the maxter
Member
- Mar 31, 2024
- 59
- 24
Sawa kakaPoleni sana kwa ukimya wa kupotea hizi siku mbili. Baadae tunaendelea
See you all.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kakaPoleni sana kwa ukimya wa kupotea hizi siku mbili. Baadae tunaendelea
See you all.
Massive [emoji91] [emoji91]Daaah!! "huoni kama nitakuwa nawakosea heshima Watanzania na wapiganaji wenzangu ambao wametangulia kaburini?" Script hatar
Respect sanaAhsante sana mkuu
Leo mkuu nazimwaga tenaWaiting.....................
Pamoja mkuuSafi sana mwandishi
Waiting..........Leo mkuu nazimwaga tena
Super 💪HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY)
MTUNZI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: thomasibabuya@gmail.com
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
Episode 73
"Inapatikana wapi hiyo nyumba?"
"Ipo Masaki"
"Tugawane hapa, watatu waende kuupeleka huu mwili kwa mheshimiwa na wanne tuwahi haraka sana huko Masaki tuone kama tunaweza kuwahi" wanaume walikubaliana kufanya hivyo kwahiyo watatu waliondoka na mwili wa Dax kwenye kumpelekea bosi wao kisha wanne wakashika njia ya kuelekea Masaki kwa kutumia gari ambayo waliikuta hapo nje kwa Max. wanaume hao walikuwa kwenye mwendo mkali sana na baada ya dakika ishirini tu walifanikiwa kuingia ndani ya eneo hilo na kuanza kuangaza sehemu ambapo wangeipata nyumba ambayo walikuwa wameilenga.
Baada ya kufika kwenye jengo hilo la kifahari walishangaa baada ya kukuta geti lipo wazi, waliingia kwa mahesabu makali sana baada ya kujua kwamba huenda mtu wao alikuwa amewahi eneo hilo tayari. Baada ya kuingia ndani, walinzi wote walikuwa wameuawa kikatili sana kiasi kwamba ilikuwa ni ngumu kabisa hata kuweza kuwatazama.
Wanaume hao waliingia mpaka ndani na kushangaa sana kitu ambacho walikuwa wanakiona mbele yao, chumba kimoja kilikuwa kimefungwa ndani lakini chumba kingine kilikuwa wazi kabisa. Walisogea kwenye chumba hicho na kukuta kimevurugika vibaya sana hali ambayo ilionyesha kwamba muda mfupi ambao ulikuwa umepita mahali hapo hapakuwa salama sana kuna shambulio lilifanyika. Dirisha lilikuwa wazi kabisa hivyo wakapeana ishara wawili wapitie mlangoni na wawili wakapitia dirishani hapo na kutua upande wa pili wakiwa ndani ya kombati zao za jeshi.
Karibu na ukuta wa geti sehemu ambayo ilikuwa na mnazi mmoja na nyasi za gharama sana ambazo zilikuwa zinavutia sana palichakaa kwa damu ambayo ilisambaa hapo hivyo wakaanza kuifuata damu hiyo taratibu kuweza kujua mahali ambapo ilikuwa imeishia na damu hiyo iliwapeleka mpaka kwenye bwana la kuogelea ambapo baada ya kukaribia na kukutana na wale wengine wawili ambao walipitia mlangoni waliona mwili wa mwanamke unaelea kwenye maji hayo.
Walifanikiwa kuupata mwili huo na kuusogeza karibu, ulikuwa umezamishiwa kisu kwenye moyo.
"Huyu mwanamke ndo yule wa kwenye picha, nakumbuka huyu aliwahi kufanya kazi pale Ikulu kama katibu wa mheshimiwa raisi Teodensia Mpanzi, niliwahi kumuona mara kadhaa wakati ule nimekamilisha mafunzo ya ukomando"
"Haiwezi kuwa bure lazima kuna kitu hapa, haiwezekani awe anaua tu watu ambao wanahusaina na tukio lile lile. Mtafute mtoto haraka sana kisha tumtafute kabla hajasababisha matatizo makubwa kwa watu wengine inaweza kuwa hatari sana kama mtu huyu akiachwa aweze kufanya kile ambacho anajisikia yeye" Mwanaume mmoja aliongea akiwa anasimama na kuiweka silaha yake kiunoni na kuinuka lakini alishtuka sana baada ya kuisikia sauti nzito sana kutoka juu ya paa la nyumba hiyo ya mtu ambaye alikuwa na nguo nyeusi na buti zito sana jeusi ambalo lilionekana kwa msaada mkubwa sana wa taa ambazo zilikuwa zimezunguka kwenye kuta za jengo hilo.
"Vipi mnahangaika kunitafuta mimi?" ilikuwa ni sauti ya Max mwenyewe, ilikuwa ni kwa mara ya kwanza watu hao wanaonana na mtu ambaye walipewa kazi ya kumtafuta kwa gharama yoyote ile ana kwa ana na hakuonekana kabisa kutaka kuwakimbia hivyo walipaswa kuzungumza vizuri kati ya Donny na wanaume wa kazi wanne ambao walikuwa mbele yake huku James akiwa hajulikani kwamba kwa wakati huo alikuwa wapi.
Wakati ambao Donny na James walikuwa wanatoka nyumbani kwa Dax walipishana sehemu ndogo sana na makomando ambao walitumwa pale na mkuu a majeshi lakini wnaume hao wawili walikuwa wameacha kamera moja eneo lile ili kujua kile amacho ningeendelea baada ya wao kuweza kuondoka. Zilipita dakika chache sana eneo lile kufikiwa na wanaume saba ambao walikuwa kwenye kombati nzito sana za jeshi na kuwashtua sana watu hao wawili ambao walikuwa kwenye gari kuelekea Masaki nyumbani kwa Dax ambako alikuwa amemficha mkewe na mwanae, mwanamke ambaye miaka kumi na miwili iliyokuwa imepita aliwahi kufanya kazi ndani ya Ikulu naye alichangia pakubwa sana kuiteketeza Ikulu kwa taarifa ambazo alikuwa anampatia mpenzi wake Karistus waweza kumuita Dax au 002 juu ya raisi Teo.
"Wameweza vipi kujua kama wakati huu tutakuwa huku?" Max aliuliza swali lake akiwa anamwangalia James kwa mshangao mkubwa sana.
"Mpaka hapa ina maana wana taarifa kutuhusu au kumhusu mmoja wetu kati yetu. Kwa miaka ambayo nilifanya kazi kama komando nina uzoefu sana na hii hali, makomando hawawezi kutoka kwa pamoja kundi zima au kuagizwa sehemu ambayo hawana uhakika nayo kama ni hivyo basi wanajua jambo ndiyo maana moja kwa moja wameweza kuja eneo lile na kama tungechelewa hata kidogo tu basi walikuwa wanatukuta pale na ingekuwa hatari sana"
"Ooooh shiiiit! James naomba wahi haraka sana nyumbani mimi nikamalize kazi hii kisha sio muda sana narudi nyumbani. Kama wamefanikiwa kujua mahali ambapo tulikuwepo wakati huu kuna uwezekano wakafahamu ni wapi ambapo tunaweza kuwepo. ukifika ondoka na familia haraka kisha mimi nitakutafuta mwenyewe" Max aliongea kama mtu ambaye alishtukia jambo, alihisi kama kuna kosa mahali walilifanya ambalo lilianza kuutambulisha ulimwengu walichokuwa wanakifanya na mahali ambapo walikuwepo.
"Na zile nyaraka?"
"Hakuna mtu ambaye anaweza kuziona nilipoziweka, niache hapa hapa sio mbali na ninapoenda wewe wahi haraka na gari" alishuka kwenye gari kwa kasi ya ajabu na kumpisha komando huyo aweze kuondoka. James aliamua kujitoa kila kitu kwa ajili ya Max, licha ya yeye kuwa komando mkubwa sana kwa maagizo ambayo aliweza kuachiwa alimheshimu mwanaume huyo kama bosi wake kwani ndiye alikuwa mhimu sana kwenye kuukamilisha mpango huo ndiyo maana alikuwa tayari kusubiri kwa miaka kumi na miwili.
Ni kweli James aligeuza gari yake kwa kasi kuweza kuelekea kwenye jumba la kifahari ambalo walikuwa wamefikia, jumba ambalo lilikuwa linalindwa na wanaume kumi ambao aliwatafuta yeye mwenyewe huku mwanaume akienda kuikamilisha kazi yake. Makomando ambao walitumwa kuupeleka mwili wa Dax wakiwa njiani walipiga simu kwa kiongozi wao kumpa taarifa kabisa kwamba mambo yalikuwa yameharibika na mtu wao alikutwa ameuawa na muuaji akiwa ametoweka lakini walikuwa na hisia juu ya eneo ambalo alikuwa anaelekea hivyo kuna wanne walikuwa wameenda huko.
Mkuu wa majeshi alichukizwa sana na taarifa hiyo kwani alikuwa anatamani sana kuweza kupata ujiko kutoka kwa mabosi zake. Aliikata simu hiyo kwa hasira sana usiku huo huo na kumtafuta Denis Kijazo.
"Kiongozi pole sana kwa kukuamsha na usiku"
"Unaweza ukanipa taarifa nzuri bwana Steven"
"Dax amekutwa ameuawa tayari wakati makomando wanafika pale muuaji alikuwa amekamilisha kazi yake na kuondoka"
"Nini?"
"Ndiyo mheshimiwa inaonekana kwamba kuna hatua alikuwa ametuzidi kwenye mahesabu ila kuna mahali saivi anahisiwa kwamba ameenda kuna makomando wanaelekea huko na kama kweli atakuwa huko basi kuanzia nusu saa ijayo atakuwa kwenye mkono wetu"
"Mhhhhh siamini kama wote sasa mnaanza kushindwa kazi ya kumkamata mtu mmoja tu pekee, hii ni aibu kubwa sana. Nakurudia" Denis Kijazo aliongea akiwa amefura kwa hasira maana habari hiyo ilikuwa ni mbaya sana kwake, kijana huyo alikuwa ni mhimu na alikuwa akimtumia kwenye kazi zake chafu sana hivyo kupotea kwake haikuwa ishara nzuri sana kwenye majukumu yake ya kila siku.
Denis Kijazo baada ya kuikata simu yake, aliipiga mahali ambapo aliona ni mhimu sana kwa wakati huo, aliipiga simu hiyo kwa mwanaume ambaye alikuwa anamuamini sana kuliko vijana wake wote. Simu ilikuwa ni kwenda kwa Ted, na wakati anapigiwa simu hiyo mwanaume alikuwa juu ya kiuno cha mwanamke akimwaga radhi za dunia, alikuwa sayari nyingine ambayo huwa inauchukua ufahamu wote wa mwanadamu na kumfanya ahisi duniani aliletwa kwa ajili ya kuifanya kazi hiyo. Mwanaume huyo akiwa anaunguruma juu ya kiuno cha mwanamke ambaye alikuwa amemzalia mtoto mmoja bila mwanamke huyo kujua kama mwanaume huyo alikuwa anamchanganya yeye na mama yake. Huyo alikuwa ni mtoto wa mwandishi Dawson Nduka, mwandishi ambaye alikuwa amejiponza na kuiponza nfamilia yake kwa kuandika mambo ambayo alizuiwa sana kuyaweka hadharani, kuandika kwake kitabu cha MAITI INAYO ONGEA ndiko kulileta majanga yote hayo.
Ted alishtuka sana kwa namna simu ilivyokuwa inaitwa kwa fujo, alitaka kuipotezea lakini aliangalia saa yake na kugundua kamba kwa muda huo mpaka anapigiwa basi kulikuwa na dharura ya mhimu sana hivyo aliisogelea simu hiyo na baada ya kuona namba ya mpigaji alishtuka sana hali ambayo ilimfanya kujifunga taulo na kuibeba simu hiyo kwenda nje akionekana wazi kabisa hakutaka mwanamke huyo aweze kushtukia jambo lolote lile.
"Naam bosi"
"Unawaza ngono tu mpuuzi wewe, nimekupa kazi mpaka saivi hakuna majibu yoyote yale kijana wangu mmoja kafa. Hivi ninavyo ongea na wewe ukiwa unakula starehe zako huko uliko Dax ameuawa muda sio mrefu sikuelewi unawaza nini mpaka sasa. Nakupa masaa kumi na mawili tu huyu mtu awe kwenye mkono wangu"
73 inafika mwisho.
[emoji91]Super [emoji123]
Ahsante sana tajiriHADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY)

[emoji91][emoji91][emoji91]HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY)

🔥🔥🔥🔥🔥HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY)

"Mpaka hapa ina maana wana taarifa kutuhusu au kumhusu mmoja wetu kati yetu. Kwa miaka ambayo nilifanya kazi kama komando nina uzoefu sana na hii hali, makomando hawawezi ku
"Na zile nyaraka?"
"Hakuna mtu ambaye kuziona nilipoziweka, niache hapa hapa sio mbali na ninapoenda wewe even"
"Dax amekutwa ameuawa tayari wakati makomando wanafika pale muuaji alikuwa amekamilisha kazi yake na kuondoka"
"Nini?"
"Ndiyo mheshimiwa inaonekana kwamba kuna hatua alikuwa ametuzidi kwenye mahesabu ila kuna mahali saivi anahisiwa kwamba ameenda kuna makomando wanaelekea huko na kama kweli atakuwa huko basi kuanzia nusu saa ijayo atakuwa kwenye mkono wetu"
"Mhhhhh siamini kama wote sasa mnaanza kushindwa kazi ya kumkamata mtu mmoja tu pekee, hii ni aibu kubwa sana. Nakurudia" Denis Kijazo aliongea akiwa amefura kwa hasira maana habari hiyo ilikuwa ni mbaya sana kwake, kijana huyo alikuwa ni mhimu na alikuwa akimtumia kwenye kazi zake chafu sana hivyo kupotea kwake haikuwa ishara nzuri sana kwenye majukumu yake ya kila siku.
Denis Kijazo baada ya kuikata simu yake, aliipiga mahali ambapo aliona ni mhimu sana kwa wakati huo, aliipiga simu hiyo kwa mwanaume ambaye alikuwa anamuamini sana kuliko vijana wake wote. Simu ilikuwa ni kwenda kwa Ted, na wakati anapigiwa simu hiyo mwanaume alikuwa juu ya kiuno cha mwanamke akimwaga radhi za dunia, alikuwa sayari nyingine ambayo huwa inauchukua ufahamu wote wa mwanadamu na kumfanya ahisi duniani aliletwa kwa ajili ya kuifanya kazi hiyo. Mwanaume huyo akiwa anaunguruma juu ya kiuno cha mwanamke ambaye alikuwa amemzalia mtoto mmoja bila mwanamke huyo kujua kama mwanaume huyo alikuwa anamchanganya yeye na mama yake. Huyo alikuwa ni mtoto wa mwandishi Dawson Nduka, mwandishi ambaye alikuwa amejiponza na kuiponza nfamilia yake kwa kuandika mambo ambayo alizuiwa sana kuyaweka hadharani, kuandika kwak