Simulizi ya Moyo na Koti Jeusi- Jamani analia sana

story ina muhusu jemedari wa awamu ya 5 ambae ali sifika kwa ubabe na dhamira yake ya mabadiliko..

jemedari huyu kwa kujua au kuto kujua ali chagua makamu kiwembe, aki amini hata msumbua kumbe hakujua kesho yake.

ina semekana jemedari huyu alikuwa na ugonjwa upande wa kushoto wa kifua, ambapo ghafla kuli ibuka daktari mmoja wa lishe aliye jifanya anao uwezo wa kumsaidia.

usaidizi wa daktari huyu wa lishe uli peleka msiba kwa familia na wapenzi wa jemedari, huku kicheko kiki tawala kwa msaidizi na ndugu zake.

Daktari wa lishe a.k.a the so called cardiac doctor ali zawadiwa uangalizi wa afya wa bara la afrika Kama shukrani, wachunguzi walipo chunguza elimu yake ili gundulika hamna kitu zaidi ya shukrani kutoka kwa msaidizi na wajomba zake Mayor Quimby
Nadhani nimekupata (if not correct me).

Kwa taratibu za medics, hadi kwenda kuwa surgeon sidhani kama unaweza fake process.

Yeah ukisikiliza maelezo yake ya balanced diet yana utata; ni ushauri wa kumpa supermodel kuliko raia anaejaribu kuepuka risk za non-communicable diseases.

Lakini kusema unaweza unga-unga kuwa surgeon hilo gumu kuamini; isitoshe huko halipo CV itakuwa imepita chini ya microscope hawana shaka nayo.

Mwisho kila mwenyekiti ana physician wake, yeye kama aliitwa ni dakika za mwisho kutokana na expertise. Ujinga ni kupaki Air Tanzania Dreamliner ambayo ipo grounded kutokana na uviko wangeweza mrusha popote duniani; bila kuwaachia hawa tia maji tia maji wetu wamwangalie.

But then kazi ya mungu haina makosa.

Swali la msingi what has all this got to do with current politics.
 
Nadhani nimekupata (if not correct me).

Kwa taratibu za medics, hadi kwenda kuwa surgeon sidhani kama unaweza fake process.

Yeah ukisikiliza maelezo yake ya balanced diet yana utata; ni ushauri wa kumpa supermodel kuliko raia anaejaribu kuepuka risk za non-communicable diseases.

Lakini kusema unaweza unga-unga kuwa surgeon hilo gumu kuamini; isitoshe huko halipo CV itakuwa imepita chini ya microscope hawana shaka nayo.

Mwisho kila mwenyekiti ana physician wake, yeye kama aliitwa ni dakika za mwisho kutokana expertise; ujinga ni kupaki Air Tanzania dreamer ambayo ipo grounded kutokana na uviko wangeweza mrusha popote duniani; ila kuwaachia tia tia maji wamwangalie.

But then kazi ya mungu haina makosa.

Swali la msingi what has all this got to do with current politics.
Right Ume nipata vyema,

mwandishi ana koleza kuwa cv ya daktari iliyo wasilishwa katika tovuti ili potea, na ilipo rudi haikuonyesha utaalamu wake katika gonjwa la moyo.

Kuhusu uingiliano wa story ya daktari na siasa za nchi, sijui kwa kweli huenda ni muendelezo wa dokezo kutoka chama cha wazalendo.
 
Huyo ni mshauri wa lishe ambae alikuwa the main facilitator wa operation pacemaker shut down.

“Simulizi ya Moyo na Koti Jeusi”

Kuna wakati, nchi yenye mwanga wa jua mchana kutwa iliongozwa na mtu aliyekuwa na mtetemeko usiojulikana, mtetemeko wa kifua, lakini pia wa dhamira. Alikuwa na nguvu za ajabu; alilazimika kupiga teke mfumo hadi ukasahau jina lake. Kwa watu wengine, ilionekana kama juhudi ya kuokoa; lakini kwa walioumizwa, ilikuwa ni radi inayowasha moto wa kimya.

Kabla ya kila hatua, alihakikisha kinga iko mkononi, si kinga ya mwili, bali kinga ya utii. Alisafisha uwanja wa wachunguzi na kuweka wasikia sauti tu. Alifikiri ameweka makamu wa amani, kumbe alizima taa na kuacha wengine kuona gizani. Kilichomponyoka ni kwamba walioonekana kusukumwa nje ya ubao, walikuwa wameshachora mchezo mwingine kwenye sakafu ya chini ya meza.

Katikati ya mkanganyiko huo, alikuwepo mtu aliyevaa koti jeupe lakini lililoshonwa kwa sindano za heshima, si taaluma. Mtu huyu alikalia kitanda cha dhamira ya nchi akawa mshika mpini wa pumzi ya yule aliyekuwa juu ya viti vyote. Kila anayegusa kidonda, alikutana na jina la huyo mwenye koti jeupe.

Siku moja, mlio wa mwisho wa moyo ukasikika. Mlango ulipofunguliwa, aliyekuwa nao chumbani ni huyo huyo mwenye koti jeupe. Hapo ndipo vichwa vilipoanza kuinama, lakini si kwa maombolezo, kwa tafakuri.

Miaka ikapita. Jina la mtu huyu likasikika tena, safari hii si kwa tiba bali kwa taji – taji la bara. Aliomba kuvalishwa ushindi wa kiafya wa bara zima. Lakini kaburi la ukweli lilianza kufukua mifupa ya maswali.

Wasomi wakachambua, wakachoma, wakafunua: Koti lake jeupe halikuwa la ushonaji wa darasani, bali la shukrani za mdomo. Vyeti vya taaluma vikaonekana kuwa vya nguo za kukodi – havikupitia mvua ya mtihani. Na kama radi, CV yake ikatoweka kama moshi kwenye tovuti. Ilipoibuka tena, palikuwa hakuna tena alama ya moyo

Britanicca
Watu wanaojua wamekua wakihoji kwa nini anatumia tittle ya Profesa? Huo uprofessa aliupatia wapi? Hakuna chuo dunia hii kinachokiri kumpa hadhi hiyo. Na kwa nini watu hawakumsanua namba moja?
 
Na kama radi, CV yake ikatoweka kama moshi kwenye tovuti. Ilipoibuka tena, palikuwa hakuna tena alama ya moyo
Usilete story za vijiweni, muwe mnamalizana hukohuko.......
Hii CV ndio iliyoenda WHO, Phd in Cardiology

1752440230550.png

1752440194157.png
 
“Simulizi ya Moyo na Koti Jeusi”

Kuna wakati, nchi yenye mwanga wa jua mchana kutwa iliongozwa na mtu aliyekuwa na mtetemeko usiojulikana, mtetemeko wa kifua, lakini pia wa dhamira. Alikuwa na nguvu za ajabu; alilazimika kupiga teke mfumo hadi ukasahau jina lake. Kwa watu wengine, ilionekana kama juhudi ya kuokoa; lakini kwa walioumizwa, ilikuwa ni radi inayowasha moto wa kimya.

Kabla ya kila hatua, alihakikisha kinga iko mkononi, si kinga ya mwili, bali kinga ya utii. Alisafisha uwanja wa wachunguzi na kuweka wasikia sauti tu. Alifikiri ameweka makamu wa amani, kumbe alizima taa na kuacha wengine kuona gizani. Kilichomponyoka ni kwamba walioonekana kusukumwa nje ya ubao, walikuwa wameshachora mchezo mwingine kwenye sakafu ya chini ya meza.

Katikati ya mkanganyiko huo, alikuwepo mtu aliyevaa koti jeupe lakini lililoshonwa kwa sindano za heshima, si taaluma. Mtu huyu alikalia kitanda cha dhamira ya nchi akawa mshika mpini wa pumzi ya yule aliyekuwa juu ya viti vyote. Kila anayegusa kidonda, alikutana na jina la huyo mwenye koti jeupe.

Siku moja, mlio wa mwisho wa moyo ukasikika. Mlango ulipofunguliwa, aliyekuwa nao chumbani ni huyo huyo mwenye koti jeupe. Hapo ndipo vichwa vilipoanza kuinama, lakini si kwa maombolezo, kwa tafakuri.

Miaka ikapita. Jina la mtu huyu likasikika tena, safari hii si kwa tiba bali kwa taji – taji la bara. Aliomba kuvalishwa ushindi wa kiafya wa bara zima. Lakini kaburi la ukweli lilianza kufukua mifupa ya maswali.

Wasomi wakachambua, wakachoma, wakafunua: Koti lake jeupe halikuwa la ushonaji wa darasani, bali la shukrani za mdomo. Vyeti vya taaluma vikaonekana kuwa vya nguo za kukodi – havikupitia mvua ya mtihani. Na kama radi, CV yake ikatoweka kama moshi kwenye tovuti. Ilipoibuka tena, palikuwa hakuna tena alama ya moyo

Britanicca
Hii hapa cv yake kamili iliyoenda WHO
Halafu kilaza kama wewe unabwabwaja.....
 
Attachments

Kwa mujibu ya maelezo ya yule mkuu wa vyombo vyote kwamba hali ilivyo kuwa inazidi kuwa mbaya huku mhusika akiomba kurudishwa nyumbani iliongezwa timu ya wataalamu , moja ya wataamu ni huyu alievikwa taji sasa.

Wakati wakuu wakijadili nje ipi iwe ipi hadi kuitwa kwa kasisi , hao wataamu walikua ndani hadi tamati!
Www echi ohooo kutoka bara giza, kunywa soda kwake sumu.
 
Usilete story za vijiweni, muwe mnamalizana hukohuko.......
Hii CV ndio iliyoenda WHO, Phd in Cardiology

View attachment 3405010

View attachment 3405009
Mkuu ukisoma soma hayo maandishi meupe, cardiology lazime uwe na master ya internal medicine au pediatrics. Huyo janabi ana master ya tropical disease.
Hebu angalia MCT kama janabi ameorodheshwa ni daktari wa moyo, hiyo leseni hana.
ndio maana hiyo CV aliifuta kule x walipo ichambua kuwa ni ya kubumba akatoa cardiology
 
Tatizo hapa ni MCT
Imejaa vilaza
Yaani Japan na US ikubali asome kama Cardiologist halafu MCT sijui ya bongonyoso ihoji?
Sasa WHO na X nani anaekuwa na uhalali wa kuhoji?
 
Kwahiyo kumbe huyo kimbau mbau Mzee wa morning fasting ninayo I practice ndio alihusika na RIP ya katto!!?

Kweli Jk alijipanga kutawala akiwa nje ya ikulu!!
Ujinga na kiburi mwisho wake ndio huo..wala hakuna haja kulaumu watu mtu anapogharimu maisha yake sabab ya ujinga wake! unapumbazwa na vitoto vidogo vya kupiga makofi vikanyamaza..
 
Back
Top Bottom