Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

Nimekuta vjana wajuaji wanapga story za freemasons na illuminati wanakajichanganya bro changia chochote ..nmewaacha midomo wazi kwa kutumia detail za story..bhas wanahc bro n mjuzi wa mambo kumbe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwandishi wetu msikivu singano.kwa leo mapumziko tunakuomba uwiwe ata utupostia ep.kadhaa.
 
Singano pole na majukumu,nakubali sana kazi zako,hii simulizi Kuna kipindi ilikuwa nikiikosa nakosa amani kabisa,nafikiri Mimi ni mmojawapo wa mwanzo kununua,lakini kwangu naona inaanza kukosa ule mvuto wa mwanzo,hata nikiikosa mwezi naona kawaida tu,nafikiri steringi roma anapoteza mvuto,ngono zimezidi kuliko action!
Kiujmla simulizi ni love fantasy zaidi, kuliko espionage.
 
Back
Top Bottom