Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Zoezi letu lilianzia Lake Chala kwa kushuka kwa kamba toka juu hadi chini ziwani,kama una woga unaweza kugoma kushuka,unakalia sehemu ya kamba na nyingine unaishika kwa mikono miwili ukiwa umekanyaga mwamba na mwili umelala kwa nyuma ukiangalia chini unaliona ziwa likiwa mbali yaani ile kamba ikilatika unaelea hewani ukifika chini lilipo ziwa wee jina limeshabadilika kuwa marehemu. Baada ya kutoka Chala ndio tukaenda kupanda Mount Kilimanjaro kupitia Rongai route.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafadhali endelea

Hii habari imekuja wakati muafaka Ila Sina hakika kama ninaweza hata robo!

Lile bonde la Ngorongoro tu Nililia kama mtoto!
kwanini ulishuka/kupanda kwa miguu?
 
We muongo umepanda lini ? Acha mbwembwe we,we MTU mrongo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlima wa Wachaga huo! 'Viva Kilimanjaro '
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…