Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

kwa wale ambao mnataka kusoma muendeleo na hamtaki kujiexpose id zenu , jiunge na nickname id kwenye fasihinet , kisha lipia kwa njia ya wakala namba 0687151346 kisha nitumie meseji pm.... nitaandaa utataribu muendeleo uendelee kutoka hapa
 
Mkuu kwa hapa huendelei tena?
 
Mpaka nimesahau hii simulizi.
Mambo ya fashnet sijui coin vimegoma kueleweka kwangu.

Ila poa haina taabu naondoka.
Mbona iko simpo tu mkuu hujaamua tu kuielewa sema coin zinatembea Sana😀😀 ukiweka ten unasoma ep kadhaa na inaishia patamu unatamani kuendelea na unaona kabisa simulizi bado mbichi hivyo utahitaji coin zingine nyingi ili uendelee kufaidi
NB Kizuri Gharama
 
Ni kweli ila kwa upande mwingine inaumiza sana wasomaji imagine vipande 356 ukilipia 1500 coins 15 kipande 1 = 2coins it means vipande 356 = 712coins ni hela nyingi though tumesoma for free zaidi ya vipande 100+ unyama sana kwa mtunzi 🚀 ila kwa mawazo yangu kama hakuna uwezekano wa kununua kitabu kizima basi kuwe na promotions maybe mtu akispend 10k kwenye simulizi moja ya singanojr kuwe na unlock ya chapters kadhaa kama rewards ili kupunguza gharama kwa wasomaji maana simulizi zake ndefu sana mwamba
 
Mkuu kwa hapa huendelei tena?
Ni Bora nisubiri hapa. Unanunua coin. Unakaa nazo. Muandishi anaahidi. Haleti muendelezo, snatoa excuses za kusadikika, Siku ajaribu yeye aahidiwe kitu, apigwe kesho kesho kesho kesho atafurahi. Unaposingizia umeme sio sawa

Nimeamua kuondoa hiyo sober niwe Kawa. Sometimes it's better nitafute kitu ingine kuliko huu upuuz
 
Issue inakuja utakapoanza kununua coins itakupasa uendelee kununua mpaka mwisho wa simulizi kwakuwa huwezi kuja jukwaani apa na kusoma free version au itakupasa usubiri mpaka muendelezo utakapofika episode uliyoishia kwenye fasihinet, itapendeza mwandishi akimalizia utunzi wake na kuuza kwenye softcopy au hardcopy sisi wengine walala hoi hatuwezi kulipia fasihinet mpk simulizi iishe tutawalaza watoto njaa, All in all kigongo ni kikali kongole kwako singanojr
 
Unaweza ukakaa na coins za 4000 mwaka nzima.

Huku unajua mtunz huku unashughuli ingine ngumu sana kuinvest humo
 
Ni kweli ila kwa upande mwingine inaumiza sana wasomaji imagine vipande 356 ukilipia 1500 coins 15 kipande 1 = 2coins it means vipande 356 = 712coins ni hela nyingi though tumesoma for free zaidi ya vipande 100+ unyama sana kwa mtunzi [emoji573] ila kwa mawazo yangu kama hakuna uwezekano wa kununua kitabu kizima basi kuwe na promotions maybe mtu akispend 10k kwenye simulizi moja ya singanojr kuwe na unlock ya chapters kadhaa kama rewards ili kupunguza gharama kwa wasomaji maana simulizi zake ndefu sana mwamba
Ukinunua coins nyingi kwanzia 15000 unanunua moja kwa shilingi sitini tu .... pia kwa wale walionunua coins mara kwa mara nawapa ofa mpaka coins 50+
 
Issue inakuja utakapoanza kununua coins itakupasa uendelee kununua mpaka mwisho wa simulizi kwakuwa huwezi kuja jukwaani apa na kusoma free version au itakupasa usubiri mpaka muendelezo utakapofika episode uliyoishia kwenye fasihinet, itapendeza mwandishi akimalizia utunzi wake na kuuza kwenye softcopy au hardcopy sisi wengine walala hoi hatuwezi kulipia fasihinet mpk simulizi iishe tutawalaza watoto njaa, All in all kigongo ni kikali kongole kwako singanojr
simulizi haitopatikana kwa softcopy ..free version zitakuwepo kule kule fasihinet simulizi ikishafika mwisho... unaweza kufollow peji zetu kusoma bure
 
Unaweza ukakaa na coins za 4000 mwaka nzima.

Huku unajua mtunz huku unashughuli ingine ngumu sana kuinvest humo
Coins zako zinakaa milele as long as sio za Bonus ... Sisi tunalipia mfumo kurunza kumbumkumbu za msomaji... pia ukishaunlock chapter yoyote inafunguka muda wote
 
Back
Top Bottom