Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Pole sana, mimi nilipitia Umbwe route ila nilipofika Barranco Camp uzalendo ukanishinda na nilibakiza vituo viwil tu yaani Karanga camp na Barafu Hut.... [emoji1482][emoji1482]
Hii ndo toughest ukifika karanga camp unachota maji lita 20 unabeba plus mixigo yako unatembea kwenda barafu camp. Waulize porters(mburuta )watakuambia mziki wa hio route unahc kufakufa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndo toughest ukifika karanga camp unachota maji lita 20 unabeba plus mixigo yako unatembea kwenda barafu camp. Waulize porters(mburuta )watakuambia mziki wa hio route unahc kufakufa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tulijikusanya majamaa kadhaa hahaha mpaka tukahisi hatukuwa na maandilizi ya kutosha ila ule mziki wake ni shida bora hata njia ya Tarakea japo ni mbali.
 
Yaani Kuna mahali unafika huko juu njia imebana na unapita sehemu ambayo unapiga mgongo korongo na unakumbatia jiwe au mwamba ili uweze kupita hiyo sehemu ....hii nilihadisiwa na guide japo sijapanda huo mdude

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jiwe la kubusu na jiwe la mku........ hili la kubusu inabd upite kati ya mawe mawili yamebanana sana kwa lile la mbele linakua juu sana kuanzia chini kwa hio unakuwa kama vile unalibusu japo si lazima ni utaratibu tu. Then jiwe la mku....u lenyewe unapopita hio sehem hilo jiwe lazma likuguse makalio kwa sababu njia ni nyembamba sana hope nimeeleweka. ( Im not a good writer)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtanisimulia inatosha kwa kweli!!![emoji56][emoji28][emoji28][emoji28]kupanda hapana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Last time nimepanda as porter ilikua 2015 just imagine pprter ndo mtu wa mwisho kuondoka camp kwa sababu zile tents wanazolalia wageni inabd azianue azipack azibebe then aondoke nazo lakini tena anatakiwa afike next camp wa kwanza ili wageni wakute tents zimesimama tena plus food iwe iko tayari. Huwa nawaza how did i manage???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapa ni few mita kabla ya barafu camp,kuna view nzuri sana watu wanapiga picha,nilipanda mwaka jana na ile geita kili challenge,sikufanikiwa kufika uhuru,muda wa kwenda summit,oxgen yangu ilienda low to 47% mzungu 1 akaniambia haitakiwi kuwa below 80% nikajishukia sikutaka kurisk but i was there ningekomaa 6 hrs tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Big Up...

Sent using Iphone mobile
 
Wazungu wengine wakifika kileleni wanatupa gold pete vitu vya thamani kwa upandee ule wa kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe hauna chura

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…