SIMULIZI YA MAISHA ; Mzigo wa bosi uliharibu maisha yangu
MWANDISHI: Gilbert Evarist Mushi
PHONE: +255621249611
Sehemu ya 15
Gafla nikastukia wafungwa kama sita hivi wakinivamia na kuanza kunipiga mateke huku wakinivuta rasta nilizosokota kichwani. Nikajitahidi kadri ya uwezo wangu na mimi kurusha mateke ya hapa na pale ila sikuweza kufanikiwa kumdhuru hata mmoja kwani wameniwahi kisawa sawa, wakahakikisha kwamba wananikaba kiasi cha kunipa kichapo ambacho siwezi kuthubutu siku nyingine kubishana nao. Wakaniangusha chini kisha mmoja akanilalia kwa juu wenzake wakishangilia, akapeleka mkono wake makalioni mwangu nikajaribu kumtoa lakini nikashindwa kwani nimepigika nimeiva, ile anataka kupitisha mkono tu ghafla walifika polisi na wakaanza kuwatoa vijana hawa eneo hili kwa kuwapiga kwa virungu. Wafungwa hawa wakaniachia, askari wawili wakaninyanyua huku damu zikinitoka puani na mdomoni.
Nikaingizwa kwenye chumba ambacho niligundua ni chumba cha huduma ya kwanza, nikalazwa kwenye kitanda kidogo kisha akaingia Baba aliye valia koti jeupe, akanitazama kwa umakini, kisha akachukua miwani yake na kuivaa usoni mwake. Akanifungua vifungo vya ovaroll nililo livaa. Akanza kuniminya minya maeneo ya tumboni. Kila sehemu anayoguswa ina maumivu makali sana. Akachukua sindano mija kisha akavuta dawa iliyopo kwenye kijichupa kidogo na kisha akaanza kunifunua sehemu ya paja na kunichoma. Baada ya masaa matatu hivi maumivu niliyokuwa nayahisi yametoweka kabisa, nadhani ile ilikuwa ni dawa ya kutuliza maumivu, Baba huyu aliyenichoma sindano akanipatia vidonge viwili pamoja na maji katika glasi, nikabugia vidonge vile bila hata kutazama mara mbili, akatoka nje na punde wakaingia Askari walionilete humu, wakaniamrisha ninyanyuke kwa ishara wakanirudisha hadi katika bwalo la kuchukualia chakula. Nikajipakulia chakula na kukaa mezani na taratibu nikaanza kula huku nikitazama eneo ambalo nilipigwa na wafungwa wale mabaunsa. Nilipomaliza kula nilitoka nje nikakuta wafungwa wengi wakiwa wamekusanyika katika makundi madogo madogo wakijadili.
“Oya”
Niliisikia sauti nzito nyuma yangu, nikageuka kwa haraka na kukutana na Baba mmoja mweusi aliyejazia kwelikweli na amependia hewani.
“Tuzungumze”
Baba huyu alizungumza Kiswahili fahasa huku akinitazama usoni mwangu. Akaanza kuelekea hadi kwenye mabechi yaliyopo pembeni ya bwalo la chakula, nikamfwata kisha nami nikakaa huku nikimtazama kwa woga .
“Kwanza pole kwa yaliyotokea muda mchache uliopita”
“Nishapoa Broo” . Nikamjibu huku nikiwa bado sijiamini,
“Hawajakuumiza sana?” Aliuliza
“Nilipata maumivu karibu kila kiungo lakini sasa Naona nafuu baada ya kupewa huduma ya kwanza Broo".... Nilijibu
“Sawa, nimekuita hapa dogo ili ufahamu kwamba mimi pia ni Mtanzania kama ulivyo wewe, Jina langu naitwa Samwel”
“Ahsante Broo na nashukuru kwa kufahamiana, umejuaje kwamba mimi ni Mtanzania?” niliulizà
“Nimeona tu tabia zako, unajua Watanzania baadhi waliopo humu ndani tuna tabia zetu ambazo ni tofauti na hawa wajinga wengine humu ndani”
“Mh sawa”, nikajibu kwa kuhamaki kidogo.
"Ebu nidokeze kilichokutele humu wewe ni nini au umekamatwa na Unga?”
“Yaa nimekamatwa na unga aisee, halafu kuna Kipolisi kimenichimba biti eti nitanyongwa...."
"Duh! kunyongwa? Labda una visa naye huyo ila kikawaida kifungo chake ni miaka 40” alinieleza Samwel.
“Miaka 40 mingi sana Kwangu Broo, itabidi nitafute namna ya kutoroka humu gerezani” . nilimweleza
“Kutoroka humu gerezani!! hahaaaa dogo nipo humu ndani ni mwaka wa Ishirini mbili sasa na katika kipindi chote nilicho ishi humu ndani ya hili gereza sijawahi kusikia wala kuona mfungwa akitoraka, huku kuna mabaunsa, wahuni, magaidi hadi timu ya Alshabab huku lakini wameshindwa dogo” alinieleza huku akicheka kwa dharau
"Hao hawakuchanga karata zao vizuri, we ngoja utashangaa nimetoroka siku moja"....... .. Nilijieleza kwa kujiamini
“Ndio maana nilikuambia mwanzo sisi Watanzania tuna vijitabia fulani hivi ambavyo wenzetu huku hawana, Kwanza hebu niambie unaitwa nani?”
“Gilbert” nilijibu, baada ya hapo kengele ikasikika. Samwel akanidokeza kengele hii inaashiria ni muda wa kuelekea kwenye michezo, kwa mbali nikamuona kinje akija, alipofika akasalimiana na Samuel kwa furaha baada ya kumuona, bila shaka walikuwa wanafahamiana muda sana, tukaanza kupiga stori mbili tatu na baada ya hapo Samwell akaaga, Nikabaki na Kinje tumeketi pale, Kinje alianza kupepesa macho yake bila kutulia kama anatazama mahali,
" Vipi kuna tatizo?" nikauliza
" oya nakuja, we nenda uwanjani tangulia maana Ukikutwa hapa utapewa adhabu"
Aliniambia huku akinyanyuka kuelekea upande wa Kibao kilichoandikwa Toilet, nami nikanyanyuka kuelekea hukohuko, neno Toilet nilifahamu maana yake ni Chooni hivyo nilielekea nami lengo likiwa ni kwenda kukojoa. Nilipofika Sikumwona Kinje eneo la haja ndogo hivyo nikahisi labda atakuwa yumo ndani anatoa haja kubwa, nilipomaliza kukojoa nikasikia sauti za watu wakizungumza, nikasogelea mlango wa chumba hichi cha ndani ya Choo ili nisikie ni nini kinazungumzia na kwanini wawepo wanaume wawili ndani ya chumba cha chooni,
Kimya kikatawala kisha nikasikia miguno kama ya watu wanafanya mapenzi, nikashangaa na kuamini ile kauli aliyoniambia Daniel kuwa ni kweli. Daniel aliniahidi atanipeleka gereza ambalo kuna unyama wa kila aina, huko nitakutana na kila aina ya uchafu na isitoshe aliniahidi nitakutana na Wanaume watakaonilawiti. Hakika maneno yake ni kweli, sauti za wanaume wawili wakitoa miguno zilipenya katika masikio yangu, Sauti zile zilianza kuamsha hisia zangu japo nilijaribu kuzizuia zisinitawale, hamu ya kutaka kufahamu ni wanaume gani hawa wanafanya uchafu kama huu ikanijia, nikajaribu kuchungulia kupitia tundu la kuingizia funguo wa Kitasa hiki cha mlango nikaona Mwanaume mweusi akimwingilia mwenzake katika tupu yake, nikajikuta naanza kunogewa na mchezo ule, taratibu nikaingiza mkono wangu katika Boksa yangu na kuuahikashika uume wangu uliokuwa umekaza, Miguno ilizidi mle ndani huku Mwanaume mweusi akizidi kumkamata kisawasawa mwenzake, nilijaribu kukaza macho nifahamu ni kina nani lakini Kuanzia Shingoni kuelekea kichwani siwaoni, ni Kuanzia mabegani hadi miguuni nawaona wanavyotoleana ushirikiano ikimaanisha wote wameupenda mchezo ule, Mwanaume mweusi akajitoa haraka huku akipiga kelele za kufika mshindo huku yule mwingine akipiga magoti, hapo nikapata nafasi ya kumtazama usoni nimfahamu lakini ile napeleka macho usoni mwake ghafla nikahisi kama kuna mtu nyuma yangu. Haraka nikageuka huku nikitoa mkono uliokuwa kwenye boksa,
Mbele yangu alikuwa amesimama shombeshombe mmoja mwenye asili ya Kipemba hivi, Anakaribia kufanana na Kinje japo yeye kazidi weupe. Tukiwa tunatazamana nikasikia Kama mlango wa hichi choo ukifunguliwa, nikasogea haraka kujificha kwenye kona moja ili wanaotoka wasinione, Mfungwa yule naye akaja nilipo ili kujificha,
Looooooo! Sikutegemea nilichokiona baada ya Wanaume wale kutoka, hakika nilichoka, nilianza kuunganisha matukio, alikuwa ni ........
ITAENDELEA
Kwa Tshs 1000 tu unaweza isoma yote wakuu, Wengine tusio na buku tusubiri hapahapa itaendelea hivyohivyo kibishi. Namba ni 0765824715 au 0621249611