godson Lomayani
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 538
- 711
Zoezi letu lilianzia Lake Chala kwa kushuka kwa kamba toka juu hadi chini ziwani,kama una woga unaweza kugoma kushuka,unakalia sehemu ya kamba na nyingine unaishika kwa mikono miwili ukiwa umekanyaga mwamba na mwili umelala kwa nyuma ukiangalia chini unaliona ziwa likiwa mbali yaani ile kamba ikilatika unaelea hewani ukifika chini lilipo ziwa wee jina limeshabadilika kuwa marehemu. Baada ya kutoka Chala ndio tukaenda kupanda Mount Kilimanjaro kupitia Rongai route.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app