Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,775
- 3,593
Mzigo tunasoma kumaliza🤣 tuma kidg basj3 mpaka j5 niko bize sana ndio maana nimetuma vipande vingii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]UTABIRI WANGU.
Edna atakufa na atauawa na baba ake Jeremy.
Roma atamuua Athena akisaidiana na Omary .
Roma atamuoa Najma.
bisheni nimekaa pale niiteni Achraf Hakim
akifa edina itakua mwisho wa story, maana ndio sterlingUTABIRI WANGU.
Edna atakufa na atauawa na baba ake Jeremy.
Roma atamuua Athena akisaidiana na Omary .
Roma atamuoa Najma.
bisheni nimekaa pale niiteni Achraf Hakim
Rubish... Usijifanye unajua sana kutabiri wewe soma kama huwezi kutoa hata pongezi nyamaza tu. Ujuaji hauna ishuUTABIRI WANGU.
Edna atakufa na atauawa na baba ake Jeremy.
Roma atamuua Athena akisaidiana na Omary .
Roma atamuoa Najma.
bisheni nimekaa pale niiteni Achraf Hakim
Mkuu acha kuteseka njoo whatsap kule hii haitabiriki na tuko mbali sana nowUTABIRI WANGU.
Edna atakufa na atauawa na baba ake Jeremy.
Roma atamuua Athena akisaidiana na Omary .
Roma atamuoa Najma.
bisheni nimekaa pale niiteni Achraf Hakim
Umefeli...UTABIRI WANGU.
Edna atakufa na atauawa na baba ake Jeremy.
Roma atamuua Athena akisaidiana na Omary .
Roma atamuoa Najma.
bisheni nimekaa pale niiteni Achraf Hakim
Huyu sio mtabiri ni mganga njaa . Edina atakufaje wakati kaliwa mara moja tu!akifa edina itakua mwisho wa story, maana ndio sterling
kupunguza kupost nikutokana na majukumu kesho tutapostKwa maana kwa wiki mara moja sasa! Daaah! singanojr hapa unachemka ndugu! Hii itakupunguzia sana wateja huko whatsapp! Majority ya wateja wako huko whatsapp wametokea hapa jf! Angalia trend ya wafuatiliaji humu wanavyopungua ndio na huko hawajitokezi wengi! It is a piece of advise! The more you post here the more you gain new customers whatsapp. Samahan lkn
Ahsante in advance
Asslaym alleykum ustaadh singanojr ! Tunamshukuru Mungu tumeifikia kesho ya jana! Ambayo ni leo! Vp mkuu umebanwa sana na majukumu? Au sasa hivi ndo unaandika utupostie? Pole na majukumu mkuu
Kwani jamaa hauna mengine ya kufanya. Jenga nchi!!! Utashinda ukidraw attention yake lakini niko sure ataona maandishi yako ya vilio atakapomaliza ya kwake. Wacha kulilia pipi mwenzangu.Bado tu huyu mkuu haja log in ? Uwii hii arosto itanitia wehu kabisa