Simulizi ya Kijasusi: Salamu Kutoka Kuzimu

Safi Sana mkuu haya ndio mambo napenda kwa kweli.

Lete yoyote tu mkuu kwangu ni sawa sababu nilisha zisoma zamani ila sichoki kurudia burudani hizi.
 
Natamani story inayofuata iwe ni mwendelezo wa joram na nuru ili kujua huo utafiti wa hio sumu na nadhani itakuwa international harakati
 
endelea kufuatilia, utakutana na Joram ktk hizi mpya
 
Back
Top Bottom