Alez von lumor
JF-Expert Member
- Nov 4, 2023
- 516
- 1,474
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani amesema ijumaa hii?Friday ishafika kinachofuata hapa ni muendelezo bro singanojr au sio man
Kweli kabisa,vipande zaidi ya 600 mtu kasoma bure halafu unatukana sio ustaarabu hata kidogo,ukiona anakuudhi Susa kusomaKiukweli hata mimi nlipata taabu kidg mwanzon lakn toka nmeelewa lengo/dhamira ya mwandishi, imenibd niwe tu mwelew Bila kuchukia Bila kinyongo
Yeah man this Friday
Copyright itahusikaKwa walio katika group la whatsapp wangetupia muendelezo kwa niaba ya singanojr manake aliahidi mwenyewe kutupia leo!
Mwamba last seen ni 22 minutes agoKwa walio katika group la whatsapp wangetupia muendelezo kwa niaba ya singanojr manake aliahidi mwenyewe kutupia leo!
,🙏🙏🙏🙏🙏🙏Kweli kabisa,vipande zaidi ya 600 mtu kasoma bure halafu unatukana sio ustaarabu hata kidogo,ukiona anakuudhi Susa kusoma
Sasa ikiisha tutasoma nini...ngoja twende nayo mdogo mdogo hivi hiviHii Riwaya haijaisha tu?[emoji23][emoji23]
Wenzako tuko mbali sana na hii kituIla Singano(kongole kwake) anaonekana ana story tamu sana akiifikisha hii mpaka mwisho itabidi ninunue story zake nyingine alizonazo ili nisome kwa muda wangu na spidi ninayoitaka. Kiukweli sipendi na ninaudhika na watunzi wasiofikisha story zao mpaka mwisho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Imeshafika 970 sasaKweli kabisa,vipande zaidi ya 600 mtu kasoma bure halafu unatukana sio ustaarabu hata kidogo,ukiona anakuudhi Susa kusoma
Hhhh, hii imeendaWatu bwana sijui wanaelewaje mambo. Mtu kasema ijumaa, wewe unakuja kuanza kulalamika leo. Kwani alisema ni ijumaa ipi? Kama alisema ijumaa ya wiki ijayo, au ijumaa ya mwisho wa mwezi au ijumaa ya mwisho kabla ya mwaka kuisha au ijumaa ya tar 15 mwezi wa pili. Ijumaa ziko nyingi so endeleeni kusubiri
😂😂