britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Jinsi janabi alivyo jipenyeza mpaka kuwa daktari wa raisi mambo ya moyo wakati phd yake ni ya research tu, sio clinical(haruhusiwi kuona wagonjwa) inafikirisha sana hii nchi“Simulizi ya Moyo na Koti Jeusi”
Kuna wakati, nchi yenye mwanga wa jua mchana kutwa iliongozwa na mtu aliyekuwa na mtetemeko usiojulikana, mtetemeko wa kifua, lakini pia wa dhamira. Alikuwa na nguvu za ajabu; alilazimika kupiga teke mfumo hadi ukasahau jina lake. Kwa watu wengine, ilionekana kama juhudi ya kuokoa; lakini kwa walioumizwa, ilikuwa ni radi inayowasha moto wa kimya.
Kabla ya kila hatua, alihakikisha kinga iko mkononi, si kinga ya mwili, bali kinga ya utii. Alisafisha uwanja wa wachunguzi na kuweka wasikia sauti tu. Alifikiri ameweka makamu wa amani, kumbe alizima taa na kuacha wengine kuona gizani. Kilichomponyoka ni kwamba walioonekana kusukumwa nje ya ubao, walikuwa wameshachora mchezo mwingine kwenye sakafu ya chini ya meza.
Katikati ya mkanganyiko huo, alikuwepo mtu aliyevaa koti jeupe lakini lililoshonwa kwa sindano za heshima, si taaluma. Mtu huyu alikalia kitanda cha dhamira ya nchi akawa mshika mpini wa pumzi ya yule aliyekuwa juu ya viti vyote. Kila anayegusa kidonda, alikutana na jina la huyo mwenye koti jeupe.
Siku moja, mlio wa mwisho wa moyo ukasikika. Mlango ulipofunguliwa, aliyekuwa nao chumbani ni huyo huyo mwenye koti jeupe. Hapo ndipo vichwa vilipoanza kuinama, lakini si kwa maombolezo, kwa tafakuri.
Miaka ikapita. Jina la mtu huyu likasikika tena, safari hii si kwa tiba bali kwa taji – taji la bara. Aliomba kuvalishwa ushindi wa kiafya wa bara zima. Lakini kaburi la ukweli lilianza kufukua mifupa ya maswali.
Wasomi wakachambua, wakachoma, wakafunua: Koti lake jeupe halikuwa la ushonaji wa darasani, bali la shukrani za mdomo. Vyeti vya taaluma vikaonekana kuwa vya nguo za kukodi – havikupitia mvua ya mtihani. Na kama radi, CV yake ikatoweka kama moshi kwenye tovuti. Ilipoibuka tena, palikuwa hakuna tena alama ya moyo
Britanicca
Zanzibar-ASP“Simulizi ya Moyo na Koti Jeusi”

daktari wa magufuli alikuwa mchembe, kama janabi alipata access huo mchoro ulipangwa na inner circle ya magufuli“Simulizi ya Moyo na Koti Jeusi”

DaaahJinsi janabi alivyo jipenyeza mpaka kuwa daktari wa raisi mambo ya moyo wakati phd yake ni ya research tu, sio clinical(haruhusiwi kuona wagonjwa) inafikirisha sana hii nchi
Aisee...!Kwa hiyo ya Havana hajayasikia mleta mada.Huyo ni mshauri wa lishe ambae alikuwa the main facilitator wa operation pacemaker shut down.