King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Nimesoma baadhi ya comments wamesema kuna sehemu route ya Machame pamekaa vibaya njia nyembamba sana halafu kuna steep slope na njia nyembamba,kwahiyo kupita hiyo sehemu inabidi ulikumbatie jiwe halafu unapita polepole sasa hapo ndio kupita kuna kasheshe mda mwingi unapotea hapo.HUH! KUNA KUBUSU NA JIWE? DAMN
SIO MBAYA NIKIPATA EXPERIENCE
OOOH SAWA DUUH KUMBE YAHITAJI KUJIPANGA SANA KUFIKA HUKO KWA MAANA SIO KAZI RAHISINimesoma baadhi ya comment wamesema kuna sehemu route ya Machame pamekaa vibaya njia nyembamba sana halafu kuna steep slope na njia nyembamba,kwahiyo kupita hiyo sehemu inabidi ulikumbatie jiwe halafu unapita polepole sasa hapo ndio kupita kuna kasheshe mda mwingi unapotea hapo.
Kabisa uzi huu umetupa picha kamili ya huko maana nilikuwa nasikia tu watu "WANAKATA MOTO aka KURUDISHA NAMBA" wakiwa wanapanda mlima klm nikawa najuliza maswali mengi why wakate moto? Kumbe sio mchezo lazima upate ABCs za huku sio kuenda kichwa kichwa mwanangu(In Bishop Maboya's voice)OOOH SAWA DUUH KUMBE YAHITAJI KUJIPANGA SANA KUFIKA HUKO KWA MAANA SIO KAZI RAHISI
Jose hapa hakuhusu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] heri ya mwaka mpya!
Sent using Jamii Forums mobile app
FOR SURE MKUU...MI YENYEWE NASOMA MDOGO MDOGO HINTS ZA HAPA NA PALE KULEKEA HUKOKabisa uzi huu umetupa picha kamili ya huko maana nilikuwa nasikia tu watu "WANAKATA MOTO aka KURUDISHA NAMBA" wakiwa wanapanda mlima klm nikawa najuliza maswali mengi why wakate moto? Kumbe sio mchezo lazima upate ABCs za huku sio kuenda kichwa kichwa mwanangu(In Bishop Maboya's voice)
😂😂😂Kuna viumbe mnajua kukagua picha imebidi niludi tena kuangalia.Hongera sana. Tena wewe umepanda naona una ulemavu mguu mmoja mfupi (nmeona kwenye picha zako unavyosimama pole sister) na umeweza wengine wapo miguu yote fresh na hawawezi. Nmekupenda kwa ukakamavu wako kwa kweli.
Mguu haukuwa changamoto kwako?
Umeona Vibaya kiongozi...Hongera sana. Tena wewe umepanda naona una ulemavu mguu mmoja mfupi (nmeona kwenye picha zako unavyosimama pole sister) na umeweza wengine wapo miguu yote fresh na hawawezi. Nmekupenda kwa ukakamavu wako kwa kweli.
Mguu haukuwa changamoto kwako?
Wishing u all the best in 2019 bruh from the bottom of my heartNA KWAKO PIA KIONGOZI WANGU...MUNGU MKUBWA AMETUVUSHA SALAMA
JAH BLESS
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna viumbe mnajua kukagua picha imebidi niludi tena kuangalia.
Sio jiwe letu tunalolijua sisi, ni jiwe jabali/mwamba/rock.HUH! KUNA KUBUSU NA JIWE? DAMN
Unataka kufika kileleni....safi sanaHongera sana dear. Mimi natamani sana siku nikapande Mlima Kilimanjaro japo watu wa karibu ukiwaambia hivyo wanakukatisha tamaa. Lakini ipo siku tu hii ndoto itatimia
Sina uhakika kwa hilo ila ninacho jua wanawake tuna mapozi yetu katika kusimama hasa ukiwa Unapiga picha.
Nami natamani kukomenti ila naogopa (Hii ndio mikoa inayoongoza watu wake kujichubua (Wanatumia Mkorogo) – Millardayo.com)
Kwa hiyo kama ngorongoro sio hifadhi ni nn? Au ni bahari? Shule za kata zinaharibu watoto wetuKwa bahati mbaya hakuna Hifadhi ya taifa Ngorongoro bali kuna mamlaka ya uhifadhi Ngorongoro.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok Ila umependeza sana kuliko siku zoteSina uhakika kwa hilo ila ninacho jua wanawake tuna mapozi yetu katika kusimama hasa ukiwa Unapiga picha.