mbwangali
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 3,260
- 5,778
PoleArosto kila mahali kaka
PoleArosto kila mahali kaka
Mm nikiwa na arosto naenda huko Kwa Sasa Kwa 1000 unapata safaru 10 ambazo unaweza kuzitumia kusoma ep 5. , soma maelezo Kuna namna ya kulipa Kuna namba zimewekwa na ufafanuzi wa Nini Cha kufanya nje ya kubofya BUY NOW.samahani wakuu. Hivi huko fasihinet wanauzaje sarafu. Mimi nikibonyeza pale palikoandikwa BUY NOW hakuna mabadiliko yoyote
kibaya huku congo hatutumii shilingi ila twatumia congolese francsMm nikiwa na arosto naenda huko Kwa Sasa Kwa 1000 unapata safaru 10 ambazo unaweza kuzitumia kusoma ep 5. , soma maelezo Kuna namna ya kulipa Kuna namba zimewekwa na ufafanuzi wa Nini Cha kufanya nje ya kubofya BUY NOW.

Umejaribu kutuma imekukatalia? Kwasb pesa SI ipo kwenye sim card yako au ?kibaya huku congo hatutumii shilingi ila twatumia congolese francs
Mbona free imeisha mapema sana jamani wengine hata hatujasomaTembelea leo kuna vioande vya bure
Shukrani sana singano Ubarikiwe!!free haijaisha mpaka sehemu 206 ni bure
@singanojr msaidie huyukibaya huku congo hatutumii shilingi ila twatumia congolese francs
(Previous)Kuke fasihinet .Namba zipo mkuu ...Simulizi inaenda kasi leo sehemu ya 308
nenda huko hasihinet mambo ni mubasharaHuku kashatususia
Uko nako kaishia 206 tangu week iliyopta bado hajaunlock muendelezonenda huko hasihinet mambo ni mubashara
ufunguo na hela yakoUko nako kaishia 206 tangu week iliyopta bado hajaunlock muendelezo