gilbert35
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 253
- 475
- Thread starter
- #81
SIMULIZI YA MAISHA ; Mzigo wa bosi uliharibu maisha yangu
MWANDISHI: Gilbert Evarist Mushi
PHONE: +255621249611
Sehemu ya 19
Akaelekea katika kabati ndogo iliyopo humu chumbani akafungua moja ya droo iliyomo kabatini kisha akachomoa funguo ndogo ya pingu akanisogelea na kunifugua t huku akinitazama kwa umakini sana. Baada ya kunifungua pingu zangu akazirusha pembeni akanishika shingo yangu kwa nyuma kisha akanisogeza karibu kabisa na midomo yake.
"Siku ile Daniel anakuhoji nilipokuwa nakutazama mapigo yangu ya moyo yalikwenda kwa kasi sana, sijui kwanini". Aliongea huku akizidi kunitazama kwa ukaribu.
" Endapo tukiaminiana nitakusaidia utoke gerezani uwe huru."
"Nitafurahi sana kama ukinisaidia kweli. Nami sitokuangusha"
nilimjibu huku moyoni nikifurahi maana ninatamani nitoroke hata sasa. Ila kwakuwa kaahidi kunisaidia acha nisitumie nguvu kubwa sana nisije nikauwawa kama rafiki yangu Chalamala alivyouwawa vibaya na Askari hawa.
Tukatazama kwa sekunde kadhaa kisha tukaanza kunyonyana midomo yetu. Hisia za mapenzi zikaanza kupanda upya kwani midomo ya Martin ni milaini sana kama ya Mwanamke vile na inatia hata hamasa ya kuinyonya kwa maana ina lipsi nene kiasi na ina ulaini ambao sijawahi kuupata kwa Julieth mpenzi wangu wa enzi hizo nipo kwetu Mbeya. Hata Lipsi za Kinje mfungwa mwenzangu hazina utamu kama hizi, sijui ni kutokana na kufungwa kwetu jela! Sijui mimi.
“Ohoo…..aaa…ss…..iii……”
Martin alianza kulalamika baada ya mikono yangu kuyashika makalio yake. akanisukumia kitandani kwa haraka akaanza kufungua vifungo vya trake ya jela nilioivaa akanivua kwa haraka, kwa bahati nzuri nilikuwa sina nguo yoyote ndani kutokana na ile mikiki mikiki wakati nipo na Kinje
Martin akanza kuushika shika uume wangu na kusogeza lipsi zake zilizo kama za kike, akautoa ulimi wake na kuanza kuulamba hali inayonifanya kusisimka sana hadi nikafikia hatua ya kuyafumba macho yangu kwa raha ninazozipata kutoka kwa mwanaume mwenzangu. Kutokana mimi ndio nimeletwa hapa kwa ajili ya kumpatia raha Martin hivyo Sikuhitaji kufanyiwa mautundu ambayo yatanifanya nishindwe kuonyesha umahiri wangu niliojifunza kwa muda mchache kutika kwa Kinje. Nikamjeuza awe chini nami nikae juu yake, Nikamlaza chali huku nikimtazama kwa kumkazia macho kwa sekunde kadhaa kisha nikaanza kuupitisha ulimi wangu nikiuchezesha chezesha mara kadhaa masikioni mwake hadi katika mshipa wa shingo, Martin akatoa kelele za kimahaba akionekana kufurahia sana hichi ninacho mfanyia.
“Wewe na Daniel ndo mnaisimamia kesi yangu?”
Nilizungumza huku nikimtazama usoni mwake.
“Ndi ndii….”
“Ndi ndo nini? " niliuliza huku nikipeleka mkono katika tupu yake
" Ndiyooooo”. alinijibu huku machozi ya furaha yakimwagika usoni mwake. Martin akazidi kupagawa sana, cha ajabu sioni kinyaa chochote cha kuzini na mwanaume mwenzangu kwa maana nina shida ya kuhitaji kutoka mikononi mwa serikali ya nchi hii ya Kenya, pili ninahitaji kufanikiwa kimaisha kwani ninauchukia umasikini kwani ndio ulio sababisha mimi kuingia kwenye biashara hii haramu hadi kukamatwa.
Nikazidi kuchezesha vidole vyangu eneo zima la tupu yake, akazidi kuchezesha mapaja yake, nilipoona hali ya kitingisha mapaja yake inazidi kuongezeka nikaushika uume wangu kisha nikiaanza kuingiza ndani ya tupu yake. Hii ikawa mara ya kwanza kumwingia mwanaume mwenzangu, sielewi ilikuwaje hadi nikafanya haya lakini mbele ya shida eti niwaze ili shida ishibe?
akazidi kuchanganyikiwa.
" nifanye G nifanyeeeeeee... ”
Nileendelea kushirikiana nae hadi pale nilipofikia mshindo na kujilaza pembeni yake huku nikihema kwa nguvu
“Haki ya Mungu nitahakikisha Gilbert unanioa”
alizungumza kwa furaha sana huku tunatazamana, kauli yake ikaanza kujirudia rudia kichwani mwangu. kwani kwenye maisha yangu sipo tayari kabisa kufunga ndoa na mwanaume mwenzangu kwani uchafu huu ninaufanya kutokana na shida zilizopo mbele yangu na endapo zikiisha basi maisha yangu ninaimani nitayarudisha katika mfumo wa kawaida.
“Kukuoa?” Ilinibidi kuuliza kwa mshangao.
“Ndio nitakuoa mpenzi wangu kama tu utanihakikishia mimi kutoka gerezani” nilijibu huku nafsini nikiwa sipo tayari kabisa kuhusu kuoa mwanaume mwenzangu. Hivi ndo sasa nikaoa wazazi wangu wakajua si watajuta kuzaa laana? Si nitaitia aibu nchi yangu? Hebu atoke bwana eti nioe. Pumbavu
“Nipe raha Gily hicho kitu ni kidogo sana kwangu, nitahakikisha kwamba unatoka gerezani”
Maneno yake yakaanza kunipa hamasa ya kumfanyia utundo wote ninaouweza kuufanya kwa Mwanaume huyu. Shughuli ninayompa Martin kusema kweli nilimliza kama mtoto mdogo, kiasi cha kumfanya aanze kuwakataa wanawake wote aliowahi kuwanao na kuwaona ni wajinga na wapuuzi mbele yangu. Ni mara yangu ya kwanza kumwingilia mwanaume mwenzangu, ila kusema kweli niliweza kulihimili hili. Nasema ni mara ya kwanza kwa sababu kwa Kinje Sikuweza kumwingilia kutokana na Askari kutuona tukijiandaa kufanya.
Martin hakutosheka, alinitaka ninyanyuke kisha akalala kifudifudi katika kitanda hiki kizuri. Akaitanua miguu yake na kunitaka nimwingie, nami pasipo kuwa na cha kusubiri nikamjia na kuanza kumwingia kwenye ikulu yake, jambo lililo sababisha Martin kutoa miguno kadhaa. Msukumo wa kiuno wangu kadri muda unavyozidi kwenda ndivyo jinsi unavyo msababisha kupata raha zaidi. Kama mtu akipata bahati ya kuchungulia dirishani basi ataamini mimi ni mzoefu kwani kasi ninayokwenda nayo sijui ni kwa sababu ya bado damu yangu inachema au ni kutokana na mwili wangu uliozoea mikiki mikiki ya kimaisha.
“Gi…gi.... lll... utaniuaaa... utaniu mtoto wa watu jamani. Loooh! nimetembea na wanaume walio jiita mashababi wanajua mapenzi, ila kwako hakuna anayekufika hata theluthi”
Maneno yake yakazidi kunifurahisha na kunifanya nijisikie furaha kwani kwa kumteka hisia zake za kimapenzi itanisaidia sana kuwa huru maishani mwangu. Taratibu nikajitoa kisha nikajilaza pembeni.
"hivi Gilbert imekuwaje ukaingia kwenye hii biashara ya Madawa wakati Tanzania kuna shughuli nyingi za kufanya? ” Aliuliza Martin
“Maisha, maisha ndio yamenifanya niingie katika biashara hii. Ajira zimekuwa ni ngumu sana, pesa yenyewe ya kusoma hakuna, ukiipata bado utasoma na utarudi nyumbani tu."
“Basi kesi yako nitafanya juu chini nikutafutie wanasheria mahiri wanaojua kucheza na sheria kiasi kwamba ukiua watasema hujaua na watatoa ushahidi. Mimi si ndo Martin? Daniel atashindwa tu na nitahakikisha kwamba unatoka gerezani”. Martin akanitia moyo nami nikanywea na kuwa kama kidonge cha piriton.
“Nitashukuru sana mpenzi, ila wewe ni Mtanzania?” nikauliza
“Yaaa mimi ni Mtanzania wa Visiwani. Nilizaliwa huko Jang'ombe Zanzibar, ila nikasomea huku na kwa sasa nina uraia wa hapa Kenya, shuhuli zangu, makampuni yangu yote yapo hapa. ”
“kumbe.”
“Yaa ila ninakuomba hii iwe siri sana kwamba mimi na wewe tuna mahusiano ya kimapenzi, huwa sipendi kuwa na skendo za ajabu ajabu, ambazo zinaweza kuniharibia kibiashara na katika kazi ya kiuanasheria” akanena Martin
“Usijali siwezi kuzungumza chochote, nitakushukuru sana pale utakaponisaidia kutoka gerezani. Nina maisha magumu sana nyumbani kwetu, wazazi wangu hapa nimewaacha na wala sifahamu kwa sasa wanaendeleaje kwa maana nilikuja hapa Kenya kwa kazi maalumu kisha niondoke” nikajitetea
“ hebu ngoja uone” akaanza kujizoa zoa kitandani huku akionekana akiwa amechoka sana. Akaanza kutembea kwa mwendo ulio nifanya nimeze mate mengi mdomoni mwangu. Akachukua simu yake juu ya kabati na kurudi kitandani nilipo. “Kuna mwanasheria mmoja ni maarufu sana hapa Kenya, ngoja nizungumze naye nijue ni jinsi gani anaweza kucheza na kesi yako ili tuangalie uwezekano wa wewe kuachiwa huru.”
ITAENDELEA
Hii simulizi nitaipost hadi kipande cha 22 hapa. 23- mwisho utaipata kwa kuchangia bando Tshs 700 tu. Lipa kwenda Halopesa namba 0621249611 au Mpesa namba 0765824715 kisha njoo whatsapp kwa namba 0621249611 nitakutumia.