Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

Kwa walio katika group la whatsapp wangetupia muendelezo kwa niaba ya singanojr manake aliahidi mwenyewe kutupia leo!
 
Watu bwana sijui wanaelewaje mambo. Mtu kasema ijumaa, wewe unakuja kuanza kulalamika leo. Kwani alisema ni ijumaa ipi? Kama alisema ijumaa ya wiki ijayo, au ijumaa ya mwisho wa mwezi au ijumaa ya mwisho kabla ya mwaka kuisha au ijumaa ya tar 15 mwezi wa pili. Ijumaa ziko nyingi so endeleeni kusubiri
 
Wenzako tuko mbali sana na hii kitu
 
Hhhh, hii imeenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…