichokifanya baada ya sekunde tu baba Kidawa akabadili mada!
"Unaenda dukani leo?"
"Ndiyo baba basi nakuja ntapitia hapo!"
Sabrat alikata simu akacheka sana,Kisha akaelekea kwenye jokofu ambapo alikuta minofu kadhaa.
Lakini nafsi yake ikataka kula nyama ya moto au damu ya moto iwe ya binadamu au mnyama!
Akasimama mwili wake ukabadilika lakini kabla hajaondoka Jabir akatokea!
"Sabrat unataka kufanya nini!!???"

HAYA SABRAT UVUMILIVU UNAMSHINDA ANAJIKUTA ANATAMANI KUUA!UNAHISI NINI KITATOKEA MI SIJUI ILA USIKOSEEEEEE.....
 
Simulizi ya kweli..... SHANGA YA BIBI ILIVYONIPA UMAARUFU!!!
Msimuliaji............... KIDAWA
Umri...............18+

Sehemu ya 12
Tulipoishia...... Sabrat anatamani kunywa damu,mwili wake unabadilika anakuwa jitu la ajabu ila kabla hajatoka kwenda kutafuta iyo damu Jabir akatokea na kumzuia...

Songa nayo.....

"Sabrat unataka kufanya nini!?"
"Jabir!!",Sabrat alishtuka akajirudisha kuwa kawaida! Hakutegemea kumuona Jabir muda ule!
"Sabrat!unakumbuka uliua mbuzi nchi ikasimama?Sasa unataka kuua mtu??"
"Lakini Jabir unajua mi ukoo wangu nimezoea kula nyama za watu nimemiss!!"
"Lakini uliniahidi utabadilika,ona sisi mbona hatuli binadamu na tuko poa!"
"Mi na wewe ni tofauti!"
"Unataka nikurudishe ujinini?na ukumbuke nina marafiki wengi wanaoweza kuja kuishi kama Kidawa huku duniani!"
Sabrat alinywea akawa mdogo kama kidonge cha mafua!
"Samahani Jabir!"
"Na usisahau Kidawa ni mtu maarufu unapovaa sura yake jichunge usimchafue hata kidogo!"
Waliongea Kisha Jabir akaondoka zake kurudi ujinini!
Sabrat aliinuka akaenda kwenye friji akachukua vipande vya nyama mbichi akaanza kula kwa jazba,akiamini Jabir kamzibia ridhiki!!

*********""""*********

Kulikucha asubuhi na mapema!Niliamka nikajiandaa kwa ajili ya kwenda kwenye hiyo bustani ya nguva!
Nikimaliza kujiandaa nikawa namsubiri
Zahra aje!
Alikuja akanikuta niko tayari akaanza kuniongoza kuelekea huko bustanini!
Safari haikuwa ndefu sana,tulifika mpaka bustanini!
Kusema ukweli ilikuwa ni bustani iliyovutia sana!
Kulikuwa na miti na maua mazuri yenye kupendeza sana!!!
Maji yake yalikuwa masafi,ulikuwa ni kama mto mrefu uliozungukwa na maua mengi pembeni yake na hata ndani ya maji yalielea maua yaliyopendeza sana!
"Mbona hakuna nguva hapa!",nilimuuliza Zahra baada ya kukuta bustani nzuri lakini nguva hawakuonekana!
"Inatakiwa tuandike majina yetu kwenye maji,wao watajua hapa kuna ugeni watakuja lakini kila mtu inabidi akae upande wake maana kuna wengine wakiandika majina yao huwa hawatokei kama hawajakupenda!"
Nilishangaa Ila sikuwa mbishi moyoni nilikiri kweli kuna maajabu duniani!!
Niliinama nikaandika jina langu kwenye maji,yaani inakuwa kama ofisi kubwa mjini ukifika lazima uandike jina mapokezi!😆😆
Nilipomaliza na Zahra aliandika la kwake Kisha tukakaa kusubiri hao nguva!
Zilipita kama dakika tano ndipo nikaona kitu kinachana mawimbi kinakuja tulipo ila kilikuwa kinakuja uelekeo wangu!
"Usiogope ndiyo nguva wako huyo!!"
Niliogopa Ila nikajikaza basi yule nguva aliogelea hadi karibu yangu ndiyo akaibuka!
Loh!alikuwa mwanaume mzuri mwenye asili ya kihindi,kwa jinsi kifua chake alivyojazia na sura yake ya kuvutia alifanana sana na muigizaji wa kihindi 'Ritik Roshan' maarufu kama Krish.
Macho yake yalikuwa mazuri sana,aliniangalia kwa Karibu Kisha akaniita jina langu!
"Kidawa!"
Nilishindwa kuitika nilibaki na mshtuko mkubwa baada ya kutoa umbo lake kwenye maji,hakuwa na miguu Bali alikuwa na umbo kama la samaki!
Hadithi nilizokuwa naziskia tu eti ikawa kweli ,nilihisi ni filamu lakini haikuwa hivyo!
Mbele yangu alikuwepo nguva tena mzuri aliyenivutia haswa!
Sijui ni nini?Ila ni kama akili zangu zilipotea nikaanza kumpapasa yale magamba yake yaliyoteleza!
Naye alizidi kuniangalia kwa macho yake makubwa yenye kuvutia!
"Unaitwa nani!"
"Naitwa Farid Khan!"
"Naweza kuwa rafiki yako?"
"Bila shaka!"
Alinijibu nikageuka kumuangalia Zahra ambaye mpaka Sasa bado nguva wake hajaja!
Tulipokutanisha macho alinikonyeza akionyesha kufurahia kile nachofanya!
"Niko na mwenzangu unaweza kumruhusu asogee hapa!"
"Bila shaka!"
Tabasamu la Farid lilikuwa mwiba nilihisi linanichoma na kuniunguza moyoni!!!
Zahra alikuja akamsalimia Farid...
"Asalam aleykum"
"Waleyka msalamu"
"Zahra huyu ni rafiki yangu anaitwa Farid!"
Tulikaa tukaanza kupiga stori za hapa na pale kisha Farid alizama chini ya maji aliporudi alirudi na matunda kama ya duniani!
"Eehh!nanasi Farid umetoa wapi!?"
"Kuna bustani huku chini ya maji!"
"Natamani kuiona!"
"Usjali kesho kama ukija tena ntakupeleka!"
Basi tulipiga stori nyingi Kisha si tukamuaga kukaondoka!
Ucheshi wa Farid ulinifanya nianze kumuona Jabir kama katili maana alikuwa hana muda hata wa kukaa na mimi!
Muda mwingi alikuwa bize kama hayupo duniani basi yupo sehemu kwa Mambo yao ya kijini!
Nilirudi nyumbani nikiwa na matumaini makubwa sana ya kurejea tena duniani!
Nilimkuta Jabir amekaa kitandani akiwa amenuna hatari aliponigeuzia macho yake,yalikuwa kama yameungua moto.
Yalikuwa meusi halafu yanatoa moshi!!!
Niliogopa nikarudi nyuma nikagota ukutani!

JE UNAHISI KWANINI JABIR KANUNA?AU KAJUA MPANGO WA KIDAWA KUTAKA KURUDI DUNIANI?
 
Nimetupia zakutosha kabisa leo wikiend iii
Samahanini wakuu nilikuwa bize kidogo so am back with the full fact mood enjoy...
haya itaneni sasa m'enjoy hii kitu Ciao!
 
Nimetupia zakutosha kabisa leo wikiend iii
Samahanini wakuu nilikuwa bize kidogo so am back with the full fact mood enjoy...
haya itaneni sasa m'enjoy hii kitu Ciao!
santeee nimeenjoy sana
 
Back
Top Bottom