Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

Attachments

  • Screenshot_20250507-212133.jpg
    Screenshot_20250507-212133.jpg
    264.9 KB · Views: 77
Umesemaje hapo? yaani umekaa mwezi mzima unasubiri vya bure!
Kipind amekuja kuweka story si aliweka kwa moyo mmoja na akawa anajua kama kuna wa kwny forum na kwny group au Kama huku hataweka tena ni Heri angetuambia sasa. Usiwe una attack watu bila kujua unafkiri kwamba tumekosa hela ya kulipia au
 
Kama aliamua yeye mwenyewe kuiweka hapa kwa moyo mmoja,

Anaweza kuamua vile vile kuacha kuiweka kwa moyo mmoja muda na wakati wowote,
Kama una hela kanunue kule, km hauna kaa hapa kwa kutulia usubiri hisani ya mwandishi ila acha kufanya km unamdai broo.
 
Kungekua na option ya kutuma voice note kidogo mwandishi angeelewa😐
Ngoja tuwe wavumilivu tu...
 
Kungekua na option ya kutuma voice note kidogo mwandishi angeelewa😐
Ngoja tuwe wavumilivu tu...
 
Back
Top Bottom