singanojr
JF-Expert Member
- Sep 24, 2020
- 2,156
- 10,889
(sorry me siyo mzuri kwenye kuandika) vifurushi nimeviona ndiyo, lakini nikigusa batani ya ''buy now'' hainiletei majibu. Naomba kama inawezekana kulipa direct kwenye hi no bila kupita huko, basi nifanye hivo.Chagua bando unalotaka , kisha lipia direct kwenda namba 0743015453 kisha nitumie message na hip namba kwamba umelipia kiasi kadha ,ambatanisha na username
Sawa fanya hivyo(sorry me siyo mzuri kwenye kuandika) vifurushi nimeviona ndiyo, lakini nikigusa batani ya ''buy now'' hainiletei majibu. Naomba kama inawezekana kulipa direct kwenye hi no bila kupita huko, basi nifanye hivo.
Hapa hapa jukwaaniwapi
Sema ungeweka nq 203 ingependeza mkuu....maana weekend ndefu mvua nyingi mnoSehemu ya 201 mpaka 202 ni bure
Kaka, ungeweka tu! Maana wengine huwa tunairudiaga story hata mara tano mara sita! Maana ndo starehe yetu. Stor zako nyingi ukisoma juu juu unamiss content nying sana! Kwahio huwa tunakuwaga tuna ifuatilia detail after detail.Hata nikiweka hapa itwakuwa marudio .Wengi washasoma vipande nilivyoweka Bure kwenye Fasihinet
Yule ni kichaaKila nikitaka kustua namuogopa Nyakasura na moto wake 😂
Nenda fasihinet mkuu huko mambo mubasharaNin kinaendelea ndugu Sngano? Uzi upo silence sana
Arosto kila mahali kakaNenda fasihinet mkuu huko mambo mubashara