Simulizi ya kweli....SHANGA YA BIBI ILIVYONIPA UMAARUFU!! (season 2)
Msimuliaji............... KIDAWA
Umri................18+
Sehemu ya 7
Tulipoishia....... Kidawa kafika kwenye ulimwengu wa majini,,Jabiri kampeleka nyumbani kwao lakini akiwa bafuni anagundua kuwa shanga zake hazipo!!!!
Songa nayo..
"Unaitwa nani Malikia?",aliniuliza mmoja wa wale majini waliokuwa wananiosha!.
"Ki...ki..Kidawa!",nilijibu kwa uoga maana nikiangalia zile kwato roho nahisi inachomoka bila ganzi!!
"Wewe ni binadamu?"
"Ndiyo!"
"Hata usiogope sisi sio majini wabaya,ukoo wetu ni wa majini safi kabisa!!"alisema mmoja wapo ambaye ndiye aliyenichangamkia kuliko wote!
"Duniani kuzuri eeh!"
Aliniuliza Ila safari hii sikumjibu kitu,maana niliona ananikejeli maana naskia majini yanakuja duniani kila siku halafu saivi ananiuliza duniani kuzuri kama hajawahi kufika kuzuri hiyo Kwiyo.....
Waliniogesha wakanivalisha nguo ambazo zilinifanya nizidi kuonekana mrembo zaidi!!
Walinitengeneza nywele kwa staili ambayo kwa kweli sijawahi kuona,naweza sema wao walikuwa wataalamu sana kwenye sekta ya urembo!
Kidawa nilinoga haswa,mpaka leo natamani ningeenda na simu yangu nikapiga picha ujinini,ningeposti dunia ingesimama hii!!
Walinichukua hadi chumbani ambako walinitengeneza zaidi mpaka nikauliza kulikoni mbona napambwa sana!
"Imetosha jaman mbona mnanipamba Sana!"
"Leo ni siku kubwa kwako na kwetu pia!"
"Unamaanisha nini?"
"Unafunga ndoa na Jabir!"
Ndipo nikaelewa kumbe maandalizi yote yale ni kwa ajili ya ndoa!!
Baada ya maandalizi kukamilika walikuja wanawake wawili kunichukua na kuniongoza kwenda kwenye ndoa yenyewe,ndoa ya kijini!!
Nilifikishwa mpaka kwenye ukumbi mkubwa,ndani kulikuwa na kila sura zenye kutisha!
Jabir alinisogelea akanipeleka hadi mbele kabisa ya ukumbi kule kulikuwa na mwanaume mmoja ambaye alikuwa amevikwa taji!
"Huyu ni baba yangu na yule pale aliyekaa pembeni yake ni mama yangu!"
Ilitaka moyo sana kuvumilia sura zile,Ila sijui nilitoa wapi roho ya ujasiri.
Nilisogea nikamsalimu baba yake Jabir ambaye alionekana kufurahi sana uwepo wangu pale!
Nilimsalimu na mama mkwe wangu wa kijini kisha tukaketi!!
Baadae tulisimama Kisha baba Jabir akatushikisha mikono Kisha akatufungisha ndoa ya kijini!
"Ndoa tuliyoisubiri imetimia,sasa hakuna shaka Jabir ametimiza yale tuliyomwambia kilichobaki tusherehekee!",aliongea baba yake Jabir kisha wote wakaitikia!!
"Ayaweee!!ayaweee!!,kisha akaendelea.
"Leo natoa ruhusa kwa ukoo wangu kwa wale ambao hawajawahi kwenda duniani na waliowahi kwenda,leo muende mkasafishe macho ila tu msifanye vurugu wala kuua mtu leo ni siku ya furaha!!"
Majini wale walipiga kelele kwa nguvu baada ya hapo mmoja baada ya mwingine wakaanza kupotea ukumbi ukabaki mweupe!!!
Cha ajabu nikawaona pia wazazi wangu!Walikuwa wamekaa wakionyesha kufurahia sana ndoa yangu na hata sikujua wamefikaje kule!
"Jabir wazazi wangu wamefikaje huku?"
"Tumewaleta na nguvu za kijini,hapo kule wamelala ila watakuwa wanaota ndoto kuwa unafunga ndoa,wakiamka watajua ndoto Ila kumbe ni kweli!"
"Mmmhh!!"
"Usigune baby,binadamu mnakujaga sana huku ujinini bila kujua,na pia wachawi wanawachukuaga sana kwenye shughuli zao,mfano umelala ukaota unakula nyama kumbe wanakulisha nyama za watu!!"
Akatokea mwanamke mmoja mwenye asili ya kiarabu akasogea hadi nilipokuwa nimekaa na Jabir,ikabidi stori ikatishwe!
"Sabrat!!",aliita Jabir
"Jabir hongera sana!"
"Kidawa huyu ni rafiki yangu,yeye anatokea ukoo wa majini mabaya yanayoua watu,ila yeye tu kaamua kubadilika!"
Nilianza kumuogopa yule dada mambo ya kuuwana tena!
"Halafu kingine sijakwambia,huyu sasa ndiye Kidawa duniani ,anaishi kuendeleza pale ulipoachia!!"
Kauli ile iliniumiza nikajikuta machozi yananitoka maana hapo tu nilishaanza kupamiss duniani!!
Masaa yalikimbia,tukarudi kwenye jumba kubwa la kina Jabir.
Kulikuwa na ukimya sababu majini wengi walipewa ofa ya kwenda duniani.
Najua siku hiyo watu walikutana nao na kulala nao sana,sio kwenye kumbi za starehe au popote!
Majini wengine wanafikiaga hadi hatua ya kujipanga kwenye kundi la madada poa ili tu wapate bakora!
Tuliingia chumbani,chumba kilikuwa kimepambwa kwa nakshi nakshi nzuri za pwani!
Kilichonishangaza ni mazingira ya chumba kile,yalifanana sana na kile chumba ambacho nilikuwa naota nafanya mapenzi na Jabir!
"Karibu mpenzi wangu,najua hapa sio mgeni!"
Nilijikuta nina hamu ya kufanya mapenzi,yani hadi uchi ulilowana sijui ndiyo nyege ama ni nini?
Jabir alinisogelea akanikumbatia huku ananipapasa!
Alianza kunivua nguo moja baada ya nyingine,hatimaye nikabaki na chupi tu!
Ghafla nikakumbuka sina shanga yangu ikabidi nimuulize Jabir!
"Jabir mpenzi shanga yangu siioni!!"
"Huku haitakiwi shanga yako utaikuta duniani!"
Jabir alianza kucheza na mwili wangu ambapo alinigusa sehemu ambayo sikuwahi kujua kama nikiguswa hapo nachanganyikiwa kabisa!
Alinilaza chali kisha ulimi wake ukaanza kutembea kwenye uti wa mgongo!
Nilihisi joto,ubaridi na utamu kwa mbali!!
Tangu niyajue mapenzi sikuwahi kufanyiwa romance kali vile!!
Ulimi wake ulikuwa mwimba mwilini mwangu,ukayaamsha maruhani yangu!!
Nguvu ziliniishia pale ambapo ulimi wake ulianza kunigusa kwenye maungio ya mguu na paja,yaani pale nyuma ya goti!!
Jamani ivi ulishapitishiwa ulimi hapo nyuma ya goti??😋
Kama bado jaribu leo!!
Baada ya maandalizi makali Jabiri alimshika jogoo wake ili amfungie bandani!
Banda lilishalowa na utelezi wa kutosha,jogoo wake mkubwa aliyagusa mashavu ya uchi wangu,akaanza kuzama na manyoya yake taratiiiibu!!!
JE NINI KITAENDELEA?NINI HATIMA YA KIDAWA UJININI?NA VIPI SABRAT NA JOHN? USIKOSEEEEEE