Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Hyo reception ya hapo mandara nimejenga mm hyo kench kuisimamisha ilitusimbua maana kulikuwa na baridi sanaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiii reception ya mandara nakumbuka ilivonitesa kujenga na kukaguliwa kila sikuuu daaaah
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni mtu wa DAR or sisi wa kanda hii ndio kama kwenda Beach tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema tu unaenda kujirusha kwenye sherehe za kuupokea mwaka mpya wa 2019. Hongera sana kwa ujasiri wako pamoja na kujua fika kwamba ungeweza kupoteza uhai wako kwa uamuzi wako wa kufika kileleni. Vilele vingine ni hatari sana 😉😉😉

Kesho best.... Nimechoka zangu.

ASANTE


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hongera Heaven, hii njia kweli nzuri hadi kuna vitanda[emoji2297][emoji2297][emoji2297].......nilipanda mlima siku sita, kitanda nilikuja kukiona siku ya saba tulivyoshuka sijui ni mweka pale sijui mwika...nimesahau jina, ajabu tulipanda siku 6 lkn kushuka ni siku moja tu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu na lile baridi kweli unaweza usiwe na habari nae, nadhani utakuwa umeamua tu kutufurahisha humu

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi ndugu coz kulala tu kwenye huwezi kujinyoosha, unajikunja ili upate joto, halafu nguo za kulalia zinabana fulani hivi mfano zetu zilikuwa zinaitwa thermos, ukivaa hizo nguo then shuka ni kama mfuko hivi, unaingia zako kwenye hilo shuka....unajikunja kuutafuta usingizi

Salute to those porters.....niliwashangaa wale watu lkn pia nilimshangaa Mungu..... kwenye jiwe la kubusu sisi tunawaza tutapitaje manake ukiteleza kidogo tu wanakusahau lakini wao wanapita utadhani wanapita kwenye barabara tena na mizigo kichwani au mgongoni na mkifika kituoni mnakuta wameshafunga matent, kila mtu bag lake limeshawekwa kwenye tent lake, wameshaivisha chakula, meza zimeshaandaliwa and they are so kind and humble. Nilisikitikaga sana kusikia zile kampuni zinawalipa ujira mdogo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo jiwe la kubusu ndo lipoje im trying to Imagine hata sielewi
Jiwe la kubusu ni hivi, ili kutoka pale barango kwenda karanga lazima mpite mlimani, na mkiwa pale barango mlima unauona uleeeee, mkifika pale mlimani njia ni nyembamba sana, sasa kuna sehemu kuna jiwe kubwa ili kupita hapo lazima ulikumbatie hilo jiwe na unapita upande upande lakini mbaya zaidi chini kuna korongo so ukikosea step kidogo tu unaweza kujikuta uko korongoni, so mnapita mmoja mmoja na kwa uangalifu mkubwa. Nakumbuka kundi letu tulikuwa zaidi ya watu 30 tulitumia almost 2hrs kuvuka hapo....na slogan ya mlimani ni Pole Pole....no hurry

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ruwaa[emoji134]kumbe ndo hivyo basi hiyo njia sio poa
Ahsante kwa ufafanuzi
 
Kwa mimi nafikiria kuja kupanda tena miaka ya mbeleni uko ila bado sijapanga nitaenda lini ila kwa ushauri mdogo tu kwa wanaotaka kupanda mlima kilimanjaro hauhitaji mazoezi sana ili ufike kileleni labda uwe mtu wa kushinda kwenye gari kutembea huna kumbukumbu ulitembea lini hata nusu saa kwa siku hapo fanya mazoezi mepesi tu kinacho washinda watu wengi kufika kileleni ni kwa sababu mlima kilimanjaro unajitengenezea hali yake una zaidi ya hali3 utakazo kutana nazo equatorial,Savannah, mediteranian nk so unakuta mtu mwili wake unashindwa kuhimili hali hii nyingine anaweza ukiwa kwenye Savannah unaweza hata huumwi kichwa ila ukienda sehemu nyingine hali inabadirika unaanza kuumwa na kunakua na mgandamizo wa hewa so kunakushinda
Cha kufanya pima afya yako vaa na beba mavazi na vifaa rafki tokana na ushahuri wa watu wanaokuongoza naamini unaweza toboa maana kule wanaenda wanajeshi ila kunawashinda sababu ya hali ya hewa ila ma porters na tour guiders muda mwingine unakuta wamevaa t-shirts na suruali tu na they're fine ila wewe unavaa mikoti na mikoti ila bdo hali inakusumbua tu
Mimi pia nilipita njia nzuri ya marangu na baridi lipo kuanzia mandara me siku ya kwnza tu betri ya simu ilikata moto wakt sikuitumia hata
All the best kwa mwendaji yeyote mwaka huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…