Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Damn it! Hades 6000 imeanza lini??ni 6000
Ashaona idadi ya wanaoipenda inaongezeka na vile tunavyoulizia akichelewesha bas bora atobolee hapo hapo.Damn it! Hades 6000 imeanza lini??
Daah wengine tunaishi na 4000 kwa siku, jero asubuhi, buku jero mchana, buku jero nyingine usiku alaf jero inayobaki tunaunga bando la kuingia JF kusoma riwaya na mengineyo kupunguza stress za ugumu wa maisha ila mwamba kaona 3000 haitoshiAshaona idadi ya wanaoipenda inaongezeka na vile tunavyoulizia akichelewesha bas bora atobolee hapo hapo.
Damn it! Hades 6000 imeanza lini??
Damn it! Hades 6000 imeanza lini??
😂😂Hakuna kutoa hela hapaShida yenu mnapenda vya bure
Wewe ni mpare?😂😂Hakuna kutoa hela hapa
Hapana mkuu mie ni mtz tu anayegoma kulipia storyWewe ni mpare?
Hapana mkuu mie ni mtz tu anayegoma kulipia story
mkuu tunaonba muendelezo alosto inaleta depreasion [emoji855]Mwandishi bwege ila unamfuatilia wahi idara ya tiba ya akili
Na mkilipia Mnaachwa njia panda maana sisi tunaolipia kule whatsapp tunagombana naye kila siku, stori haijaisha na mwendolezo ni wa kusuasua jamaa hakosi sababu na akitoa ahadi hatekelezi kamwe.Kwa wale tusio lipia, tusilalame Sana tukubali tu na yatupasa tuwe na subra maana hatuna namna nyingine
Clelia Allisanto ndio Athena mwenyewe huyo Demu mwenye ukwasi ni Doris rafiki wa rafiki wa AthenaKuna wahusika wengine hadi nimeshaanza kuwasahau ikiwemo Clelia Allisanto, wale wazungu majirani wa msaidizi/ mke mwenza wa Edina yule alokuwa na black card ya benki. Halafu kaanzisha story nyingine wakati hii bado episodes Kama 200 hivi ndo iishe. Maana kule group walishafika ep700+ na bado gaijaisha.
Kuipita dhiki! au ndo ile stage aliyoipitia romaNa mkilipia Mnaachwa njia panda maana sisi tunaolipia kule whatsapp tunagombana naye kila siku, stori haijaisha na mwendolezo ni wa kusuasua jamaa hakosi sababu na akitoa ahadi hatekelezi kamwe.
So ukitoa buku 6 utapata vipande kadhaa then ukitufikia tulipo unaungana nasi kwenye kuipita dhiki.