Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipi anachuraa...Dah kumbe sasa nimekujua heaven sent,tulikuwa kundi moja,nimeona mavazi nimesha kukumbuka katika picha ya pamoja upo full.
vip anachuraaDah kumbe sasa nimekujua heaven sent,tulikuwa kundi moja,nimeona mavazi nimesha kukumbuka katika picha ya pamoja upo full.
Ulimaanisha Marangu mkuunaomba kujua endapo mtu mmoja amepandia machame na mwingine mlangu je, hiz njia kunasehem zinakutana?
Itakuwa mambo ya mkesha wa mwaka mpya yamemzonga tayari.
Na hiyo ndio sababu kuu ilinifanya nichukue maamuzi ya kupanda huo mlima. Kama ntaweza kupanda, ntaweza kufanya jambo lolote hata liwe gumu ntapambana nalo tu. Ilifika mahali nikachoka sana, nikasema nikirudi bila kufika kwenye kilele cha mlima, ntasingizia kitu gani sasa, siumwi, kama ni uchovu wote tunaupata, nikajipa moyo kuendelea na safari.