Simulizi ya Mzee Juma Duni Haji baada ya kupewa kesi ya Uhaini inasikitisha sana .

askari wanaagizwa kufanya wanayofanya, tena wanaagizwa kwa maneno makali, vitisho, kejeri.

sasa askari anakuwa conflict na nafsi yake, ustawi wa familia yake lakini pia mazingira ya kazi. mwisho anapokuja eneo la kazi mengi ufanya kwa kujielewa au kutojielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mafunzo ya askari yanayolazimisha askari kuvunja sheria na kufanya ukatili. Huu ni uongo.
 
Sisi wachache tuliostaarabika tujue kuwa tunaishi katika jamii ya washenzi na wasiostaarabika.

Kustaarabika kwetu na uungwana wetu utawakera wale waliopotoka akili na kukosa hekima, hasa watawala.

Kiongozi asiyejaliwa hekima huwaona anaowaongoza kama mifugo wake, lakini mwenye hekima huwaona anaowaongoza kama hazina ya mafanikio yake.
Swadakta !
 
Sometimes Laana inayolikumba Taifa hili inatokana na mambo kama haya , Je mnafahamu kilichompata FFU yule aliyefanya unyama huu ?
Akili huwa uziacha nyumbani reasoning yao huwa iko chini sana,kuna kaka yangu alikuwa ana shida ya akili na ni bubu sasa ni marehemu amewahi pata dhahama kama hio aliwahipotea akasahau kurudi nyumbani akijiendea ajui aendako akanaswa na hawa jamaa walimpiga sana walimtesa sana tumesaka vituo na vituo usiku kucha asubui tumempata tazara yuko hoi kachomwa Sana na vipisi vya sigara eti aongee anajifanya bubu tulihuzunika Sana wakatuomba msamaha eti walijua sio bubu.Vitu kama hivi uleta chuki kwenye jamii,we unaona huyo ni mzee unashindwa tumia reasoning.
 
Hakuna mafunzo ya askari yanayolazimisha askari kuvunja sheria na kufanya ukatili. Huu ni uongo.
Wanalazimishwa na mazingira plus fikra binafsi za mtu,mfano jeshi alitumi wala kuagiza askari wapige raia hovyo kwenye bar wakigombea wanawake hao ni wahalifu sawa na wengine jamii ipaswayo kushughulika nao.
 
wewe unategemea kiongozi aina ya Makonda, hukuona Sirro alivyokuwa anamnyenyekea?
wanaambia mshahara wako unalipwa na sisi, simu moja tu upo nje.
wee naona haujawai kukutana na marungu mitama ya askari aliyeagizwa ama wewe au aache kazi.
kwahiyo unafikiri askari wanavyopongezwa na makosa yao kama aquilina wanapewa watu wengine unafikiri ni maigizo?

Polisi wa Tanzania wamerithi unyama wa ccm
 
wewe unategemea kiongozi aina ya Makonda, hukuona Sirro alivyokuwa anamnyenyekea?
wanaambia mshahara wako unalipwa na sisi, simu moja tu upo nje.
wee naona haujawai kukutana na marungu mitama ya askari aliyeagizwa ama wewe au aache kazi.
kwahiyo unafikiri askari wanavyopongezwa na makosa yao kama aquilina wanapewa watu wengine unafikiri ni maigizo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee !!
 
Wanalazimishwa na mazingira plus fikra binafsi za mtu,mfano jeshi alitumi wala kuagiza askari wapige raia hovyo kwenye bar wakigombea wanawake hao ni wahalifu sawa na wengine jamii ipaswayo kushughulika nao.
Askari yeyote wa jeshi lolote hufunzwa 1.Sheria 2.Utii 3.Ukakamavu 4.Matumizi sahihi ya nguvu ya jeshi.
 
Hakuna mafunzo ya askari yanayolazimisha askari kuvunja sheria na kufanya ukatili. Huu ni uongo.
Kazi ya askari ni kutii maagizo yeyeto ya mwanasiasa,na mwanasiasa asipokuwa na hekima jamii ndio uumia, "askari kamata huyu weka ndani"ujaona askari anakamata mtu hata kosa lake awajui wameagizwa.
 
Askari yeyote wa jeshi lolote hufunzwa 1.Sheria 2.Utii 3.Ukakamavu 4.Matumizi sahihi ya nguvu ya jeshi.
Utii tafsiri yake uruhusiwi kuhoji amri iwe nzuri au mbaya.Mbwa ukimwambia kamata haoji ni vitendo tu,masai ukimwambia yeyeto asiiingie humo atoingia yeyeto iwe mke au mtoto wa mwenye nyumba,na ukitumia reasoning ni lzm ufukuzwe kazi
 
Kazi ya askari ni kutii maagizo yeyeto ya mwanasiasa,na mwanasiasa asipokuwa na hekima jamii ndio uumia, "askari kamata huyu weka ndani"ujaona askari anakamata mtu hata kosa lake awajui wameagizwa.
sielewi kabisa, hawa jamaa utafikiri wanaongelea polisi wa uingereza au marekani.
wakuu wa wilaya, wanadharirisha watu katika mikutano ya hadhara na mtu anajitetea utasikia wee kaa kimya. kamanda ebu kamata weka ndani huyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sielewi kabisa, hawa jamaa utafikiri wanaongelea polisi wa uingereza au marekani.
wakuu wa wilaya, wanadharirisha watu katika mikutano ya hadhara na mtu anajitetea utasikia wee kaa kimya. kamanda ebu kamata weka ndani huyu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo muundo na mfumo wa mashariki ya ujamaa ulivo mwanasiasa juu kisha vyombo vyote huwa chini yake,vyombo vyote utii order ya mwanasiasa sheria baadae sababu mwanasiasa kwa mfumo Wa magharibi police,mahakama,mwanasiasa na vyombo vyote viko huru haviingiliani vinaunganishwa na sheria na avitii maagizo yeyeto binafsi mwanasiasa bali ya kisheria. Huwezikuta mtu anakamatwa hovyo kwa maagizo ya mwanasiasa,au mtu anabambikwa au kushikiliwa kwa maagizo.
 
Kazi imeanza
 
Attachments

  • Instagram media - B7aZ0xXgV9Q ( 352 X 640 ).mp4
    5.4 MB
Sometimes Laana inayolikumba Taifa hili inatokana na mambo kama haya , Je mnafahamu kilichompata FFU yule aliyefanya unyama huu ?
Haya mambo yalikuwa yanafanyika awamu ambazo serikali ilikuwa haisimamii vizuri misingi ya sheria. Awamu hii ya tano chini ya JPM huyu FFU angechukuliwa hatua za kinidhamu. Leo katika vyombo vya habari nimefurahi sana kusoma habari ya askari polisi huko Zanzibar ambaye amefukuzwa kazi kwa kumpeleka mtuhumiwa akapigwe na wananchi wenye hasira kali.
 
mimi nahisi hao askari pia huwa wanaangalia na mikoa ya kufanya ukatili wa aina hyo nakumbuka mwaka fulani katika ziwa tanganyika wenyeji walikuwa na tabia ya kulima mashamba makubwa sana ya nyanya,kumbe lilikuwa kosa lakini hawakuwahi kuambiwa,basi bwana kuna mwanajeshi jina XXX akapewa ukuu wa XXX katika mkoa wa kigoma,sasa siku ya tukio.
Ametoka mwenyewe na viongozi na askari wakaenda ziwani dah walizikatakata nyanya zote hakuna hata mwananchi aliyesogea maana kama ungesogea kwenye kile kikosi ungechezea kifo cha mbwa.Basi bwana baada ya jeshi la mchana kufanya kazi yake ya mchana basi jeshi la usku likaingia pia kazini,asubuhi watu wanaamka wanaskia mkuu ana mimba mpka akaamishwa mkoa akiwa na mimba yake R.I.P
Note:kumbuka alikuwa mwanaume na mtoto alikuwa anacheza tumboni kama anamiezi mitatu au minne i hope waunganisha doti na wajuvi wa huo mkoa wanakijua hicho kisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom