Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

Issue inakuja utakapoanza kununua coins itakupasa uendelee kununua mpaka mwisho wa simulizi kwakuwa huwezi kuja jukwaani apa na kusoma free version au itakupasa usubiri mpaka muendelezo utakapofika episode uliyoishia kwenye fasihinet, itapendeza mwandishi akimalizia utunzi wake na kuuza kwenye softcopy au hardcopy sisi wengine walala hoi hatuwezi kulipia fasihinet mpk simulizi iishe tutawalaza watoto njaa, All in all kigongo ni kikali kongole kwako singanojr
Mkuu suala la umeme kibongo kuna maeneo unasumbua hasa kwa sisi tunaokaa wilayani... mwendelezo sasa hivi unatoka wiki nzima kasoro jpili tu... Zaman ilikuwa ni maratatu kwa wiki.ukilinganisha na ugumu wa kuandika najitahidi sana
 
Nimelipia tangu jana mwandishi kimya!
 
Kwenye group la singanojr michango na maoni ni kama wadau wameanza kupotezea.

Ogopa kimya Cha wateja wewe
 
Nimelipia tangu jana mwandishi kimya!
Ukilipia bila kuniambia siwezi kufahamu mkuu bila kunitaatifu. Tunahudumia watu mpaka saa nane usiku wapate sarafu zao wewe unakosaje sarafu??
 
Mkuu kwa nini hata watu wa fasihinet unawafanyia figisu, huwapi miendelezo? Umeme hauma tabia kama unayotoa
Madai yako hayana mashiko... mwendelezo unatoka kwa ratiba mkuu ...Wanaofuatilia mwendelezo tunaenda sehemu 362
 
Sisi wateja wako wa humu jukwaani, tuliokuwa naww since begin, ndo ushatubwaga!
mwacheni aende tu wa nini kumlilia,ni kweli jamaa tumetoka nae mbali ila yeye amesahau jinsi member humu tulimkuza jina na yeye kufahamika hapa jamvini kwa wengi wetu kumsoma na kumfollow lakini sasa ndoivo katupa jongoo na mti wake.. japo tunaelewa kuleta muendelezo ni hiyari yake tu akipenda na siku atakapo jisikia basi atapost tutasoma..kwa sasa tupo tunamsoma FEBIAN BABUYA asidhani eti ametukomoa.!
 
Toa sapoti mkuu hata ya 200 tu kwa mwandiehi follow na likes hazimpi hela yoyote mwandishi ... Waandishi wengi walishaacha kupost simulizi humu jukwaani kwasababu hakuna faida. Umesoma simulizi zangu zaidi ya episodes 1000+ plus ila ndio unadhani sina Shukran... Wanaonisapoti wanajulikana mkuu sio lazima waweke maoni yao hapa au kuongea sana. Subiri ya BURE ikitoka utasoma
 
Ila mkuu jaribu kupunguza kidogo bei ya coins kwa maana episodes ni nyingi mno. Mpaka usome umalize unaweza kutumia zaidi ya 60K
 
Nunua nyingi mkuu kuanzia...6000 tu unapata coins 80
 
mwacheni aende tu wa nini kumlilia,ni kweli jamaa tumetoka nae mbali ila yeye amesahau jinsi member humu tulimkuza jina na yeye kufahamika hapa jamvini kwa wengi wetu kumsoma na kumfollow lakini sasa ndoivo katupa jongoo na mti wake.. japo tunaelewa kuleta muendelezo ni hiyari yake tu akipenda na siku atakapo jisikia basi atapost tutasoma..kwa sasa tupo tunamsoma FEBIAN BABUYA asidhani eti ametukomoa.!
Kwa hiyo mkuu wewe ni mtu wa slope mwanzo mwisho? Hata kulipia coins hutaki,Ili mradi aweke hapa Free???

Sio sawa. Kuna simulizi ya mtu mmoja ukiisoma ikiisha unaathirika, ni hizi za bure.
 
Nafikiria tu kwamba ikiwa mwandishi huu kama mradi wake. Arefushe vipande vyake, na walau vipande vitatu. Lakini asiviprolong na Hadith za kurefuuuusha Ili kipande kiwe kikubwa.
 
Kitu kinachonochekesha kwenye simulizi za singano ni, humu JF penyewe kuna simulizi nyingi sana. Kama sijazichagua kwa nini kwenye group la simulizi zako utuletee simulizi za watu wengine.
Ratiba ikitakiwa wewe unapotezea tuwekewe simulizi wengine sio hako kabisa.
Vipaji vyenu mnapenda kivipigia deki singano. Mtu akikuchagua wewe, Hana maana hajaona wengine.
 
Back
Top Bottom