Simulizi ya Mzee Juma Duni Haji baada ya kupewa kesi ya Uhaini inasikitisha sana .

Simulizi ya Mzee Juma Duni Haji baada ya kupewa kesi ya Uhaini inasikitisha sana .

Bado unamuombea msamaha kwa Mungu huyo askari mshenzi?????
Kweli Mungu ana kazi kubwa ndio maana kajificha 😄
Daaah!

Mola amsamehe huyo Askari, amrehemu Mzee wa Bab Duni na ampe ustahmilivu Mwalimu Juma Duni

Kuna Siku tutaskia na huzuni ya Kabendera

Watawala wajue Mwenyezimungu anasema kwenye Qur an tukufu kuwa kila ukilofanya hata liwe dogo vipi utaulizwa siku ya hukumu liwe Jema au baya na Mola anajua dhamira ya ulichofanya
 
Back
Top Bottom