Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Dada yangu nikushauri utuandikie kitabu kisha kiwekwe pale kwenye banda la Bodi ya Utalii.....naamini kitasaidia kuhamasisha utalii wa kupanda Mlima Kilimanjaro.
Hata hivyo hongera sana kwa ujasiri wako na hongera sana kwa kutushirikisha uzoefu huu.
 

Yaani umeeleza ukweli.. Its not about the certificate.. There is a great sense of accomplishment unaipata.. relieved.. happiness. I remember feeling immensely proud kuwa after mahangaiko yako nimefika juu...

The summit view was absolutely stunning and I don’t think any words could really give it justice.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa nini wanapanga mawe?

Sent using Jamii Forums mobile app

Niliuliza pia nikaambiwa kuna ki imani zaidi watu wameweka.. So anapanga mawe then anakua na prayers zake anafanya.... kama una wishes zako ndio muda mzuri kufanya.

Nyingine ni kumbukumbu kwamba I was here.. So unaweza kurudi baada hata ya miaka kadhaa ukakuta mawe uliyopanga yapo hapo.. wajukuu wakipanda ukawaambia pia..kumbukumbu kwa vizazi vingine pia.

Anaejua zaidi anaweza kuongezea


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…