Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #81
HakikaAtawalipa au atawapa adhabu.
Adhabu ipi ?!!Atawalipa au atawapa adhabu.
Chadema kwa mikwara ....hivi nyumbu la chadema litaweka uongo wake ....japo sijapenda alichofanya huyo askari......ila hili nyumbu la chadema litaketa uongo sasa hivi....... Itaendelea ......
Mungu siyo falaAlipe nini ?!!
#Tuko na Mwenyezi Mungu
HayaChadema kwa mikwara ....hivi nyumbu la chadema litaweka uongo wake ....japo sijapenda alichofanya huyo askari......ila hili nyumbu la chadema litaketa uongo sasa hivi
Walifanya nini hao kina Mao Tse Tung?Adhabu ipi ?!!
Hajawapa akina Mao Tse Tung kwa mazuri waliyoyafanya kuisimamisha China....
Hakuna adhabu
Daaah!
Mola amsamehe huyo Askari, amrehemu Mzee wa Bab Duni na ampe ustahmilivu Mwalimu Juma Duni
Kuna Siku tutaskia na huzuni ya Kabendera
Watawala wajue Mwenyezimungu anasema kwenye Qur an tukufu kuwa kila ukilofanya hata liwe dogo vipi utaulizwa siku ya hukumu liwe Jema au baya na Mola anajua dhamira ya ulichofanya
ππππWalifanya nini hao kina Mao Tse Tung?
Usilete hadithi za vijiweni. Weka vitu venye Ithibati.