Simulizi:The President and I(Mimi Na Rais)

Simulizi:The President and I(Mimi Na Rais)

Kumbuka
Endapo tutaendelea kuhuwianisha yaliyomo ndani ya simulizi na mazingira halisia tutakuwa tunavunja sheria za nchi.Ikumbukwe kwamba Hii ni simulizi
Na tuache kutaja majina ya watu wanaotambulika kwenye jamii zetu. Tukiendelea hivyo huenda ikawa na ......ending of Presdent and I.


Sent using Jamii Forums mobile app
I asecond you bro,
sio busara kuhuisha yaliyopo kwenye riwaya na mambo ambayo mtu aliwahi kuyasikia au kuyashuhudia.
 
Dahhh huyu mtunga hadithi huko anapo ipost amejihakikishia kwamba yupo salama kweli !!?
Kule kuko salama kabisa, cha msingi hapa msitaje jina la mtu jamani hata kama story inaendana na mazingira fulani......wengine tumeanza kujuajua kikorea [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]. Stay tuned on Wednesday......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda kusisitiza..."Kuhusisha jina la mtu yeyoye aliyopo ndani ya URT na mazingira ya hadithi hii ni kosa " hivyo tuendelee kuziheshimu sheria za nchi japo hadithi nayo ina mautamu ndani yake ambayo yanaweza kukufanya usome kurasa zaidi ya mia kwa siku.
Poleni sana ndugu wafuatiliaji naahidi hatutawaangusha pindi mzigo unatoka hapo hapo tuna pest kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom