infinix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2018
- 2,096
- 2,150
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!! Nchi hii inaonekana, kama kuna mahali shetani amekaa, basi miguu yake kaiweka nchini mwetu. Kwa nini tuna wenye roho za shetani kiasi hiki???
Mimi sio shekhe Mkuu
Kamanda tuna ngoja kwa hamu....... Itaendelea ......
Sikubaliani na yaliyomkuta Duni Haji. Sikubaliani hata kidogo; nadhani ilikuwa ni busara kama taratibu haziruhusu ajuzwe kwa staha pasi kupugwa. Huo ni ubinadamu.Sometimes Laana inayolikumba Taifa hili inatokana na mambo kama haya , Je mnafahamu kilichompata FFU yule aliyefanya unyama huu ?
Umechanganya mambo mengi yenye uwongo mwingi ndani yake.Sikubaliani na yaliyomkuta Duni Haji. Sikubaliani hata kidogo; nadhani ilikuwa ni busara kama taratibu haziruhusu ajuzwe kwa staha pasi kupugwa. Huo ni ubinadamu.
Oman ni matajiri wakubwa. Part ya utajiri wao ni biashara ya utumwa.
Williamson muasisi wa mgodi wa Mwadui sehemu ya utajiri alipata kwa wizi ikiwemo kiwavua nguo wafanyakazi wa Kitanganyika wakati wa kutoka mgodini kama namna ya kuwakagua wasitoke na Almasi.
Marekani wanapata utajiri kwa wizi na deals za kampuni za majizi yasiyojali haki za binadamu. Refer mauaji ya Lumumba wa Congo na athari ya kimazingira kwa watu na wanyama uliofanywa na mgodi wa North Mara kwa watu wq Tarime.
Angalia uporaji wa Ufaransa wa waziwazi kwa nchi za kiafrika hapa chini[emoji116]
![]()
Ce contenu a été dépublié par la rédaction de Mediapart car il ne respecte pas notre Charte de participation.
Le Club est l’espace de libre expression des abonnés de Mediapart.blogs.mediapart.fr
Laana ya kuwa nyuma kimaendeleo sio kila mara inatupata kwa sababu ya matendo; fuatilia story za wanawake wanaokwenda Uarabuni kufanya kazi za ndani wanavyonyayasika..yet kwa muonekano wa nje huwezi kudhani nchi za Oman, Qatar, Saudia hazina laana.
Unless tuje na tafsiri; laana ni nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana. Hebu tueleze.Sometimes Laana inayolikumba Taifa hili inatokana na mambo kama haya , Je mnafahamu kilichompata FFU yule aliyefanya unyama huu ?
Bado sijaelewa kama ni weekend au vipi , bado sijaelewa ulitaka kuandika niniSikubaliani na yaliyomkuta Duni Haji. Sikubaliani hata kidogo; nadhani ilikuwa ni busara kama taratibu haziruhusu ajuzwe kwa staha pasi kupugwa. Huo ni ubinadamu.
Oman ni matajiri wakubwa. Part ya utajiri wao ni biashara ya utumwa.
Williamson muasisi wa mgodi wa Mwadui sehemu ya utajiri alipata kwa wizi ikiwemo kiwavua nguo wafanyakazi wa Kitanganyika wakati wa kutoka mgodini kama namna ya kuwakagua wasitoke na Almasi.
Marekani wanapata utajiri kwa wizi na deals za kampuni za majizi yasiyojali haki za binadamu. Refer mauaji ya Lumumba wa Congo na athari ya kimazingira kwa watu na wanyama uliofanywa na mgodi wa North Mara kwa watu wq Tarime.
Angalia uporaji wa Ufaransa wa waziwazi kwa nchi za kiafrika hapa chini[emoji116]
![]()
Ce contenu a été dépublié par la rédaction de Mediapart car il ne respecte pas notre Charte de participation.
Le Club est l’espace de libre expression des abonnés de Mediapart.blogs.mediapart.fr
Laana ya kuwa nyuma kimaendeleo sio kila mara inatupata kwa sababu ya matendo; fuatilia story za wanawake wanaokwenda Uarabuni kufanya kazi za ndani wanavyonyayasika..yet kwa muonekano wa nje huwezi kudhani nchi za Oman, Qatar, Saudia hazina laana.
Unless tuje na tafsiri; laana ni nini
Sent using Jamii Forums mobile app
HISTORIA YA MAPINDUZI UNAPOIELEZA CHUKUA NA TAHADHARI KIDOGOsimulizi ya upande mmoja
katika kulazimisha prisoner visitation mahala ambapo sio mahala pa visitation, huwezi jua kwenye sukuma sogea nani kampiga au kamwangusha mwenzie.
askari anastahili siku yake katika mahakama ya maoni ya umma
Soma vizuri historia utajua kuna CIA operative alikuwa Congo kwa jina Frank Carlucci. Jasusi huyu ndiye architect mauaji ya Waziri Mkuu Lumumba. Mobutu alikuwa mtekelezaji na mfaidika wa Urais wa Congo kama fadhila za kumuua mzalendo Lumumba.Umechanganya mambo mengi yenye uwongo mwingi ndani yake.
Kwa mfano umewahusisha US na North Mara wakati Wamarekani hawana mgodi wowote Tanzania. Nadhani ulitaka kuwataja Wacanada. Lakini hata ungewataja hao Wacanada, ukweli ni kuwa siyo Wacanada waliowalisha sumu watu wa Tarime bali ni wananchi wenyewe ndio waliosababisha sumu itiririke kwenye mito na udongo baada ya wao kuiba propylene cover kwa kuikata ili wakatumie majumbani mwao. Nayo pia ni laana sawa na watu wanaokufa kutokana na wizi wa mafuta malori yanapopata ajali.
Kuhusu DRC na kifo cha Lumumba, pia nao ni uwongo. Mabuto ndiye aliyesababisha. Wewe unapofanya mipango na wageni umwue ndugu yako, ni nani mwenye laana kati ya wewe na mgeni uliyemwalika kukusaidia kumwua ndugu yako?
Nakubaliana na hoja yako kuwa sikubaliani na mis-treatment kwa baba wa Duni Haji kama hayo anayosimulia yana ukweli.Bado sijaelewa kama ni weekend au vipi , bado sijaelewa ulitaka kuandika nini
Bahati mbaya yanayowapata baada ya kufanya vitendo hivyo waliowatuma huwa hawahusikiaskari wanaagizwa kufanya wanayofanya, tena wanaagizwa kwa maneno makali, vitisho, kejeri.
sasa askari anakuwa conflict na nafsi yake, ustawi wa familia yake lakini pia mazingira ya kazi. mwisho anapokuja eneo la kazi mengi ufanya kwa kujielewa au kutojielewa
Sent using Jamii Forums mobile app