Simulizi ya mzigo wa bosi uliharibu maisha yangu

nililala na arosto ndo naanza kuitoa
 
SIMULIZI YA MAISHA ; Mzigo wa bosi uliharibu maisha yangu
MWANDISHI: Gilbert Evarist Mushi
PHONE: +255621249611

Sehemu ya 15
Gafla nikastukia wafungwa kama sita hivi wakinivamia na kuanza kunipiga mateke huku wakinivuta rasta nilizosokota kichwani. Nikajitahidi kadri ya uwezo wangu na mimi kurusha mateke ya hapa na pale ila sikuweza kufanikiwa kumdhuru hata mmoja kwani wameniwahi kisawa sawa, wakahakikisha kwamba wananikaba kiasi cha kunipa kichapo ambacho siwezi kuthubutu siku nyingine kubishana nao. Wakaniangusha chini kisha mmoja akanilalia kwa juu wenzake wakishangilia, akapeleka mkono wake makalioni mwangu nikajaribu kumtoa lakini nikashindwa kwani nimepigika nimeiva, ile anataka kupitisha mkono tu ghafla walifika polisi na wakaanza kuwatoa vijana hawa eneo hili kwa kuwapiga kwa virungu. Wafungwa hawa wakaniachia, askari wawili wakaninyanyua huku damu zikinitoka puani na mdomoni.

Nikaingizwa kwenye chumba ambacho niligundua ni chumba cha huduma ya kwanza, nikalazwa kwenye kitanda kidogo kisha akaingia Baba aliye valia koti jeupe, akanitazama kwa umakini, kisha akachukua miwani yake na kuivaa usoni mwake. Akanifungua vifungo vya ovaroll nililo livaa. Akanza kuniminya minya maeneo ya tumboni. Kila sehemu anayoguswa ina maumivu makali sana. Akachukua sindano mija kisha akavuta dawa iliyopo kwenye kijichupa kidogo na kisha akaanza kunifunua sehemu ya paja na kunichoma. Baada ya masaa matatu hivi maumivu niliyokuwa nayahisi yametoweka kabisa, nadhani ile ilikuwa ni dawa ya kutuliza maumivu, Baba huyu aliyenichoma sindano akanipatia vidonge viwili pamoja na maji katika glasi, nikabugia vidonge vile bila hata kutazama mara mbili, akatoka nje na punde wakaingia Askari walionilete humu, wakaniamrisha ninyanyuke kwa ishara wakanirudisha hadi katika bwalo la kuchukualia chakula. Nikajipakulia chakula na kukaa mezani na taratibu nikaanza kula huku nikitazama eneo ambalo nilipigwa na wafungwa wale mabaunsa. Nilipomaliza kula nilitoka nje nikakuta wafungwa wengi wakiwa wamekusanyika katika makundi madogo madogo wakijadili.

“Oya”
Niliisikia sauti nzito nyuma yangu, nikageuka kwa haraka na kukutana na Baba mmoja mweusi aliyejazia kwelikweli na amependia hewani.

“Tuzungumze”

Baba huyu alizungumza Kiswahili fahasa huku akinitazama usoni mwangu. Akaanza kuelekea hadi kwenye mabechi yaliyopo pembeni ya bwalo la chakula, nikamfwata kisha nami nikakaa huku nikimtazama kwa woga .

“Kwanza pole kwa yaliyotokea muda mchache uliopita”

“Nishapoa Broo” . Nikamjibu huku nikiwa bado sijiamini,

“Hawajakuumiza sana?” Aliuliza

“Nilipata maumivu karibu kila kiungo lakini sasa Naona nafuu baada ya kupewa huduma ya kwanza Broo".... Nilijibu

“Sawa, nimekuita hapa dogo ili ufahamu kwamba mimi pia ni Mtanzania kama ulivyo wewe, Jina langu naitwa Samwel”

“Ahsante Broo na nashukuru kwa kufahamiana, umejuaje kwamba mimi ni Mtanzania?” niliulizà

“Nimeona tu tabia zako, unajua Watanzania baadhi waliopo humu ndani tuna tabia zetu ambazo ni tofauti na hawa wajinga wengine humu ndani”

“Mh sawa”, nikajibu kwa kuhamaki kidogo.

"Ebu nidokeze kilichokutele humu wewe ni nini au umekamatwa na Unga?”

“Yaa nimekamatwa na unga aisee, halafu kuna Kipolisi kimenichimba biti eti nitanyongwa...."

"Duh! kunyongwa? Labda una visa naye huyo ila kikawaida kifungo chake ni miaka 40” alinieleza Samwel.

“Miaka 40 mingi sana Kwangu Broo, itabidi nitafute namna ya kutoroka humu gerezani” . nilimweleza

“Kutoroka humu gerezani!! hahaaaa dogo nipo humu ndani ni mwaka wa Ishirini mbili sasa na katika kipindi chote nilicho ishi humu ndani ya hili gereza sijawahi kusikia wala kuona mfungwa akitoraka, huku kuna mabaunsa, wahuni, magaidi hadi timu ya Alshabab huku lakini wameshindwa dogo” alinieleza huku akicheka kwa dharau

"Hao hawakuchanga karata zao vizuri, we ngoja utashangaa nimetoroka siku moja"....... .. Nilijieleza kwa kujiamini

“Ndio maana nilikuambia mwanzo sisi Watanzania tuna vijitabia fulani hivi ambavyo wenzetu huku hawana, Kwanza hebu niambie unaitwa nani?”

“Gilbert” nilijibu, baada ya hapo kengele ikasikika. Samwel akanidokeza kengele hii inaashiria ni muda wa kuelekea kwenye michezo, kwa mbali nikamuona kinje akija, alipofika akasalimiana na Samuel kwa furaha baada ya kumuona, bila shaka walikuwa wanafahamiana muda sana, tukaanza kupiga stori mbili tatu na baada ya hapo Samwell akaaga, Nikabaki na Kinje tumeketi pale, Kinje alianza kupepesa macho yake bila kutulia kama anatazama mahali,

" Vipi kuna tatizo?" nikauliza

" oya nakuja, we nenda uwanjani tangulia maana Ukikutwa hapa utapewa adhabu"
Aliniambia huku akinyanyuka kuelekea upande wa Kibao kilichoandikwa Toilet, nami nikanyanyuka kuelekea hukohuko, neno Toilet nilifahamu maana yake ni Chooni hivyo nilielekea nami lengo likiwa ni kwenda kukojoa. Nilipofika Sikumwona Kinje eneo la haja ndogo hivyo nikahisi labda atakuwa yumo ndani anatoa haja kubwa, nilipomaliza kukojoa nikasikia sauti za watu wakizungumza, nikasogelea mlango wa chumba hichi cha ndani ya Choo ili nisikie ni nini kinazungumzia na kwanini wawepo wanaume wawili ndani ya chumba cha chooni,
Kimya kikatawala kisha nikasikia miguno kama ya watu wanafanya mapenzi, nikashangaa na kuamini ile kauli aliyoniambia Daniel kuwa ni kweli. Daniel aliniahidi atanipeleka gereza ambalo kuna unyama wa kila aina, huko nitakutana na kila aina ya uchafu na isitoshe aliniahidi nitakutana na Wanaume watakaonilawiti. Hakika maneno yake ni kweli, sauti za wanaume wawili wakitoa miguno zilipenya katika masikio yangu, Sauti zile zilianza kuamsha hisia zangu japo nilijaribu kuzizuia zisinitawale, hamu ya kutaka kufahamu ni wanaume gani hawa wanafanya uchafu kama huu ikanijia, nikajaribu kuchungulia kupitia tundu la kuingizia funguo wa Kitasa hiki cha mlango nikaona Mwanaume mweusi akimwingilia mwenzake katika tupu yake, nikajikuta naanza kunogewa na mchezo ule, taratibu nikaingiza mkono wangu katika Boksa yangu na kuuahikashika uume wangu uliokuwa umekaza, Miguno ilizidi mle ndani huku Mwanaume mweusi akizidi kumkamata kisawasawa mwenzake, nilijaribu kukaza macho nifahamu ni kina nani lakini Kuanzia Shingoni kuelekea kichwani siwaoni, ni Kuanzia mabegani hadi miguuni nawaona wanavyotoleana ushirikiano ikimaanisha wote wameupenda mchezo ule, Mwanaume mweusi akajitoa haraka huku akipiga kelele za kufika mshindo huku yule mwingine akipiga magoti, hapo nikapata nafasi ya kumtazama usoni nimfahamu lakini ile napeleka macho usoni mwake ghafla nikahisi kama kuna mtu nyuma yangu. Haraka nikageuka huku nikitoa mkono uliokuwa kwenye boksa,
Mbele yangu alikuwa amesimama shombeshombe mmoja mwenye asili ya Kipemba hivi, Anakaribia kufanana na Kinje japo yeye kazidi weupe. Tukiwa tunatazamana nikasikia Kama mlango wa hichi choo ukifunguliwa, nikasogea haraka kujificha kwenye kona moja ili wanaotoka wasinione, Mfungwa yule naye akaja nilipo ili kujificha,
Looooooo! Sikutegemea nilichokiona baada ya Wanaume wale kutoka, hakika nilichoka, nilianza kuunganisha matukio, alikuwa ni ........
ITAENDELEA

Kwa Tshs 1000 tu unaweza isoma yote wakuu, Wengine tusio na buku tusubiri hapahapa itaendelea hivyohivyo kibishi. Namba ni 0765824715 au 0621249611
 
Muendelezo boss
 
SIMULIZI YA MAISHA ; Mzigo wa bosi uliharibu maisha yangu
MWANDISHI: Gilbert Evarist Mushi
PHONE: +255621249611

Sehemu ya 16

Tukiwa tunatazamana nikasikia Kama mlango wa hichi choo ukifunguliwa, nikasogea haraka kujificha kwenye kona moja ili wanaotoka wasinione, Mfungwa yule naye akaja nilipo ili kujificha,
Looooooo! Sikutegemea nilichokiona baada ya Wanaume wale kutoka, hakika nilichoka, nilianza kuunganisha matukio, alikuwa ni Samwel yule baba mweusi akitoka, mfungwa aliyeko nyuma yangu naye akataka kuchungulia nikampisha, alipomwona Samwel alimfwata kwa jazba huku akitukana, kitendo cha kumtukana mwanaume mwingine aliyepo ndani hakutoka tena

"Ulikuwa na nani kahaba mkubwa wewe hivi mimi huwa sikuridhishi hadi ukatafute wanaume wengine uwalale? Kipi nimekufanyia Sam hadi uwe hivi ??..."
mfungwa yule alilalamika huku akimpigapiga Samwel kifuani, nikaona Samwel akimkombatia huku akimwomba msamaha hatarudia tena, Kijana huyu hakuridhika naye akazama ndani ya kile chumba kumtoa mwanaume aliyekuwa na Samwel ndani, wakati huo bado nipo pembeni ya ukuta huu nimejificha nisionekane

"Yaani Kaka Samwel nikamuona Ni mtu mstaarabu tu kumbe ana tabia za kijinga hivi? Tena na wapenzi anao wengi duh! Kweli hii ni Mombasa" Nilikiri moyoni huku bado nikitazama kinachoendelea.
Mara nikasikia kilio cha mtu akipigwa, Samwel naye akaingia mle ndani ya kile choo kuamua kwani shombeshombe yule alikuwa akipigana na mwanaume yule aliyepo ndani ya kile choo, nikataka kwenda kutazama ni nani huyo anapigwa lakini punde wakaingia Askari wakiwa na Virungu, nikazidi kujibana kwenye kona ile wasinione wakaamuru Kina Samwel watoke nje, wakatoka lakini sikufanikiwa kuwaona pindi wanatoka kwani nilikuwa nimejificha kuwahofia polisi hawa wasinione, walipoondoka nami nikatoka nje kuelekea uwanjani, niliangaza macho kumtafuta Kinje lakini sikufanikiwa kumwona,

"Au yule mwanaume alikuwa ni Kinje? Hapana hawezi akawa yule, lakini mbona yeye alielekea chooni pia mda ule?" Nikabaki nawaza huku nikitazama wafungwa wanavyocheza michezo mbalimbali kama mpira na kukimbia, Nikapata wazo la kwenda chumba cha kulala ambacho tunashea na Kinje ili nikaangalie kama yupo ama la.
Nikiwa naelekea walitokea Askari mbele yangu na kunizuia muda huu ni wa michezo, nikagundua kumbe ratiba ya michezo hairuhusiwi mtu kuonekana vyumbani, nikarejea uwanjani huku nikiendelea kuangaza macho kama nitamwona Kinje,
Majira ya Jioni kengele ikagongwa, nikaona wafungwa wote wakielekea upande mwingine huku wakikimbia kama wanawahi mahali, nami nikaungana nao, nilipofika tukaunga foleni na Kisha namba zikaanza kuhesabiwa, Baada ya nusu saa ikaonekana wafungwa watatu hawapo kisha majina yakaanza kuitwa, ukiitwa unaelekea katika chumba chako, nilipofika chumbani sikumwona Kinje ikanilazimu kusubiri labda bado hajaitwa jina, lakini hakurejea, hisia za juu ya kile kitendo kilichotokea chooni zikaniaminisha wenda alikuwa ni yeye akifanya mapenzi na Samwel, nikajilaza kwenye godoro langu huku nikitafakari ni jinsi gani nitafanya niweze kutoroka humu gerezani, nikiwaza hayo usingizi ulinipitia nikalala fofofo.
******************

Kelele za mlango wa chuma ukifunguliwa ziliniamsha nikaamka huku nikipiga mihayo, aliingizwa Kinje na Askari hawa wawili waliomleta, mlango ukafungwa kisha akaelekea kwenye godoro lake bila kuongea lolote.

"Vipi Kinje kwema?". Nilimuuliza huku nikimsogelea
" Mungu wangu!.... Wamekufanya nini mbona umeumia hivi?" nilishtuka baada ya kumwona usoni alikuwa mwekundu kavimba

"Matatizo tu haya ya hapa na pale Gilbert". Alinijibu

" Sasa ulikuwa wapi mda wote huo?". Nilimuuliza huku nikimdadisi

"Nikiwa kiwanjani wale mabaunsa waliokupiga mchana walinishambulia". Alinieleza japo sikuyaamini maneno yake, niligundua kwamba kinje ana uhusiano wa kimapenzi na Samwel, kiufupi yeye ni shoga, Nilianza kukumbuka baadhi ya matukio nikaamini ni kweli, kwanza siku ile naingia humu alinisifia na isitoshe vitendo vyake hata anavyozungumza alikuwa kama Si mwanaume rijali, pia nikakumbuka yeye ni Mpemba maana niliwahi kusikia huko zanzibar kuna wanaume wanaoishi na wanaume wenzao kama wachumba. Nikajifanya sijui lolote nikampa pole,

" umepewa huduma ya kwanza lakini?"

"Yaa hapa nimetokea kwa daktari kuna dawa nimepewa nimeze"

"Sawa". Nikajibu huku nikielekea kwenye godoro langu kujilaza zangu. Punde Kengele ikalia tena ikiashiria ni muda wa Chakula cha usiku,

"We nenda zako maana mimi sina hamu ya kula kabisa" Kinje aliniambia

"Shauri yako, we jiendekeze kisa ujinga..". Nilijibu kwa hasira huku nikinyanyuka, milango ya vyumbani ikaanza kufunguliwa nami nikatoka baada ya wa kwetu piaufunguliwa. Wakati wa kula nikamwona Kinje akija huku akiambatana na Askari, akaelekea kuchukua chakula kisha akaja nilipo

" Ukiwa jela uhuru huna kweli yaani mtu unamwambi hujisikii kula anakupiga, tumbo langu au lao?. Alilalamika baada ya kufika na kuketi pembezoni mwangu,
Nilimtazama huku nikimsikitikia maana ni mapenzi yanamsumbua, kitendo cha shombeshombe yule kumfumania akiwa na Samwel kilimuumiza kwani alijua yupo peke yake, kweli dunia ina mambo. Baada ya chakula tulihesabiwa namba tena kisha tukaelekea vyumbani kwa ajili ya kulala,
Nimelala juu ya kigodoro hiki chembamba nawaza nitumie njia gani ya kutoka humu jela nirudi Tanzania, nimewakumbuka wazazi wangu sana, niliwaahidi nitatafuta hela kwa ajili yao lakini sasa nipo jela baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya, nilikumbuka ahadi ya bosi Clara angenipa Tshs Milioni mia sita endapo ningefanikiwa kuufikisha salama mzigo niliokamatwa nao, nikakumbuka pia Bosi huyuhuyu alivyonisaliti kwa kuniambia nitupe simu nikiwa kwenye gari nasafirisha madawa tena yakiwa tumboni mwangu, machozi ya uchungu yalinitoka. Pakiti nne nilizomeza nikiwa Tanzania nilifanikiwa kuzitoa tatu baada ya kwenda haja ndogo, lakini ya nne hadi leo haijatoka sijui imeyeyuka sielewi kabisa, niliumia sana.
Nikiwa nawaza haya kumbukumbu ya Kinje akifanya mapenzi na Samwel ilinijia, nilikumbuka jinsi walivyokuwa wanaingiliana wakiwa chooni, hisia kali sana zilinikamata, changanya na uchungu na maumivu aliyonifanyia Bosi Clara hamu ya kufanya mapenzi ilinipanda, nikakaa katika kigodoro hiki huku mapigo yangu ya moyo yakienda kwa kasi, nikawaza nifanye nini ndipo nikapata wazo la haraka, nikatemea mate katika kiganja changu kisha nikaanza kujichua, taratibu huku nikivuta hisia za kitendo alichofanyiwa Kinje na Sam nikitetemeka kwa woga,

"Gilbert umekuwaje wewe? Nina nini mimi mbona hivi???..." niliwaza huku nikijaribu kuzuia hali hii lakini nikashindwa, wakati huo taa ya chumba hiki imezimwa na Kinje hanioni wala mimi simuoni.
Nikanyanyuka huku nikimsogelea Kinje nikiwa uchi kabisa, mwanaume mwenzangu namsogelea. Jamani jamani, nikiri tu niliwehuka, sijui ni jinamizi gani limenikamata mimi.
Nikamkuta Kinje akiwa anajipapasa sehemu za makalio huku akiwa hana nguo yoyote. Nikajikuta nikimeza mate mfululizo huku nikiwa nimemkazia macho

"Gilbert vipi mbona upo hapa unafanyaje?” akakurupuka baada ya kuniona nami nikashinda kabisa kumjibu chochote. Hali ya hisia za mapenzi iliyonikamata ikanifanya nianze kumsogelea taratibu huku nikiwa nimemkazia macho usoni mwake. Nikamshika mkono wake wa kushoto na kumfanya Kinje anishangae sana

“Una nini wewe mbona sikuelewi?”.
Aliuliza huku akitoa mkono nilioushika, Sikumjibu chochote zaidi ya kuzidi kumvuta hadi tukajikuta tumekumbatiana. Kinje akajaribu kujitoa mikononi mwangu ila akashindwa kabisa kufanya hivyo kwani nimemng’ang’ania kwa nguvu sana.

“Gilbert una nini wewee?”

“Nahitaji”

“Ni……”
Kinje hakumalizia sentensi yake nika........

Simulizi hii inapatikana Full whatsapp kwa namba 0621249611 au Mpesa namba 0765824715
Changia buku tu uweze kuisoma simulizi yote.
 
Ohooo,hizo stori za ulaji kisamvu taratibu bwana usitutie laanani wasomaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…